Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Aliyefufuka toka kwa wafu, Yesu Kristo /Yeshua Hamashiach, Mungu Mkuu ndiye anayestahili kuabudiwa.
Amen
View attachment 3294013
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election.
Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
View attachment 3294000View attachment 3294001View attachment 3294002View attachment 3294003View attachment 3294004View attachment 3294005View attachment 3294006View attachment 3294007View attachment 3294008View attachment 3294009View attachment 3294010View attachment 3294011View attachment 3294012
Daaah nimefurahi sanaMkuu tunakushukuru sana kwa kutushirikisha hii Baraka ya Mungu
Shauri zao. Chama kikifa ndio watajua umuhimu wa Mbowe.Hawajitambui hao wafuasi wa Lssu, wanapelekeshwa na mtu mwenye faili milembe!!
WatapingaNiseme tu ukweli, LISSU anapendwa sana na watanzania wa aina zote.
Namshauri rais SAMIA arekebishe mapungufu yanayolalamikiwa na vyama vya upinzani, ili ashinde uchaguzi ujao bila dukuduku.
Hii picha ya Mwisho ni kama ile ya Nape alikuwa anatembea juu juu migongoni mwaoView attachment 3294013
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election.
Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
View attachment 3294000View attachment 3294001View attachment 3294002View attachment 3294003View attachment 3294004View attachment 3294005View attachment 3294006View attachment 3294007View attachment 3294008View attachment 3294009View attachment 3294010View attachment 3294011View attachment 3294012
Acha kife tu.Shauri zao. Chama kikifa ndio watajua umuhimu wa Mbowe.
nyomi doesn't translate the realityChawa wa G 55 wanazidi kuchanganyikiwa wakiona hili nyomi
Hii Paragraph ya kwanza imenikumbusha Kitabu cha Danieli sura ya 3.NI YEYE 😊
MUNGU UMCHAGUA AMTAKAE NA HUMCHUKUA AMTAKAE.
MAISHA YA LISU NA PICHA ZA LISU NI USHUHUDA WA KUA MUNGU YUPO NA ANAISHI.
LISU IS A VICTOR.
Mkuu Rabbon Nape alikuwa anatembea juu ya migongo yao.Mbona kama ule utaratibu wa nape kukanyaga wamama waliolala chini unaendelea?
Hili sikubaliani nalo,
Mtu na asichukue Nafasi ya Mungu,
Ibada za sanamu hizi!
NI YEYE 😊
MUNGU UMCHAGUA AMTAKAE NA HUMCHUKUA AMTAKAE.
MAISHA YA LISU NA PICHA ZA LISU NI USHUHUDA WA KUA MUNGU YUPO NA ANAISHI.
LISU IS A VICTOR.
Lisu ni ushuhuda unaoishi.
Nami naomba kife!Acha kife tu.
Manyang'au mnaumia sana kuona hili nyomi.We lofa kweli kweli, shughuli gani imesimama Ndandq!?
Mzee WasiraNani amejamba mkuu
Ili uwe tajiri na ule umaskini kwenye familia zenu utaishaNami naomba kife!
Inaoashiria wananchi kuunga mkono Azimio la No Reforms No Election,kumbuka hawa wanakuja wenyewe bila kusombwa na malori kama mazwazwa ya CCM na pia hapa hakuna Diamond wala Harmonize ni elimu ya uraia mwanzo mwisho. Manyang'au ya CCM yanaumia sana.nyomi doesn't translate the reality