1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Wasalimie sana hapo, pia wasalimie sana mitaa Balenge huku karibia na classic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasalimie sana hapo, pia wasalimie sana mitaa Balenge huku karibia na classic
Nyumba ya Wenje imeanguka ukuta
Naona wadau wana report pia tetemeko kupita Geita so huenda na huko limepita
Pako salama kabisa mkuuNaulizia chatou huko wamesalimika?
In God we Trust
Sijasikia labda taarifa za habari baadae zitasemaVipi mawe hayaja ng'oka?
In God we Trust
Huwa nauwaza mji wa geita sipati jibu, wazungu wamejua kuuchimba aiseeGeita hyo chini ni mshimo makubwa,
Tena hiyo mitaa ya Bomani[emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana lilikuwa la muda mrefu maana mimi nimeshtuka usingizini likiwa linaishirianimelisikia Geita hapa , limedumu kama dakika moja, hili ndio tetemeko kubwa zaidi nililowahi kulisikia
Mkuu Mungu tunamuonea, kuna wengine wanaomba janga litokee wakusanye michango na kufanyia mambo yao kiufisadi
Bomani kuna mashimo wapi?Geita hyo chini ni mshimo makubwa,
Tena hiyo mitaa ya Bomani[emoji86]
Sent using Jamii Forums mobile app
We mbona unamuombea mabaya Mzalendo namba moja?Nadhani ndio kwenye epicenter
Mzalendo namba moja anaamini kuwa Rc wa Dar anavipandikiza virusi kwrnye mitaa ya Dar?!We mbona unamuombea mabaya Mzalendo namba moja?
Mh... Sasa nchi moja itapiganaje vita? Au itajishambulia?Mzalendo namba moja anaamini kuwa Rc wa Dar anavipandikiza virusi kwrnye mitaa ya Dar?!
Mfungeni kamba huyo kabla hajaipeleka nchi vitani dhidi ya Zanzibat
Alesata mfungeni kambaMh... Sasa nchi moja itapiganaje vita? Au itajishambulia?
Umetoka uchi au na nguo?
Wewewewe....Vipi? Limefika Chato?
Aftershocks zipige Chato au angalau next time epicenter iwe Chato.