Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Chief sidhani sana kama dua za wazandiki wachache kama hawa zinaweza kulihatarisha taifa la watu over 60M. Nadhani kuna sehemu tumeteleza tunahitaji kutubu. Mungu atuhurumie tu.
Mkuu Mungu tunamuonea, kuna wengine wanaomba janga litokee wakusanye michango na kufanyia mambo yao kiufisadi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo namba moja anaamini kuwa Rc wa Dar anavipandikiza virusi kwrnye mitaa ya Dar?!

Mfungeni kamba huyo kabla hajaipeleka nchi vitani dhidi ya Zanzibat
Mh... Sasa nchi moja itapiganaje vita? Au itajishambulia?
 
Vipi? Limefika Chato?
Aftershocks zipige Chato au angalau next time epicenter iwe Chato.
Wewewewe....
Usimuombee mukulu dua mbaya
Si unajua siku hizi Muzee yuko huko kapumuzika
Duh! tena munamletea Muzee matetemeko ,sasa munadhani akimbilie wapi jameni?
labda akajichimbie kule Mtwara kwa Mzee Majaliwa,
 
Binadamu kweli ni wasaulifu. Juzi juzi tu hapa tumetoka kuliombea taifa kwa Mungu juu ya gonjwa hili la kutisha la Corona. Sasa hilo tetemeko ndiyo majibu yenyewe.

Mungu anamjulisha mkuu wa kaya kwamba maombi ya watanzania ameyasikia na ameyapokea hivyo Corona haitakuwa na nafasi tena juu ya nchii hii ya TZ.

MUNGU HUWA ANAJIBU MAOMBI KWA NJIA MBALIMBALI HANA NJIA MOJA TU!
 
Back
Top Bottom