Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

Kanisa Katoliki lamtenga Padri Soka, lamuondoa kwenye nyumba za Mapadri

Tatizo na nyinyi huwa mnapenda watu wenye mkwanja. Huwa mnatutenga sana sisi mapadri na makatekista.

Ona sasa mpaka tunaingia kwenye majaribu makubwa kiasi hiki!

All in all, mahakama itatenda haki kwa pande zote zenye maslahi kwenye hii kesi.
Hii napinga sio kweli...kuna mapadri wanavutia kinoma halafu pesa wanayo. Halafu sio wanawake wote ni lazima waliwe kwa kutumia pesa.

Ila makatekista wengi walugaluga.
 
Safi sana, kuna binadamu wanasikitisha sana...
 
Hii ni zamu yake padri tusubiri kidogo tutayasikia ya viongozi wa dini na madhehebu ya wanao oa, hili ni janga la dunia sheria haziwezi kusaidia tena isipokuwa Mungu mwenyewe aingilie kati kwakweli.
 
Padri hatakiwi kumiliki chochote,Sasa aende wapi?
Anamiliki ukuni na "kafara yake kama sadaka kwa Mungu ni kutokuutumia ili asipate starehe tunazopata tulioowa na akivunja hiki kiapo ndo kama hivi aibu kubwa!"

Tukumbuke sifa ya kwanza ya padre ni kuwa RIJALI kweli kweli siyo mtu awe hanithi akimbilie wito huo.
 
Ni wakati sasa umefika Papa aruhusu mapadri wawe wanaoa.
 
Back
Top Bottom