Kanisa Katoliki libadili mtazamo kuhusu jinsi linavyowatendea Mapadre na Watawa

Kanisa Katoliki libadili mtazamo kuhusu jinsi linavyowatendea Mapadre na Watawa

Wakiwaruhusu waoe basi ukuu na nguvu ya katoliki itapungua sana. Mapadri kutokua inachangia sana nguvu ya RC. Baba yangu mzazi anasema akiwa kijana mdogo aliulizwa na mama yake (bibi) anataka kuja kuwa nani baadae.. akajibu anataka kuwa Padri. Bibi akamwambia atampa laana endapo hatabadili hiyo nia yake.
 
Kuna mwanamke aliachana na usista na kudai aliachana nao baada ya kuona mwenzake akinyanduliwa faraghani na padri. Huyo mwanamke ni kama alichanganyikiwa na kuwa mlevi wa pombe za kienyeji baada ya kuona tukio hilo adimu kufanywa na watu wa aina hiyo. Pia kuna jamaa mmoja anadai yeye alishanyandua sista sana tu, tena alikuwa anapewa penzi bure bila kugharamikia. Kwa hiyo hawa watawa hufanya mapenzi kama binadamu wengine pindi wakapata mazingira ya faragha kufanya kitendo hicho
 
Luthelan na Islam wanafanya vyema lakini wameruhisiwa kuoa.
Familia ni hitaji kuu la mtu, familia mtu anapata faraja na ivo kumfanya mtendaji mzuri katika majukumu yake.
Ndo maana kwenye vyeo vikubwa Kisiasa hawezi pewa mtu asiyekuwa na familia
 
Hoja nzuri sana inayopaswa kuingwa mkono.
Lakini structure ys kanisa katoliki mpaka kufika hatua hii kuna mengi wameona ndio maana wanadhubutu kuishi maisha ya useje, umaskini na utii.
Ingawa si wote wanafuata hivyo lakini nataka kuamini imesaidi vya kutosha maana wao si wajinga kiasi cha kutotambua faida ns hasara kipi kina kuwa kingi.

Hata hivyo watawa wa kike ndio wanao ishi kwa changamoto kiliko mapadre.
 
Kuna mwanamke aliachana na usista na kudai aliachana nao baada ya kuona mwenzake akinyanduliwa faraghani na padri. Huyo mwanamke ni kama alichanganyikiwa na kuwa mlevi wa pombe za kienyeji baada ya kuona tukio hilo adimu kufanywa na watu wa aina hiyo. Pia kuna jamaa mmoja anadai yeye alishanyandua sista sana tu, tena alikuwa anapewa penzi bure bila kugharamikia. Kwa hiyo hawa watawa hufanya mapenzi kama binadamu wengine pindi wakapata mazingira ya faragha kufanya kitendo hicho
Mtu haumwi, anakula anashiba na hivi mademu wanatingisha makalio ati useme asilombe kisa awe mtiifu
Watawapa dhambi bure vijana wetu
 
Kwahio walivyoanza zamani Watawa wa zamani au kina Mama Thereza walikuwa wanajiteka mara ngapi ?

Tatizo Kanisa limepotoka limekuwa ni chanzo cha mapato na watu kwenda ili kujinufaisha na sio kutumikia watu (hio kazi ni WITO hutaki unaacha) sasa unakuta sasa hivi watu wanashindana kila padre ana gari, Padri anataka awatunze watu wa kwao (na pesa hio wanataka itoke kwenye michango ya watu ambao hawana hana Baiskeli) ?

Tuseme hivi hizi Imani haziwatendei Haki Waumini kwa kuwageuza kama Rasilimali...
 
We zamani ulikuwepo?
 
Binafsi nimesomea Katoke Seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Nikiwa mtu niliyeishi ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki, ninaweza kusema kwa ukweli kuwa kanisa hili limejipanga vizuri sana katika idara na utendaji wake. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa katika namna linavyowatendea Mapadre na Watawa wake.

Kumekuwa na taarifa na tuhuma kwamba baadhi ya Mapadre wanapitia msongo mkubwa wa maisha unaowasukuma kuchukua hatua kali kama kujiteka, kujidhuru au hata kujiua. Ingawa binafsi sina imani kubwa na vyombo vya dola kama jeshi la polisi, kwa kuzingatia falsafa na mifumo ya kanisa, ninaona kuna chembe ya ukweli katika matukio hayo.

Kibinadamu, mtu ameumbwa na asili ya kutaka kumiliki—iwe ni fedha, nyumba, mali au familia. Ni vigumu sana kwa binadamu kukana kabisa asili hii. Hata mnyama kama mbwa anatambua sahani yake na hawezi kuruhusu mwingine kula chakula chake; sembuse binadamu. Kwa hiyo, ni changamoto kubwa kumlazimisha Padre kuishi maisha yasiyo na umiliki wowote—bila fedha, mali, wala mwenza.

Shinikizo la maisha hayo linaweza kuwapelekea baadhi ya Mapadre na Watawa kukopa kwa siri, kushindwa kulipa, na hatimaye kupata msongo wa mawazo, shinikizo la damu, au kufikia hatua mbaya ya kujidhuru.

Kimsingi, mwanaume au mwanamke aliyekomaa kisaikolojia na kimwili hawezi kuishi bila mwenza au bila kushiriki tendo la ndoa—hilo ni hitaji la kiasili, si udhaifu. Kwa hiyo, naamini iwapo Mapadre na Watawa wangepewa uhuru wa kumiliki mali binafsi na kuwa na wenza, wangeishi kwa amani zaidi, na utii wao kwa kanisa ungeongezeka marView attachment 3490237
KazI za wito hizo utaki kwanini ujitese kubaki huko waondoke tu ka dr Slaa alivyofanya binafsi nashukuru maisha ya Seminary yalinishinda mapema sana nikiwa kidato cha kwanza pale ITAGA SEMINARY Tabora nikarudi zangu kusoma shule za private za kawaida na mipango ya upadri ikaishiaga hapo.
 
We zamani ulikuwepo?
Kwahio hata kama zamani nilikuwa sipo kulikuwa hakuna watawa (na wangapi walijiteka) au kupata msongo wa mawazo - Unajua zile za kuuza mali zako zote na kuwapa masikini au unajua maisha ya ma-budha watu wanaishi kwa meditation na kuachana na material things ? ndio yalikuwepo achana na haya ya leo mtu anakwenda kwenye Utawa / Upadre kutafuta ujira (njia mojawapo ya kipato) na hapa naangelea zaidi kumiliki mali (achana na hilo la celibacy)
 
Hakuna mtu timamu asiyetaka kumiliki
Mali, mke/ mme, n. K
Hao unaowasa ni machizi tu
Ndo maana nimekwambia hawa Mapdre na Watawa wanapitia mengi, Kanisa lione njia nzuri ya kuwasaidia.
Me nimesoma seminarini najua baadhi ya mambo Kwa ukubwa
 
Luthelan na Islam wanafanya vyema lakini wameruhisiwa kuoa.
Familia ni hitaji kuu la mtu, familia mtu anapata faraja na ivo kumfanya mtendaji mzuri katika majukumu yake.
Ndo maana kwenye vyeo vikubwa Kisiasa hawezi pewa mtu asiyekuwa na familia
Wewe uwezo wako wa kiakili ni mdogo sana huwezi kuelewa nilichoandika. Jikite kufuatilia maandamano haramu ya Mange.
 
Hakuna mtu timamu asiyetaka kumiliki
Hivi unajua hata kumiliki au unajua hata kwanini watu wanaishi au unadhani kumiliki lazima iwe mali ? Kwahio kina Mama Theresa walikuwa hawapo Timamu na kama huwezi kuwa Mtawaa ulilazimishwa ? Si wewe ulishindwa ukaacha;

Mali, mke/ mme, n. K
Hao unaowasa ni machizi tu
Wewe kwa kuona ni machizi ndio maana kuna choice ya kwenda unapokwenda ukitaka iwe Budha, Mormons, au Ukristo - ukienda sehemu fuata kanuni za hapo huwezi unaondoka au kuanzisha taasisi yako
Ndo maana nimekwambia hawa Mapdre na Watawa wanapitia mengi,
Wengine kupitia mengi ndio roho inazuudhika kwamba wanafanya wanachofanya na wanafurahia after all sidhani kama kuna kulazimishana
Kanisa lione njia nzuri ya kuwasaidia.
Me nimesoma seminarini najua baadhi ya mambo Kwa ukubwa
Kuwasaidia njia ya kwanza kama hawawezi watoke huko; na kuhusu mali au kipato nadhani msaada badala ya finance kutoka kwa waumini basi waanze vibarua pia mtaani hii kazi iwe part time after all ni kama wachungaji wananenepa wakati mifugo inazidi kukonda....
 
Afya ya akili ni tatizo kubwa uzeeni
Na ukizingatia maisha yake yote alikuwa anapiga puchu….
Inaweza kuwa kwa umri wake ni dalili za Dementia lakini kwa kuwa huku ni kitu kigeni lazima wajinga waingize ajenda zao za kipumbavu za kutekwa…
 
For years mapadri ni watu wa kuheshimika sana sanaa..

Siamini maneno ya jeshi la polisiii rejea ""RIRIKUA LINAPAMBANA NA JESHI LA POLISII TUKALISHINDA"""

Kuna mengi na sio rahisi mtu kujiteka na nyuma ya PAZIA Kuna SHINIKIZO kubwa SANAAAAAA.

Ntakua mtu wa mwisho kukubali au kuamini jeshi la polisiii Tanzania maana Hawa aminiki kamwe.
 
Hivi unajua hata kumiliki au unajua hata kwanini watu wanaishi au unadhani kumiliki lazima iwe mali ? Kwahio kina Mama Theresa walikuwa hawapo Timamu na kama huwezi kuwa Mtawaa ulilazimishwa ? Si wewe ulishindwa ukaacha;

Wewe kwa kuona ni machizi ndio maana kuna choice ya kwenda unapokwenda ukitaka iwe Budha, Mormons, au Ukristo - ukienda sehemu fuata kanuni za hapo huwezi unaondoka au kuanzisha taasisi yako

Wengine kupitia mengi ndio roho inazuudhika kwamba wanafanya wanachofanya na wanafurahia after all sidhani kama kuna kulazimishana

Kuwasaidia njia ya kwanza kama hawawezi watoke huko; na kuhusu mali au kipato nadhani msaada badala ya finance kutoka kwa waumini basi waanze vibarua pia mtaani hii kazi iwe part time after all ni kama wachungaji wananenepa wakati mifugo inazidi kukonda....
Nimekwambia suala la kufanya ngono Kwa mtu aliyekamilika kibaolojia ni la laZima na huwezi kulipinga ni sawa na kusema watu wakae Kwa kutumia kichwa na sio makalio

Kumiliki Mali na kaubinafsi ndo asili ya viumbe hai sio binadamu tu, hili halitaki utake au usitake

Kutoa maoni si jambo baya, usiseme kama unaona hutaki utoke RC, nyie ndo wale tukidai katiba ya nchi mnatwambia tuhamie Burundi
 
For years mapadri ni watu wa kuheshimika sana sanaa..

Siamini maneno ya jeshi la polisiii rejea ""RIRIKUA LINAPAMBANA NA JESHI LA POLISII TUKALISHINDA"""

Kuna mengi na sio rahisi mtu kujiteka na nyuma ya PAZIA Kuna SHINIKIZO kubwa SANAAAAAA.

Ntakua mtu wa mwisho kukubali au kuamini jeshi la polisiii Tanzania maana Hawa aminiki kamwe.
Kila jambo Linaweza kutokea
 
Kila jambo Linaweza kutokea
Sio Kila tukio jeshi linakimbilia kusema mtu kajiteka?? Refer issues ya yule padri mwingine SERIKALI kupitia jeshi ikasema Kuna biashara ya online alipo gundua katapelika..
Refer issue ya ABDUL NONDO,
 
Hata mimi nimepitia kwenye shule zao, miaka mingi iliyiopita. Siku zote nimekuwa muwazi kuhusu maisha ya Maaskofu, Mapadre, na Watawa wa kiume na wa kike wa Kanisa Katoliki!

Waachane na maisha ya useja! Kwa sababu ni wachache tu kati yao ndiyo wanayaishi hayo maisha. Wengi wamekuwa wakifanya uzinzi kimya kimya!

Yaani kiufupi Kanisa Katoliki hata kama ni kongwe kuliko Makanisa yote duniani; bado hawazuiliwi kubadilisha aina yao ya maisha. Maaskofu na Mapadre waruhusiwe kuoa kama ilivyo kwa Makatekista! Mwisho wa mwezi walipwe posho kutokana na sadaka tunazotoa, pamoja na uwekezaji wa miradi mbalimbali.

Maisha ya kuishi useja, kutokumiliki mali au familia; kiukweli yana changamoto nyingi za kisaikolojia. Na wanaoshindwa kuyaishi hayo maisha ndiyo utawakuta wana vimada na watoto wao pembeni! Wana biashara zao binafsi, nk.

Mabadiliko kiukweli hayakwepeki.
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom