Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Pakistan ni miongoni mwanchi zinazomiliki silaha za nuclear wakati Iran hana hizo silaha. Pakistan sio Iraq hao wapo vizur walishamkung'uta mpaka india
Iran hii hii inayokopi silaha za USA au kuna nyingineπππππKijana Iran namba nyengine hata marekani yenyewe inatamani iwe na uhusiano bora na iran ili ifaidike na military tech za Iranππππ
Yaani Quran hiki kitabu cha juzi tu tena ambacho hakiwezi kujitetea chenyewe ndiyo eti kinasema wakristo hawana uhakika juu Yesu kuwa Munguπ€£πBiblia inasadiki vyote ni sahihi,kwamba yesu ni Mungu mkuu na ni mwana wa Mungu,na mtume wa Mungu,na wote wapo sahihi.... QUR'AN inasema wakiristo hawana uhakika juu ya Hilo, wanasema waliyosema waliotangulia kabla yao
"Neno aliyetajwa ni Yesu na huyo neno alikuwa mungu mwenyewee. Na huyo yesu ambaye ni Mungu mwenyewe atakuhukumu siku ya mwishoo."Naye neno alivaa mwili akaja kwetu nasi tumeuona utukufu wake. Soma msitari wa kwanza na pili. Neno aliyetajwa ni Yesu na huyo neno alikuwa mungu mwenyewee. Na huyo yesu ambaye ni Mungu mwenyewe atakuhukumu siku ya mwishoo.
Soma isaya 9:6-7 mtoto huyo aliye zaliwa ni mungu mwenyenguvu baba wa milelee.
Karibu kwa yesu uokoke sio kwa yule jamaa aliekua anafanya mapenzi na tumabinti twa miaka tisaa
Nosasa wanatuchanganya hawa tusimame na iran au Pakistan anyway both team scores
Mnaambiwa muache bangi hamtaki kusikia sasa unaona hasara yake.π²π²π²π²Kijana Iran namba nyengine hata marekani yenyewe inatamani iwe na uhusiano bora na iran ili ifaidike na military tech za Iranππππ
Wavaa kobazi ni wasanii na watu wa propaganda.Takbiiiir Jana wazee wa bikra 72 walituaminisha humu kwamba shambulio la Irani ndani ya Pakistan lilikuwa na Baraka zote za serikali ya Pakistan, Kiko wapi sasa!!
Pakistan huwa imejiandaa kijeshi muda wowote kukabiliana na India, Iran huwa imejiandaa kijeshi muda wowote kupambana na washirika wa NATO kama US, Israel n.k , ipo wazi Iran inakabiliana na adui wenye nguvu, mikakati na ushawishi na hii imemjenga Iran kuwa strong.Kwa hapa Iran inabidi awe mpole asiendelee kuchokozana na Pakstan! Vinginevyo hapa itajikuta inapigwa na Israel na US kutokea Pakstan.
Si unaona mnavyogombana,wakatoliki wanasema yesu si Mungu Bali mwana wa Mungu,walokole wanasema yesu Mungu,na wote wako sahihi kwa mujibu wa biblia...siyo wewe,wengi tu wameshindwa kuonesha upogo na mgongano kwenye Qur'an,kitabu Cha mtu hakujua soma Wala kuandika,hakuna mhariri lakini bado hakina makosaYaani Quran hiki kitabu cha juzi tu tena ambacho hakiwezi kujitetea chenyewe ndiyo eti kinasema wakristo hawana uhakika juu Yesu kuwa Munguπ€£π
Yesu amuhukumu nani yeye mwenyewe alimlilia Mungu wake msalabani!!Bibulia sio kwa ajiri ya wazungu. Wazungu wanamhitaji Yesu. Hata kama kizazi chochote kitamukataa Yesu kijue huku iko pale palee. Kana imani moja tapeli wanamfananisha eti yesu ni nabiii wakawaida na kumuita jina lake kwa watoto wake.yaani wana ole kubwa kwakuwa wamelikataaa jina pekee la Munguu. Nawatahadharisha tuu kwamba kurudi kwake mwana wa adamu kumekaribia na anakuja kuhukumu kila mtu kwa matendo yake. Okokeni mwaminini Yesu sio hao wenginee. Yesu yu mlangoniii.
Upo sawa, naona ni onyo, lakini kwa intelligence ya Iran hivi hawakufahamu kuna consequences zitatokea kwa maana ipo wazi viongozi wa Iran wanaifahamu Pakistan vyema kuliko sisi hapa.Pakistan ilikuwa lazima ijibu ili kuzuia tukio kama hilo kujirudia siku zijazo kama ambavyo Iran hufanya inavyojisikia kule Syria na Iraq.
Pakistan nae ni regional power maana wana nyuklia alafu ni taifa la kiislamu la Kisuni, hawawezi kukubali kuchezewa na Iran Washia.
T14 Armata
Pakistan ukiondoa nyukilia ina uwezo wa kawaida japo sio wa kubeza.Laiti angejua nguvu ya Pakistan basi angekaa kimya.
Leta ushahidi.Iran hii hii inayokopi silaha za USA au kuna nyingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pakistani imejibu baada ya kushambuliwa na Iran?Wajnga sana hawa .Mbona siku zote Israel inaua watu wala hawajajibu chochote
Uharaka wa kujibu ni kwa Iran tu na ubabe wa Iran ni kwa Pakistani tu
Ukiondoa Nyukilia Pakistan mbele ya Iran ni mwepesi mno Iran inasilaha zenye ubora wa hali ya juu kuliko Pakistan.Pakistan huwa imejiandaa kijeshi muda wowote kukabiliana na India, Iran huwa imejiandaa kijeshi muda wowote kupambana na washirika wa NATO kama US, Israel n.k , ipo wazi Iran inakabiliana na adui wenye nguvu, mikakati na ushawishi na hii imemjenga Iran kuwa strong.
Kuhusu nuclear, Iran ina uwezo kutengeneza nuclear ndani ya muda mchache kama kuna threat ya nuclear, pia nuke za Pakistan its not that superior.
Iran inatengeneza silaha kwa wingi nchini mwao tofauti na Pakistan.
Pakistan haiwezi pambana na Iran, nachoona Iran anaweza tumia proxies kuidhoofisha Pakistan kama kawaida yao.
Kwani hujui kwamba nchi za magharibi wamekuwa na technology ya weather modification ya kuweza kusababisha vitu kama mafuriko , ukame nk katika anga au ardhi ya adui ?Hawa Iran walishawahi kulalamika eti Israel inawaibia mawingu ili mvua isinyeshe kwao[emoji23][emoji23][emoji23].
Taifa LA hovyo Sana.