Kumbe jamaa alikuwa anatuandaa kisaikolojia! Alijua?? Ila najua haikuwa bahati mbaya!Wamarekani wametoa papa kwa mara ya kwanza
Kabisa...Haikutarajiwa kabisa , kweli uchaguzi wa pope wa roma si wa kudhaniwa wa hivi ama wa vile
Achana nae ,, huyu ni mtu mpumbavu sana na sijui kwa nini hajapewa lifebanBrother, hiyo kauli hapo juu kwenye heading sio nzuri hata kama sio dini yako.
Wamepita mapapa 265 na huyu wa leo ni wa 266 ila hakuna hata mmoja ambaye ni mweusi. Wapo waliotoka Afrika ila hawakuwa weusi.Mapapa wengiiiiiiii lakini Africa haijawahi toa papa.
Inafikirisha sana
Ila we mzee πKumbe mnawakubali sana Wakatoliki na kuamimi kuwa ndiyo Wababe wa dunia, sasa Chuki zenu na Mihadhara yenu ya Kuwatusi Wakatoliki huwa zinatoka wapi?
Wa Kuinama na Kujamba 24/7 bhana!!
Uzuri ameturudisha nyuma kidogo.Kabisa...
Kila laheri kwa Pope Leo XIV...
Hizi dini siyo za waafrika tumeletewa tu na hao wazungu hivyo inabidi turudi kwenye dini zetu za asili.Wamepita mapapa 265 na huyu wa leo ni wa 266 ila hakuna hata mmoja ambaye ni mweusi. Wapo waliotoka Afrika ila hawakuwa weusi.
Kwani Kuna ulazima wa kuwa weusi? Umewahi kumuona papa muasia? Mwarabu Je?Wamepita mapapa 265 na huyu wa leo ni wa 266 ila hakuna hata mmoja ambaye ni mweusi. Wapo waliotoka Afrika ila hawakuwa weusi.