Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,392
- 9,187
Marekani pamoja kuwa ina mabomu ya nuclear lakini ilipewa kichapo kitakatifu na iran mwaka 2020
Pakistan ni miongoni mwanchi zinazomiliki silaha za nuclear wakati Iran hana hizo silaha. Pakistan sio Iraq hao wapo vizur walishamkung'uta mpaka india