let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 4,179
- 9,750
umezuiwa kwenda kupiga kura?Ikiwa hii habari ni ya kweli basi serikali iuone unafiki wa madhehebu ya dini na ichukue hatua. Hawa ndio waliiomba serikali kubadiki mfumo wa uchaguzi kufanyika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili sababu zinaingiliana na siku zao muhimu za ibada. Serikali imesikia maombi yao umeamua kupanga Jumatano. Leo wao wanageuka na ibada zao wanapanga siku ya Uchaguzi.
Wakati Uchaguzi ukifanyika Ijumaa, Jumamosi na Jumapili Kwani kuna mtu alizuiwa kwenda Ibadani?umezuiwa kwenda kupiga kura?
Hizo ni weekend days Kando na watu kufanya ibada. siku za mapumziko ila unataka kwenda kumpangisha mtu foreni ya kupiga Kura!.Wakati Uchaguzi ukifanyika Ijumaa, Jumamosi na Jumapili Kwani kuna mtu alizuiwa kwenda Ibadani?
GoodHabari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa
View attachment 3480827View attachment 3480828
View attachment 3480829View attachment 3480830
Kina nani?Hii Nchi siyo ya kikatoliki Msiposhiriki nyie wapo watakaoshiriki wengine
Wewe na nani?Kina nani?
Si wengine pia sio wakatoliki na hatutashiriki😃
Kila kigango kabisaHii iende majimbo yote ikibidi kila parokia kuwe na shughuli siku hiyo!!
Labda Kama hulijui Kanisa la RC "Adhimishi la Misa Takatifu" na shughuli yoyote ya Kanisa ni ibada sababu anayeinuliwa ni MuumbaNi kongamano elewa.
Sawa! Na msiende kuvamia makanisa wala kuwatisha viongozi wao. Endeleeni na hao mnaodai watashiriki…Hii Nchi siyo ya kikatoliki Msiposhiriki nyie wapo watakaoshiriki wengine
Wewe siyo Mkatoliki kabisa.Dr.Slaa Wilboard hakufukuzwa daraja takatifu la Upadre bali aliacha mwenyewe.Mimi mkatoriki lakin sikubaliana na haya mambo DR silaa alifukuzwa upadre kisa kushiriki mambo ya siasa how now waonwana fanya siasa
ik
Na ndiyo lengo...sisi hatuhalalishi uovu...hujazuiliwa kupiga kura kama unaona poaHii Nchi siyo ya kikatoliki Msiposhiriki nyie wapo watakaoshiriki wengine
Wow parokia yangu MamaHabari zilizopo mjini ni hizi kwa sasa
View attachment 3480827View attachment 3480828
View attachment 3480829View attachment 3480830
Cha muhimu mtulie nyumbani ila mkileta fujo kipigo cha mbwa koko kitawahusuSawa! Na msiende kuvamia makanisa wala kuwatisha viongozi wao. Endeleeni na hao mnaodai watashiriki…
Shauri yenu, tutapiga tusiokuwa wakatoliki mamamae na ikifika zamu ya mkatoliki nasi tutaendelea na shughuli zetu. Uzuri mmoja ni kuwa kamwe hila na chuki zenu zitadunda tu katika Nia yenu ovu ya kuligawa taifa hili.........na ikizidi saaaaana basi fresh, tutaoneshana maana tumekuwa wastaarabu na waungwana kwa muda mrefu sana. Munamchukia mtu sababu ya dini yake tu, kweli?!!!!!!!Ukimsikiliza Mkuu wa TEC , ndo utaelewa alikusudia nini..."kabla ya kwenda huko tathimini kidogo dhamiri yako "
Hapo ndo alipigilia msumari wa mwisho.
Uchaguzi mkuu kwa Kanisa ni Kama haupo , watu waendelee na ratiba zingine.
Kwani wamezuiwa KUPIGA kura?
Huoni ni dalili ya wazi ya kuleta mgogoro wa moja kwa moja wa kidini?
Ikumbukwe tar 29 ni siku ya kitaifa ya uchaguzi!
Shughuli zingine zote yapaswa kusubiri.
Nimemaliza.
Umejichanganya hapa. Wao hawafanyi siasa. Wanakataa kufanya siasa. Na wao sidhani kama wanakulazimisha uwe Mkatoliki. Lakini pia hawakukatazi kupiga kura. Ila hawataki waunganishwe na vyama.
Na wasipoleta jioni wenyewe huko huko, sisi tutapiga kura halafu tuone mamamamamae!Hii iende majimbo yote ikibidi kila parokia kuwe na shughuli siku hiyo!!