Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

Mungu ila parokia imezingua lzm nitulie nirefesh Kisha nitaendelea na ibada mungu nae anatazama moyo wangu jinsi ilivyo uzunishwa na kanisa litakuwa makini kuchukiwaa taadhari zote vitendo hvyo visiendelee kutokeaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kumbe uamzi wangu ulikuwa sahihi kupumzika kwa miaka 11 ilopita,basi mi ndo ntaanza sasa ili kuiombea parokia!
 
Sasa watoto wa utoto mtakatifu itakuaje itakuaje km huko sio sehemu salama kwao itakuaje kwa hawa wengine maana hao ni watatu walioamua kusema je kwa wale wengine wasiofahamika ambao wao hawakuamua kusema chochote itakuaje hapo?

Wamama wavalisheni watoto wenu nguo za kujifunika maungo yao vizuri wanapoenda kanisani la sivyo huu mchezo wa watoto kutafunwa na mapadri hautaisha maana inaonekana masista wameanza kubana bladfaken I am so mad at this, sorry for that but nmejikuta nmekasirika tu why God why?

Unamvalisha mtoto nguo ya kubana matako kisha unampeleka kanisani ukiangalia mtoto ana miaka 12/13 ila umbo lake km ana miaka 23/24 amekua haraka km kuku wa mwendokasi, kavaa nguo za kubanabana mapaja na kuvimbisha matako kisha anajipitishapitisha mbele ya padri kwanini padri asipite nae

Mimi nawaza tu..
Ni mimi ninaewaza tatizo linaanzia nyumbani sio kanisani
Wanasemaga za mwiz Ni 40 inawezekana hi michezo padr huyo kaanza zamani sanaa na tayari kasha lawiti na kubaka watoto wengi InaweZa kuwa hata 120 au 399 lkn hatujui ila tumshukuru mungu kwa kumuweka hadharani mwovu na mshenzi huyu ila tunasema "is not guilty untill proven by a court order "
Pia kwa mahakamani zetu si ajabu wakamuona Hana hatia pmj na kwamba kosa kalitenda. Utaona inawezakan Ni siasa au Kal wake za watu ndio watu wanna azira nae

Nilishauri kwanza waumini kesho wabaki makwao ili wapewe taarifa rasm za padr huyu na pia k

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kumbe uamzi wangu ulikuwa sahihi kupumzika kwa miaka 11 ilopita,basi mi ndo ntaanza sasa ili kuiombea parokia!
Yaah ukiona unakosali Kuna maswal hukubaliani nayo na huwez kuhama dhehebu Ni Bora kujipa likizo fln fupi kutafakari na kuona kwa jicho la tatu Kama Kweli hayo mambo yametendeka au lah na haki imetendeka kwa wahadhiriwa wa tukio Hilo

Lkn watu humu wananitunaka wananiona kuwa Nina uadui na mungu hpn

Mm binafsi nikifanyaga kosa huwa wakt mwingine najitenga na kanisa Kisha nitarejee badaae siyo nimetoka kula wake za watu Kisha kesho Niko kanisani napiga mapambio hapan

Hvy ni vyema sana kesho waumini wa parokia hyo wabaki manyumbani au wakasali kwingine kutafakari Kisha jpili waende sas kuendelea na ibada
 
Hmm kwa hiyo kaambiwa ahame nyumba za kanisa akaishi kwa wazazi wake, kweli hawakukosea waliosema mchuma janga hula na wakwao
 
Ukiiba pamoja na wenzio harafu ukakamatwa wanakuruka!
Kwa kweli hii Kashifa ya Mapadre na makasisi kunajisi watoto wadogo iliyo sambaa duniani hasa huko Ulaya,ambayo kila mara Papa anaomba Msamaha kwa imeshalichafua Kanisa Katoriki!
 
padriii-iic.jpg

Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo.

Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona, amemweleza Padri huyo haruhusiwi kuishi katika nyumba za kanisa na atakuwa akiishi nyumbani kwa wazazi wake.

Hili linaweza kuwa pigo jingine kwa Padri huyo ambaye kwa sasa yuko nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kesi zake, baada ya kanisa pia kumsimamisha kutoa huduma zote za kipadri katika kanisa hilo kubwa duniani.

Katika barua yake hiyo ambayo imesambaa mitandaoni, Askofu Minde alisema uamuzi huo umezingatia sheria ya kanisa namba 1,722 inayotaka mtuhumiwa kutengwa katika kipindi cha mchakato wa kisheria wa tuhuma zinazomkabili.

Sheria hiyo inasema ili kuzuia kashfa, kulinda uhuru wa mashahidi na kulinda njia ya haki, watu wa kawaida, baada ya kumsikiliza mtetezi wa haki na kumtaja mtuhumiwa, katika hatua yoyote ya mchakato inaweza kuwatenga mtuhumiwa na kazi za kikanisa.

Pia, sheria hiyo inasema kanisa linaweza kuweka au kumkataza kuishi mahali fulani au eneo fulani au hata inaweza kukataza ushiriki wa umma katika Ekaristi Takatifu zaidi na mara tu tuhuma zinapokoma na hatua hizi zote lazima zifutwe na pia huisha na sheria yenyewe pale mchakato wa adhabu unapokoma. “Kwa masikitiko makubwa, kwa barua hii kuanzia leo tarehe 26/09/2022 umesimamishwa kutoa huduma zote za kipadri katika Kanisa Katoliki, pia huruhusiwi kuishi katika nyumba za kanisa. Utakuwa unaishi nyumbani kwa wazazi wako,” alisisitiza Askofu Minde katika barua hiyo na kuongeza:

“Lengo hasa la maamuzi haya ya awali ni kupisha vyombo vya sheria, ili uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma husika ufanyike na mahakama zote husika.

“Iwapo vyombo vya sheria vitatuhakikishia kwamba hukuhusika kwa namna yoyote katika mashtaka yanayokukabili, basi kanisa litakuwa tayari kukupokea tena, na pia kukuruhusu kuendelea kutoa huduma za kipadri”.

Nakala ya barua hiyo imetumwa kwa mapadri wote wanaotoa huduma katika jimbo Katoliki la Moshi, wakiwemo walioko katika taasisi ambao kwa mujibu wa tovuti ya Kanisa Katoliki jimbo la Moshi ya www.moshidiocese.org ni zaidi ya 130.

Juzi, Katibu Mkuu wa Baraza la Maasofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima alinukuliwa na gazeti hili akisema tayari Askofu Minde alikuwa amemsimamisha Padri huyo kufanya kazi.

“Kwa sasa Askofu amemsimamisha kutoa huduma za kipadri mpaka mahakama ifanye maamuzi yake. Baada ya hapo ndipo maamuzi mengine juu ya upadri yatafanyika,” alisema Padri Kitima, kauli inayofanana na ya barua ya Askofu Minde.

Mashtaka yanayomkabili
Katika kesi ya kwanza alidaiwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12, Agosti 12, 2022 katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mt. Dionis Aropagita iliyopo barabara ya Kawawa katika Wilaya ya Moshi.

Mshtakiwa alikana tuhuma na upande wa mashtaka ukaiarifu mahakama upelelezi wake umekamilika na mahakama ikapanga Oktoba 10, upande wa mashtaka utamsomea maelezo ya kosa.

Mshtakiwa alipewa dhamana yenye masharti ya kuwa na wadhamini wawili watakaojaza hati ya dhamana (bond) ya Sh10 milioni, alitimiza masharti.

Katika shtaka lingine alidaiwa kumbaka mtoto wa umri wa miaka 13 katika eneo hilo hilo la Parokia.

Mahakama ilisema dhamana iko wazi na kumtaka mshtakiwa kuwa na mdhamini mmoja atakayesaini dhamana ya Sh2.5 milioni na atasomewa maelezo ya awali Oktoba 12.

Katika kesi ya tatu ilidaiwa mshtakiwa alimbaka mtoto wa miaka 12 katika eneo hilo hilo la Parokia.

Alikanusha mashtaka na mahakama ilimpa dhamana yenye masharti ya kuwa na wadhamini wawili watakaosaini hati ya Sh2 milioni. Upelelezi wa kesi umekamilika na atasomewa maelezo ya awali Oktoba 18.

Chanzo: Mwananchi
 
Haya mambo acha kuna jamaa anamla sister kabisa wa kanisa kumbe nao wanawaka tamaa.
Kuna sister alikuwa anashoboka na mimi, mpaka akimwona mama yangu anamwita mamamkwe ila nilimwogopa kumpiga nao, acha tu
 
Ila tusisahau kama ilivyo ule msemo wetu pendwa
'Askofu akizini na muumini siyo mwisho wa Ukristo'.
Bahati mbaya huyu hakuzini,wanasema alitindua,sijui tuubadilishe kwanza huo msemo ili kuendelea na misa!!??
Askofu amepasua Spika ndogo aka tweeter spika😂
 
View attachment 2374753
Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo.

Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona, amemweleza Padri huyo haruhusiwi kuishi katika nyumba za kanisa na atakuwa akiishi nyumbani kwa wazazi wake.

Hili linaweza kuwa pigo jingine kwa Padri huyo ambaye kwa sasa yuko nje kwa dhamana baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kesi zake, baada ya kanisa pia kumsimamisha kutoa huduma zote za kipadri katika kanisa hilo kubwa duniani.

Katika barua yake hiyo ambayo imesambaa mitandaoni, Askofu Minde alisema uamuzi huo umezingatia sheria ya kanisa namba 1,722 inayotaka mtuhumiwa kutengwa katika kipindi cha mchakato wa kisheria wa tuhuma zinazomkabili.

Sheria hiyo inasema ili kuzuia kashfa, kulinda uhuru wa mashahidi na kulinda njia ya haki, watu wa kawaida, baada ya kumsikiliza mtetezi wa haki na kumtaja mtuhumiwa, katika hatua yoyote ya mchakato inaweza kuwatenga mtuhumiwa na kazi za kikanisa.

Pia, sheria hiyo inasema kanisa linaweza kuweka au kumkataza kuishi mahali fulani au eneo fulani au hata inaweza kukataza ushiriki wa umma katika Ekaristi Takatifu zaidi na mara tu tuhuma zinapokoma na hatua hizi zote lazima zifutwe na pia huisha na sheria yenyewe pale mchakato wa adhabu unapokoma. “Kwa masikitiko makubwa, kwa barua hii kuanzia leo tarehe 26/09/2022 umesimamishwa kutoa huduma zote za kipadri katika Kanisa Katoliki, pia huruhusiwi kuishi katika nyumba za kanisa. Utakuwa unaishi nyumbani kwa wazazi wako,” alisisitiza Askofu Minde katika barua hiyo na kuongeza:

“Lengo hasa la maamuzi haya ya awali ni kupisha vyombo vya sheria, ili uchunguzi wa kina kuhusu tuhuma husika ufanyike na mahakama zote husika.

“Iwapo vyombo vya sheria vitatuhakikishia kwamba hukuhusika kwa namna yoyote katika mashtaka yanayokukabili, basi kanisa litakuwa tayari kukupokea tena, na pia kukuruhusu kuendelea kutoa huduma za kipadri”.

Nakala ya barua hiyo imetumwa kwa mapadri wote wanaotoa huduma katika jimbo Katoliki la Moshi, wakiwemo walioko katika taasisi ambao kwa mujibu wa tovuti ya Kanisa Katoliki jimbo la Moshi ni zaidi ya 130.

Juzi, Katibu Mkuu wa Baraza la Maasofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima alinukuliwa na gazeti hili akisema tayari Askofu Minde alikuwa amemsimamisha Padri huyo kufanya kazi.

“Kwa sasa Askofu amemsimamisha kutoa huduma za kipadri mpaka mahakama ifanye maamuzi yake. Baada ya hapo ndipo maamuzi mengine juu ya upadri yatafanyika,” alisema Padri Kitima, kauli inayofanana na ya barua ya Askofu Minde.

Mashtaka yanayomkabili

Katika kesi ya kwanza alidaiwa kumbaka mtoto mwenye umri wa miaka 12, Agosti 12, 2022 katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mt. Dionis Aropagita iliyopo barabara ya Kawawa katika Wilaya ya Moshi.

Mshtakiwa alikana tuhuma na upande wa mashtaka ukaiarifu mahakama upelelezi wake umekamilika na mahakama ikapanga Oktoba 10, upande wa mashtaka utamsomea maelezo ya kosa.

Mshtakiwa alipewa dhamana yenye masharti ya kuwa na wadhamini wawili watakaojaza hati ya dhamana (bond) ya Sh10 milioni, alitimiza masharti.

Katika shtaka lingine alidaiwa kumbaka mtoto wa umri wa miaka 13 katika eneo hilo hilo la Parokia.

Mahakama ilisema dhamana iko wazi na kumtaka mshtakiwa kuwa na mdhamini mmoja atakayesaini dhamana ya Sh2.5 milioni na atasomewa maelezo ya awali Oktoba 12.

Katika kesi ya tatu ilidaiwa mshtakiwa alimbaka mtoto wa miaka 12 katika eneo hilo hilo la Parokia.

Alikanusha mashtaka na mahakama ilimpa dhamana yenye masharti ya kuwa na wadhamini wawili watakaosaini hati ya Sh2 milioni. Upelelezi wa kesi umekamilika na atasomewa maelezo ya awali Oktoba 18.
View attachment 2374754

Chanzo: Mwananchi
Askofu "Soka" aka mzee wa tweeter speakers 😂😂😂
 
Back
Top Bottom