PreGE2025 Kanda ya Kusini: Shughuli za Ndanda zasimama mapokezi ya Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Wakati umefika wa kutorudi nyuma. Hawa majizi ya haki za Watanzania, yapumzishwe, na Taifa letu liondokane na laana ya kuongozwa na wadhulumaji wa haki. Tunaomba ukawajengee ulinzi usiovunjwa wanaoipigania haki kwaajili yao, nao wakanyagao haki, watakaotaka kuwadhuru wapigania haki, uovu ule waupangao dhidi yao, ukawarudie mara mbili yake, hata wakapate kujitia uovu wao.

Kila aendaye kwenye mapambano ya haki dhidi ya wadhulumaji wa haki CCM, kabla ya kuingia kwenye mapambano, asikose kuisali sala hii au ifananayo.

Tushikamane, tupambane na hawa wadhulumaji, kila mtu mwema ashiriki kwa namna awezayo, kuzuia kabisa kufanyika udhulumaji kupitia uchaguzi ibilisi unaoandaliwa. Lakini mioyo yao iliyokengeuka, ikabadilika, marekebisho ya kulinda haki kwenye uchaguzi yakafanyika, wote tutaenda kwenye uchaguzi na kuheshimu matokeo.
 
Dini imekulemaza ubongo, kila sehemu Mungu.
We kibabu unazeeka vibaya ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
(Mathayo 21:8-10)

8: Watu wengi Katika ule mikutano wakatandaza nguo zao njiani, na wengine wakakata matawi ya miti,wakayatandaza njiani.

9: Na makutano waliotangulia, na wale waliofuata, wakapaza sauti, wakisema, Hosana, mwana wa Daudi, ndiye mbarikiwa, Yeye ajaye kwa jina la Bwana, Hosana juu mbinguni.
 
Lissu anarukaruka tu, hana uwezo wowote wa kuzuia uchaguzi. Watu wenyewe ndio hao tu halafu useme eti ni mmbarikiwa!! Ha ha ha ha ha Ni chizi tu huyo.
hawezi kuzuia uchaguzi ambao nae pia ni mgombea, anawahadaa na kuwatapeli wanaChadema tu huyo kibaka wa siasa ๐Ÿ’
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ila Rabbon umeniletea na vifungu vya bible.!! Haya jpili ijayo uende ukatandaze khanga Ekaristi takatifu ipite na usisahau kunialika pasaka nije kula pilau..!!
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Ila Rabbon umeniletea na vifungu vya bible.!! Haya jpili ijayo uende ukatandaze khanga Ekaristi takatifu ipite na usisahau kunialika pasaka nije kula pilau..!!
Aliyefufuka toka kwa wafu, Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach, Mungu Mkuu ndiye anayestahili kuabudiwa.

Amen
 

Ameshakubalika kama kiongozi, kwa mapokezi haya ya kitamaduni, mila na desturi za Kusini mwa Tanzania

HOTUBA YA TUNDU LISSU KUTOKEA NDANDA, MTWARA


View: https://m.youtube.com/watch?v=tU5JHBG874I
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ