Nyangomboli
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 3,501
- 1,956
Na kila siku wanaimba Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu leo wamemgeuka. Huyu kitime ma boss wake nikishawashtukia kitambo wana agenda ya upinzani tena iliyo sugu. Boss wake yeye hata sina mashaka nae maana ukabila ni jadi ya atokako.Inasikitisha sana kwa kanisa kutoa kauli kama hii...Hii dini hapa imesimama kama taasisi na wala siyo kuongozi wa kiroho...Kanisa katoliki haliamini katika abortion na wala family planning je hiyo siyo science? Au science inakuwa valid pale ambapo interests zako zimelalia?...
Huo anaofanya Kitime siyo wajibu wake ni wajibu wa viongozi wa Nchi. Yeye atangaze kanisani lock down watu wasiende makanisani tuone ataishije bila sadaka.Acha kutisha watu wanaotimiza wajibu wao kwa nchi na kwa Mungu.
Nyinyii ndio mnaostahili kuwajibika kwa maisha yanayopotea ovyo kwa upotoshaji wenu kupitia imani zenu za kishirikina.
Kwa uwiano wa mapadre vs masister ndani kanisa katoliki.vifo vya mapadre ni vingi mno kwa uwiano.mapadre ni wachache ktk Kila Jimbo kuliko masisterMapadre25 watawa 60 so tuliambiwa corona Inauwa Wanaume zaidi au hii ya South Africa imegeuza kibao
Poleni sana wale wote mliopoteza Ndugu na jamaa na marafiki
Kwa nini hatujiulizi - iweje mataifa yaliyo kubali baadhi ya raia wake kufanyiwa majaribio ya chanjo za Oxford, ndio mataifa hayo hayo yaliyo kumbwa na aina mpya hatarishi ya ugonjwa wa COVID-21 - hii inaleta picha gani?Mapadre25 watawa 60 so tuliambiwa corona Inauwa Wanaume zaidi au hii ya South Africa imegeuza kibao
Poleni sana wale wote mliopoteza Ndugu na jamaa na marafiki
Hata watu wote wakikataa, ukweli utabaki kuwa Tanzania tuliponywa na Mungu dhidi ya Corona!! Mungu apishe mbali!! Tanzania tulionja tu harufu ya corona, hata sasa tunasikia harufu tu ya corona.Peleka hukoo hayo mambo yako ya ushirikina.
Mnamsingizia Mungu na imani kwa misimamo ya ajabu ajabu ambayo haina mantiki bali kujitwalia utukufu nyimgi wenyewe huku watanzania wakizidi kupukutika..
Si wanataka tuige hatua walizochukua wazungu na wamarekani? Wawatangazie waumini wao kujifanyia lockdown na makanisa yafungwe, maana huko ulaya yamefungwa!! Tuone kama watalifanya hilo! thubutu!! bila sadaka wakale polisi!! hapo watajitoa kabisa ufahamu!!Tumsifu yesu kristu, umeona muongozo mpya wa ibada au haujauona?
Hao ni viongozi wa dini si viongozi wa kiroho! sikiliza tena hiyo clip! Hawana ubavu wa kuthubutu kujiita viongozi wa kiroho!! Hawamwamini kabisa Mungu wala nguvu zake! Hawa ndio biblia ilisema Wana mfano wa utakuwa lakini wakizikana nguvu zake!!! Hawana lolote hao.Hii taarifa kuna media wanaiogopa. Wengine wata edit edit tu [emoji41]
Millard kaweka vipande tu! Hata Instagram hajapost itakuwa bado anasikilizia.Hatuwezi kuisaidia jamii namna hii. Inafikia viongozi wa juu kiroho wanatoa maagizo bado tunayaogopa tunataka ashuke Mungu?
Nakuunga mkono! Si wanataka tuige wanavyofanya Ulaya? Ulaya makanisa yamefungwa!! Na wao wayafunge kama wako serious!! Namshauri Rais Magufuli awaagize kufunga makanisa yao ili kuepusha mapadri na masista kufa kwao korona, tuone kama hawataomba poo!!!!!Hivi hawa maaskofu kama wako serious kwanini wasifunge kabisa makanisa? Kwani kuna mtu atawazuia?
Si wafunge hayo makanisa yao ili kuwanusuru mapadri na masista na corona? Si ulaya walifunga!! Kama wanataka kuiga wazungu kwa kutoa takwimu, si waive na kufunga makanisa yao? Wana ubavu wa kufanya hivyo? Hapo hakuna kitu zaidi ya unafiki!!Shule ulienda kufanya ko nini ?! Kama Padri amezungumzia kanisa lake . Siyo takwimu za nchi kama Tz . Hivi ukiwa mfuasi wa u dictator na u communist lazima uwe hamnazo ?!
Hakuna sheria inayomzuia kuzungumzia watu walio chini yake. By the way u communist & u dictator haujawahi kuitoa nchi yeyoe mrisi [emoji107]. mbingunikwetu
Takwimu hazisaidii, ndio maana haijawasaidia wamarekani. Badala yake takwimu huleta hofu na taharuki tu!!Acha kudanganya watu na upotoshaji. Mbona mnafanya propaganda za kishamba namna hiyo?
Mnataka kuachive nini? Wewe hujatoa takwimu halafu unajilinganisha na aliyetoa! Hakunaga kitu ya namna hiyo. Mnamdanganya nani? THE OBVIOUS CAN NOT BE PROVED!
Kabisa mkuu! Tunaunga mkono wito wao wa kuchukua thadhali, lakini hii ya kujaribu kutuonesha kama kuna mtu hawajibiki wakati wao wana mamlaka ya kufunga hayo makanisa na kunusuru mapadri wao inashangaza sana.Si wafunge hayo makanisa yao ili kuwanusuru mapadri na masista na corona? Si ulaya walifunga!! Kama wanataka kuiga wazungu kwa kutoa takwimu, si waive na kufunga makanisa yao? Wana ubavu wa kufanya hivyo? Hapo hakuna kitu zaidi ya unafiki!!
Corona haikuwahi kwisha msidanganywe na dereva wenu kipofu wakati yeye kupata chanjo ya mchina kimyakimyaKanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda.
Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.
Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani.
... wanashanagza sana. Mwenye Biblia yake anaema; "wenye afya hawahitaji tabibu, bali wenye kuugua ndio wanaomhitaji.” Mt. 9:12. Huduma za hospitali/matibabu zilikuwepo tangu kale na hata Bwana Yesu mwenyewe alizitambua. Halafu wanatokea wendawazimu wachache kupuuza matibabu ya kisayansi kwa gonjwa hili sijui wana ajenda gani na maisha yetu.Watu wanahisi kwasababu bible haijajikita sna kweny historia ya mwili bali imani basi wanahisi zamani walikuwa maroboti ya Mungu hawaugui wala hawana dawa. Mungu kaweka dawa kwenye miti why is that? Kwann watu wake wanaenda hospital na wanapona? Mungu aliposema kuwa ukiwa na imani ndogo kama chembe ya haladari(kama sikosei neno) utaamisha mlima doesn't mean umuombe ahamishe mlima kweli bila sababu kwasababu atakuona mpumbavu uliopofuka. Sijui kama tunamkosea kwahili tunaomba tusamehewe atujaze imani na amani kati yetu.
Hayo ni ya kwako. Hakuna hata siku moja viongozi wa serikali wamesema tusifanye chochote! Hivi una macho au hauna? Una masikio au hauna? Tulichokifanya ni kumtanguliza Mungu mbele ndipo mambo ya tahadhari kama kunawa mikono na kuvaa barakoa yafuate? Acha uongo!!Ni upumbavu wa hali ya juu kumtaka Mungu akulinde huku wewe hufanyi chochote...
Hata mimi nimesikitika sana alipofikia kusema MUNGU siyo hilizi!! Nimeumia sana kusikia haya maneno yakitoka kinywani mwa padre msomi tena doctor wa fALSAFA NA THEOLOJIA.Ametueleza kuwa corona ipo na inaua. Sijajua sijui mtanzania gani hajui Kama corona ipo. Hata huku shamba tunajua...
Halafu nawashangaa hawa maaskofu, naona hawana uhakika na hilo pumziko la milele!!Poleni sana.
Wapate pumziko la milele.
Baba padre akirudia kuisikiliza hiyo clip atatamani kuiondoa kwenye mitandao, lakini haina jinsi Historia ameaindika itabakiHao ni viongozi wa dini si viongozi wa kiroho! sikiliza tena hiyo clip! Hawana ubavu wa kuthubutu kujiita viongozi wa kiroho!! Hawamwamini kabisa Mungu wala nguvu zake! Hawa ndio biblia ulisema Wana mfano wa utakuwa lakini wakizikana nguvu zake!!! Hawana lolote hao...