Ukiingia mgogoro wa Israel unaleta mjadala mwingine mgumu.Hata IRGC ni jeshi ndani ya Iran, na limefanya mashambulizi kwa Iraq na Pakistan.
Kama lina justification ya kushambulia ardhi ya nchi nyingine na mnakubali, kwanini mnakataa justification ya Israel kushambulia wanaoishambulia waliopo nchi nyinginezo?
Kwanini Iran kushambulia inaoita magaidi iungwe mkono, ila Israel kushambulia inaoita magaidi ilalamikiwe.
Mbaya sana hii kwasababu siku hayo makundi yakishapata walichokuwa wanakihitaji wanakugeukia ww uliyewaunda (Karma)Vita sikuhizi zinaenda kwa mwendo wa proxies , Una lea makundi hasimu wa adui yako kama mtaji wa kujilinda na kukichafua dhidi ya adui yako kwa maslahi yako
Ndio ulimwengu wa vita uko hivi siku hizi
Nuke hazitumiwi tu hovyo kaka.Pakistan na Iran wanafanana tabia. India ina jeshi kubwa kuizidi Iran ila iliposhambulia magaidi waliolipua bomu kuua wanajeshi wa India na kukimbilia kambi yao deep within Pakistan. India iliwashambulia kwa fighter jets.
Pamoja na kwamba India ina nukes na jeshi kubwa, Pakistan walijibu mashambulizi haraka kwa kutumia ndege na kwenye mgogoro huo ndege moja ya India ilidunguliwa. Sasa ndio waiogope Iran kisa ballistic missiles na drones, kwani nani hana. Na wakati wao wana nuclear weapons.
Lebanon sio sehem hatari kuishi.Hizbollah ni zao la Iran na wameiharibu kabisa Lebanon. Lebanon kwa sasa ni sehemu hatari sana ya kuishi. Ustaarabu wao umepotea mazima sababu ya kukaribisha wapalestina ambao kwao lengo bado ni kupigana na Israel.
Na vita haina macho. Inaharibu vitu vyote, mpaka culture ya watu mahalia
Sijasema ni watu tofauti, hio umeitoa wapi?India na Pakistan ni watu walewale,Ila baadhi wakasilimu na wengine wakabaku na uhindu wao,India imetawaliwa na watawala waislam kwa muda mrefu,toka Bangladesh pitia India mpaka Pakistan,ni watu walewale
Huu mwaka ukiendelea hivi wenye hisa za Lockeed Martin, Boeing, Raytheon, BAE Systems na General Dynamics watapiga hela sanaHuko USA order zimejaa ukiagiza Himars au Javellin Leo unaipata baada ya miaka 2-3. Imebidi Lockeed Martin waongeze uzalishaji, kupanua na kuongeza plants mpya za kufyatulia silaha.
Jeshi la Pakistan ndio huwa linalazimisha nchi iingie vitani na India alafu mara zote halishindiHii nchi hua inanishangaza Sana, Jeshi Lina ushawishi mkubwa kuliko serikali.
Hata Iran alishambulia hapohapo Balochistan. Angepiga eneo la ndani zaidi angekiona cha mtema kuni.Ila hakuna mapigano yaliyotokea.
Hiyo Baluchistan kumbe wana share kama India na Pakistan wanavyo share kashmir.
Hakuna interests za Iran zilizoguswa.
Kama kungepigwa eneo la ndani zaidi hapo yangetokea mengine.
Iran sio India kijana.Hata Iran alishambulia hapohapo Balochistan. Angepiga eneo la ndani zaidi angekiona cha mtema kuni.
Iran ina air defense systems nzuri na missiles arsenal nzuri. Pakistan ina Airforce nzuri na wala sio chovu kwenye ballistic & cruise missiles.Nuke hazitumiwi tu hovyo kaka.
Ingelikua hivyo Russia angeshatumia dhidi ya Ukraine.
Ukweli ambao haupingiki Iran ana Missile power kubwa kushinda hata hao India na Pakistan.
Pia Iran wanasemekana kuwa na air defense system nzuri kuliko hata hayo mataifa mawili.
India pamoja na jeshi lake kubwa ila jeshi halina weledi.
Katika border clash zote alizopigana na Pakistan ni moja tu ndio kamshinda Pakistani sikosei kama sio ya 2014 bas 2018.
Na Nuclear watch dog washatoa alert kuwa urutubishaji wa Iran wa Uranium umepitiliza kiwango cha kutengeneza silaha .
Ni wapi lilipo lalamika mbona unanilisha maneno.Unacholalamika kwa Pakistan kulea magaidi ndicho kilekile Marekani ililalamikia Afghanistan ya Taleban kulea magaidi. Tofauti ni kwamba Marekani iliamua kuingia kuwakalia wakati hizo nchi nyingine haziwezi kuingia kwa Pakistan.
Ni sawasawa pia na Turkey kuishutumu Syria kulea waasi wa Kikurdi. Ni sawa na Israel kuishutumu Lebanon kuwalea Hezbollah na Gaza kuwalea Hamas.
Ukikubali kinachofanywa dhidi ya Pakistan pia kubali kinachofanywa kwingineko.
Pakistan haiiogopi Iran, haitishiwi nyau. Leo Pakistan imewaua Wairan 7 inawaita magaidi ndani ya ardhi ya Iran, Pakistan sio kama Iran inayotoaga onyo zito kwa Israel kwa kutumia barua na maandamano. Kila tukio utasikia this is the last warning, na lingine likitokea utasikia this is the last warning ⚠️Iran sio India kijana.
Iran ni giant hapo middle east USA mwenyewe kila siku anapiga nae kelele.
Maana ashakutana nae Syria,Lebanon,Red sea na Gaza.
Hata Ukraine silaha za Iran ndio zilikua game changer katika hiyo vita.
Ballistic missilesSema Pakistan wabishi, ngoja tusubiri response ya Iran.
Wametumia ndege, askari au ballistic missiles kufanya mashambulizi?
Kwa matukio ya kijeshi alofanya Iran tokea 1979 Iran inaonekana kuwa na nguvu kuliko Pakistan.Iran ina air defense systems nzuri na missiles arsenal nzuri. Pakistan ina Airforce nzuri na wala sio chovu kwenye ballistic & cruise missiles.
Kwenda moja kwa moja kudai Iran inaizidi mbali Pakistan ni kujidanganyaView attachment 2875404
Marekani na washirika wake watamuunga mkono Pakistani ili kuitandika Iran..naona Iran amejitanguliza chooni mwenyewePakistan haiiogopi Iran, haitishiwi nyau. Leo Pakistan imewaua Wairan 7 inawaita magaidi ndani ya ardhi ya Iran, Pakistan sio kama Iran inayotoaga onyo zito kwa Israel kwa kutumia barua na maandamano. Kila tukio utasikia this is the last warning, na lingine likitokea utasikia this is the last warning ⚠️
Israel ni mfupa mgumu kaka.Pakistan haiiogopi Iran, haitishiwi nyau. Leo Pakistan imewaua Wairan 7 inawaita magaidi ndani ya ardhi ya Iran, Pakistan sio kama Iran inayotoaga onyo zito kwa Israel kwa kutumia barua na maandamano. Kila tukio utasikia this is the last warning, na lingine likitokea utasikia this is the last warning ⚠️
Kama ni giant ashambulie tena Pakistan tuone ugiant wake.Iran sio India kijana.
Iran ni giant hapo middle east USA mwenyewe kila siku anapiga nae kelele.
Maana ashakutana nae Syria,Lebanon,Red sea na Gaza.
Hata Ukraine silaha za Iran ndio zilikua game changer katika hiyo vita.
Hawa Iran walishawahi kulalamika eti Israel inawaibia mawingu ili mvua isinyeshe kwao😂😂😂.Pakistan haiiogopi Iran, haitishiwi nyau. Leo Pakistan imewaua Wairan 7 inawaita magaidi ndani ya ardhi ya Iran, Pakistan sio kama Iran inayotoaga onyo zito kwa Israel kwa kutumia barua na maandamano. Kila tukio utasikia this is the last warning, na lingine likitokea utasikia this is the last warning ⚠️