Umsumbalembe
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 944
- 871
Upo nje kabisa ya mada.Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Nje ya mada...swali lako kamuulize mufti...hoja ni..Tume ya Uchaguzi ya taifa la Tanzania si halali..jibu hoja hiyo..Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Kama hujaelewa nilichoandika na kipo wazi basi sina namna ya kukuelewasha! Sorry!!!!Utaratibu upi kwa kanuni ipi weka facts..zako acha kuleta hoja kwa hisia...
Eeeh unachanganya muundo wa kanisa na mfumo wa kiutawala. Kwani mkuu wa mkoa flani hapa nchini anawajibika kwa mkuu wa mkoa mwingine.Narudia. Hakuna Jimbo la Kanisa Katoliki linawajibika kwa Jimbo jengine. Na hakuna Askofu wa Jimbo la Katoliki anawajibika kwa Askofu mwingine zaidi ya Vatican.
Nasubiri challenge.
Umeandika mashuduKwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
Zipo video nyingi Kanisa Katoliki wanazungumzia hili suala..kusearch YouTube...acha kujizma dataKwani wamejua Leo?
Zipo video nyingi Kanisa Katoliki wanazungumzia hili suala..kusearch YouTube...acha kujizma data
Kwahiyo Mkuu wa Mkoa mmoja ana uwezo wa kutoa tamko la kutekeleza Mikoa mingine? Ukilijibu hili utaelewa mantiki yangu.Eeeh unachanganya muundo wa kanisa na mfumo wa kiutawala. Kwani mkuu wa mkoa flani hapa nchini anawajibika kwa mkuu wa mkoa mwingine.
🚮Eeeh unachanganya muundo wa kanisa na mfumo wa kiutawala. Kwani mkuu wa mkoa flani hapa nchini anawajibika kwa mkuu wa mkoa mwingine.
Kasome kanuni ya imani halafu rudi hapa. Ideology huwa ndiyo kila kitu. Iwe dini au chama chochote cha siasa duniani.Kwa nini maaskofu wote katoliki huchaguliwa na Papa na sio waumini? Wakati papa mwenyewe hapigiwi kura na waumini wote duniani kuwa Papa?
Kuchaguliwa kwake huchaguliwa kwa kura za makardinali ambao hawakupigiwa kura na waumini Huwateua yeye papa halafu hao aliowateua ndio wampigie kura kuwa papa
Heri Tanzania Rasi hupigiwa kura na wananchi wote ndipo huteua hao wengine
Kwa katoliki demokrasia haiko kabisaaaa
Atoe boriti kwanza kwenye chaguzi za papa na maaskofu katoliki
Upatikanaji wao sio wa kidemokrasia kabisa
Unakiuka misingi yote ya demokrasia
🚮🚮🚮
Muongeaji yeyote cha kwanza kabla kuongea CV yake hutajwa yeye nani na watu ruksa kuchambua huo u yeye nani huo aliuopataje kama anaongelea demokrasia je yeye huo u nani anaojiita je aliupata kidemokrasia kabla ya hadhira kukubali kuwa anaruhusiwa kuelezea mambo ya demokrasia sababu yeye mwenyewe ni lazima awe zao la mchakato wa kidemokrasia kufika hapo alipo na kicheo chake hicho ajiite askofu au chochoteUpo nje kabisa ya mada.
Hatutaki siasa zifike kwenye majumba ya ibada
View: https://youtu.be/BPzLWcEGYwo?si=eGLjo1AaSDgm-DN0
Wakati Mufti akisema tusianzishe chokochoko zitakazosababisha vita, wenzao wa Kanisa Katoliki wamehoji juu ya Haki ya Kupiga kura. Msimamo wa Kanisa umewekwa wazi kuwa wana shaka na tume huru ya uchaguzi
Huyo Askofu anaongelea demokrasia yeye hapo alipo kafika hicho cheo alikipata kidemokrasia? Aachie waliofikia hivyo vyeo kidemokrasia waingeeKasome kanuni ya imani halafu rudi hapa. Ideology huwa ndiyo kila kitu. Iwe dini au chama chochote cha siasa duniani.
Haki ni Siasa?Hatutaki siasa zifike kwenye majumba ya ibada