Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

Marekani wamekufa watu nusu milioni. Vipi kule nako ukweli ukoje?
Kumbuka pia population ya Marekani ni zaidi ya watu 332,000,000 (milioni mia tatu thelethini na mbili). Jaribu kuweka uwiano wa waliokufa na population yake, kwa Marekani na kwa Tanzania
 
Sababu za vifo ni "Changamoto ya kupumua"

View attachment 1716265

Dar es Salaam. Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema kuanzia Desemba 2020 hadi Februari 2021 mapadri zaidi ya 25, watawa zaidi ya 60 na wenyeviti wawili wa Baraza la Walei wamefariki dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo changamoto ya upumuaji.
 
Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Pole sana.nawaza kwa sauti wale watoto wahudumu ambapo nimewahi kuwa si wanapeleka covid 19 nyumbani
 
Jiwe ameshindwa kabisa kuukubali ukweli
Ni yeye, jee wewe huijui ukweli? Sambaza ufahamu wako wa Covid 19 kwa kila umpendae na yeyote anae paswa kufahamishwa.

Wanasiasa wote hufanya wanayofaidika nayo na sio Jiwe pekee.
 
Na wewe una mawazo ya kijiwe jiwe
 
Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Polesana ndugu lakini kunawatu humu kwaajili ya buku 7 wakotayali kupinga kilakitu yani kunawakati najifikilia kunawatu ktk nchi hii wanaouwezo wakuishi bila yaubongo kichwani
 
Kati ya hao Mapdre 25, mmoja Ni kaka yangu baba mmoja mama mmoja. Rest in Peace Our first Born.
Msg zako za Whasap nazisoma Sana naona kama upo hai brother![emoji24][emoji24]
Pole sana mkuu.
 
Ni yeye, jee wewe huijui ukweli? Sambaza ufahamu wako wa Covid 19 kwa kila umpendae na yeyote anae paswa kufahamishwa.

Wanasiasa wote hufanya wanayofaidika nayo na sio Jiwe pekee.
🙏 🙏 🙏 ❣️
 
Masista na mapadre hawachanganyiki sana na watu watakuwa Corona wanapeana wenyewe sababu wai huenda sana Roma italia kwa papa

Corona ingekuwa ipo wabanana kwenye daladala na mwendo kasi na masokoni na mikutano ya kisiasa wangekufa kama kuku lakini hakuna mitaani uswahilini hali shwari ndicho kitu cha ajabu.

Wanakufa mapadre na masisita wanaoishi maisha ya kujifungia na kukaa mbali na watu wakizingatia social distance kati yao waitwa na Yesu na watu wa kawaida!!!!
 
Wewe ushauri wako ni upi mkuu?
 
Kumbuka pia population ya Marekani ni zaidi ya watu 332,000,000 (milioni mia tatu thelethini na mbili). Jaribu kuweka uwiano wa waliokufa na population yake, kwa Marekani na kwa Tanzania
Hao ni pamoja na kwamba walichukua tahadhali,

Kwa sisi ambao hatukuchua tahadhali tungetegemea sasa hivi vifo viwe mara tano ya hivyo?
 
Mkuu inaelekea una mawazo na fikra finyu sana.Sikuwahi kuwaza kama bado kuna watu wenye sampuli yako duniani 🤣🤣 .Nimemwelewa Nyerere kwann alipiga sana vita ujinga na kuwachukia mno wapumbavu.
Huyo padri atueleze kazi ya sala nini? mtu anasali rozali mpaka anakaribia kuzimia kwa kurudia rudia akisali Salamu Maria anasali nini wakati Mungu sio Hirizi au kinga? si aache ?

Huyu padre tamko lake la kipagani.
 
Hao ni pamoja na kwamba walichukua tahadhali,

Kwa sisi ambao hatukuchua tahadhali tungetegemea sasa hivi vifo viwe mara tano ya hivyo?
Sasa utajuaje vifo ni mara 5 au 10 wakati watawala hawatoi taarifa? Serikali ya US wanawajibika kwa wananchi wao kwa kutoa taarifa sahii-huku kwetu ni siasa tu hata kwenye mambo ya kitaalam
 
Kwahiyo ile tuzo ya kumaliza corona aliyopewa Magufuli ni fake? Ile Tuzo inaweza kuwa sawa na tuzo moja aliyopewa Idi Amini uko Uganda.Idi Amin alipewa tuzo ya Mwafrika wa Kwanza Kuitalawa Scotland (the conqueror of Scotland)
 
Si kuna katazo la kuongelea mambo ya Corona, Katibu huna habari hii?
 
Kanisa limepoteza Imani hivyo wanavuna walichopanda

Tunasahau hata wimbi la Kwanza hatukulishinda kwa nguvu zetu.

Petro alianza kuzama majini baada ya kupoteza imani
Muongo wewe !!. Corona uliishinda wapi ?!. Sema watu walijipa matumaini hewa. Achana na wanasiasa

Waulize Brazil waliifanyia Corona usanii kama wa kwetu , Leo hii wanajuta . Hata Rais wao hawataki kumsikia
 
AISEE TAKWIMU NI KUBWA SANA HIZI NA VIONGOZI BADO HAWATAKI KU ADMIT KUWA UGONJWA UPO ILI TUCHUKUE TAHADHARI.

HUKO WALIKO WANAONA AIBU KUKUBALIANA NA UKWELI KUWA CORONA INAUA WAPENDWA WETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…