Acha upuuzi! Kwani useja kwa mapadre umeanza leo! Kwani kuna mtu anamg'ang'ania akawe Padre?Binafsi nimesomea Katoke Seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Nikiwa mtu niliyeishi ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki, ninaweza kusema kwa ukweli kuwa kanisa hili limejipanga vizuri sana katika idara na utendaji wake. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa katika namna linavyowatendea Mapadre na Watawa wake.
Kumekuwa na taarifa na tuhuma kwamba baadhi ya Mapadre wanapitia msongo mkubwa wa maisha unaowasukuma kuchukua hatua kali kama kujiteka, kujidhuru au hata kujiua. Ingawa binafsi sina imani kubwa na vyombo vya dola kama jeshi la polisi, kwa kuzingatia falsafa na mifumo ya kanisa, ninaona kuna chembe ya ukweli katika matukio hayo.
Kibinadamu, mtu ameumbwa na asili ya kutaka kumiliki—iwe ni fedha, nyumba, mali au familia. Ni vigumu sana kwa binadamu kukana kabisa asili hii. Hata mnyama kama mbwa anatambua sahani yake na hawezi kuruhusu mwingine kula chakula chake; sembuse binadamu. Kwa hiyo, ni changamoto kubwa kumlazimisha Padre kuishi maisha yasiyo na umiliki wowote—bila fedha, mali, wala mwenza.
Shinikizo la maisha hayo linaweza kuwapelekea baadhi ya Mapadre na Watawa kukopa kwa siri, kushindwa kulipa, na hatimaye kupata msongo wa mawazo, shinikizo la damu, au kufikia hatua mbaya ya kujidhuru.
Kimsingi, mwanaume au mwanamke aliyekomaa kisaikolojia na kimwili hawezi kuishi bila mwenza au bila kushiriki tendo la ndoa—hilo ni hitaji la kiasili, si udhaifu. Kwa hiyo, naamini iwapo Mapadre na Watawa wangepewa uhuru wa kumiliki mali binafsi na kuwa na wenza, wangeishi kwa amani zaidi, na utii wao kwa kanisa ungeongezeka marView attachment 3490237
Hilo siwezi kuuthibitisha ila kusema ukweli kanisa katoliki Lina falsafa ambazo zinapinga nature na hii Kwa miaka hii itawasumbua sana na watapata matukio mengi.Sio Kila tukio jeshi linakimbilia kusema mtu kajiteka?? Refer issues ya yule padri mwingine SERIKALI kupitia jeshi ikasema Kuna biashara ya online alipo gundua katapelika..
Refer issue ya ABDUL NONDO,
Upadre haujaanza Leo ila kumbuka falsafa ya kanisa katoliki unapinga nature, Kwa Karne hii watapata matukio mengiAcha upuuzi! Kwani useja kwa mapadre umeanza leo! Kwani kuna mtu anamg'ang'ania akawe Padre?
Kushindwa kuzuia nyege zako kusikufanye uone kila mtu haweziNdo mjue sasa kua huo ukatoliki ni imani ya watu wa huko roma na sio dini hivi dini kweli inaweza kumkataza mtu asioe wala asiolewe huku ni kupingana na maumbile haiwezekani abadani asilani haiwezekani
N
Mimi nina cousin yangu amezaa na padri watoto zaidi ya watatu. Na watoto walipokuwa wadogo walikuwa wanamuita babu, ila saivi wanamuita baba tu.Namjua paroko mmoja huko kusini anamke na mtoto, huyu mtoto anamuita baba yake "Babu" ila kwa hakika ni baba yake mzazi. Na Bado wanaishi pamoja mpaka Leo.
Mtazamo wako unahukumu pasipo kuangazia upande wa pili.. tusubiri tamko la padri na askofu wake.Binafsi nimesomea Katoke Seminary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. Nikiwa mtu niliyeishi ndani ya mfumo wa Kanisa Katoliki, ninaweza kusema kwa ukweli kuwa kanisa hili limejipanga vizuri sana katika idara na utendaji wake. Hata hivyo, bado kuna changamoto kubwa katika namna linavyowatendea Mapadre na Watawa wake.
Kumekuwa na taarifa na tuhuma kwamba baadhi ya Mapadre wanapitia msongo mkubwa wa maisha unaowasukuma kuchukua hatua kali kama kujiteka, kujidhuru au hata kujiua. Ingawa binafsi sina imani kubwa na vyombo vya dola kama jeshi la polisi, kwa kuzingatia falsafa na mifumo ya kanisa, ninaona kuna chembe ya ukweli katika matukio hayo.
Kibinadamu, mtu ameumbwa na asili ya kutaka kumiliki—iwe ni fedha, nyumba, mali au familia. Ni vigumu sana kwa binadamu kukana kabisa asili hii. Hata mnyama kama mbwa anatambua sahani yake na hawezi kuruhusu mwingine kula chakula chake; sembuse binadamu. Kwa hiyo, ni changamoto kubwa kumlazimisha Padre kuishi maisha yasiyo na umiliki wowote—bila fedha, mali, wala mwenza.
Shinikizo la maisha hayo linaweza kuwapelekea baadhi ya Mapadre na Watawa kukopa kwa siri, kushindwa kulipa, na hatimaye kupata msongo wa mawazo, shinikizo la damu, au kufikia hatua mbaya ya kujidhuru.
Kimsingi, mwanaume au mwanamke aliyekomaa kisaikolojia na kimwili hawezi kuishi bila mwenza au bila kushiriki tendo la ndoa—hilo ni hitaji la kiasili, si udhaifu. Kwa hiyo, naamini iwapo Mapadre na Watawa wangepewa uhuru wa kumiliki mali binafsi na kuwa na wenza, wangeishi kwa amani zaidi, na utii wao kwa kanisa ungeongezeka marView attachment 3490237
Kwa hiyo unamaanisha kabisa hilo linahitaji Reforms?Hata mimi nimepitia kwenye shule zao, miaka mingi iliyiopita. Siku zote nimekuwa muwazi kuhusu maisha ya Maaskofu, Mapadre, na Watawa wa kiume na wa kike wa Kanisa Katoliki!
Waachane na maisha ya useja! Kwa sababu ni wachache tu kati yao ndiyo wanayaishi hayo maisha. Wengi wamekuwa wakifanya uzinzi kimya kimya!
Yaani kiufupi Kanisa Katoliki hata kama ni kongwe kuliko Makanisa yote duniani; bado hawazuiliwi kubadilisha aina yao ya maisha. Maaskofu na Mapadre waruhusiwe kuoa kama ilivyo kwa Makatekista! Mwisho wa mwezi walipwe posho kutokana na sadaka tunazotoa, pamoja na uwekezaji wa miradi mbalimbali.
Maisha ya kuishi useja, kutokumiliki mali au familia; kiukweli yana changamoto nyingi za kisaikolojia. Na wanaoshindwa kuyaishi hayo maisha ndiyo utawakuta wana vimada na watoto wao pembeni! Wana biashara zao binafsi, nk.
Mabadiliko kiukweli hayakwepeki.
Hilo siwezi kuuthibitisha ila kusema ukweli kanisa katoliki Lina falsafa ambazo zinapinga nature na hii Kwa miaka hii itawasumbua sana na watapata matukio mengi.
Ni Bora Vatican iketi warekebishe baadhi ya vifungu
Sio suala la Padre Nikita tuMtazamo wako unahukumu pasipo kuangazia upande wa pili.. tusubiri tamko la padri na askofu wake.
Binafsi padri Nikata namfahamu fika sidhani na siamini yaliyotamkwa na rpc
View attachment 3490278Hilo siwezi kuuthibitisha ila kusema ukweli kanisa katoliki Lina falsafa ambazo zinapinga nature na hii Kwa miaka hii itawasumbua sana na watapata matukio mengi.
Ni Bora Vatican iketi warekebishe baadhi ya vifungu
Moja ndio maana nimekwambia sitaki kulizungumzia celibacy hapa na nimejikita kwenye mali nadhani nimesema hilo tangia mwanzo kabisa na kuhusu hao Mapadre kutokufanya Ngono kuna Mapadre wanajulikana na wana watoto (ila kama nilivyosema hapa najikita kwenye maliNimekwambia suala la kufanya ngono Kwa mtu aliyekamilika kibaolojia ni la laZima na huwezi kulipinga ni sawa na kusema watu wakae Kwa kutumia kichwa na sio makalio
Ndio maana nikasema hujui unachoongelea wewe kumiliki material things kwako huenda ndio ikawa alfa na omega mwingine kujitoa na nafsi yake kuona kwamba imeweza kutangaza neno (kazi ya Mungu) ndio kumiliki kwenyewe; kila mtu ana matamanio yake usiangalie vitu kwa macho ya nafsi yako au unachopenda wewe - Mwingine kuwa Father na ku-make a difference ndio anashukuru ndio maana kuina Monks kwao material things anajiona amepunguaKumiliki Mali na kaubinafsi ndo asili ya viumbe hai sio binadamu tu, hili halitaki utake au usitake
Kuzaliwa umezaliwa Tanzania hii ni nchi yako kwahio huwezi kuambiwa uhame Kanisa umelikuta na Kanuni zake kama unaona hazifai mbona rahisi tu unatoka kama wewe ulivyotoka - Ukizingatia kumiliki vitu ni nani anakuchangia ? Kama ni masikini ambaye hana kitu alafu wewe unataka kumiliki huo ndio unaitwa unayonyaji na utapeliKutoa maoni si jambo baya, usiseme kama unaona hutaki utoke RC, nyie ndo wale tukidai katiba ya nchi mnatwambia tuhamie Burundi
Suala la kuoa au rugusa ya umiliki na uwezo binafsi wakujitawala hauepushi madeni, ulawiti au makosa mengine ya kimaadili...Sio suala la Padre Nikita tu
Kuna Padre huko Mbeya na askofu alithibitisha alikuwa na madeni, na msongo wa Mawazo.
Kuna kesi za ulawiti nyingi.
Kuna tukio la ushirikina huko Bukoba Padre alifadhili genge la kumuua mtoto mwenye zeruzeru
Jizuie kukojoa tu kma utaweza sembuse hisiaKushindwa kuzuia nyege zako kusikufanye uone kila mtu hawezi
Naheshimu mtazamo wako MkuuMoja ndio maana nimekwambia sitaki kulizungumzia celibacy hapa na nimejikita kwenye mali nadhani nimesema hilo tangia mwanzo kabisa na kuhusu hao Mapadre kutokufanya Ngono kuna Mapadre wanajulikana na wana watoto (ila kama nilivyosema hapa najikita kwenye mali
Ndio maana nikasema hujui unachoongelea wewe kumiliki material things kwako huenda ndio ikawa alfa na omega mwingine kujitoa na nafsi yake kuona kwamba imeweza kutangaza neno (kazi ya Mungu) ndio kumiliki kwenyewe; kila mtu ana matamanio yake usiangalie vitu kwa macho ya nafsi yako au unachopenda wewe - Mwingine kuwa Father na ku-make a difference ndio anashukuru ndio maana kuina Monks kwao material things anajiona amepungua
Kuzaliwa umezaliwa Tanzania hii ni nchi yako kwahio huwezi kuambiwa uhame Kanisa umelikuta na Kanuni zake kama unaona hazifai mbona rahisi tu unatoka kama wewe ulivyotoka - Ukizingatia kumiliki vitu ni nani anakuchangia ? Kama ni masikini ambaye hana kitu alafu wewe unataka kumiliki huo ndio unaitwa unayonyaji na utapeli
Hata kama baadhi ya viongozi wa dini wanafanya maovu wakiwa na uhuru wa ndoa au mali, hilo haliwezi kuwa hoja ya Kanisa Katoliki kupinga asili ya kibinadamu. Binadamu ameumbwa na mwili, nafsi na roho; anahitaji uhuru wa kibiolojia, kisaikolojia na umiliki. Kufutilia mbali uhuru huu kunapingana na uumbaji na utu wake.Suala la kuoa au rugusa ya umiliki na uwezo binafsi wakujitawala hauepushi madeni, ulawiti au makosa mengine ya kimaadili...
Kuna mashehe wanaruhusiwa kuoa Hadi wake wanne na wanajitawala binafsi kiuchumi na mambo mengine..
hujawahi sikia wamebaka, wanna madeni, msongo wa mawazo, ulawiti na ubakaji n.k ?!
Ukienda Jimbo Katoliki la Mahenge na Ifakara, kuna Mapadre wengi tu wana familia na biashara zao binafsi. Achilia mbali maisha ya ulevi na ufuska uliokothiri kwa baadhi ya Mapadre na Watawa.Namjua paroko mmoja huko kusini anamke na mtoto, huyu mtoto anamuita baba yake "Babu" ila kwa hakika ni baba yake mzazi. Na Bado wanaishi pamoja mpaka Leo.
Huu mjadala haujadiliwi na sisi tu. Ni karibia dunia nzima. Ni vile tu Kanisa liwamua kuweka pamba masikioni. Ila mabadiliko hayakwepeki siku zijazo.Kwa hiyo unamaanisha kabisa hilo linahitaji Reforms?