Mkuu wanasema siku hizi hakuna Wafadhili.Mnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Sawa .lakini kuna utaratibu wa kuratibu michango si inakuwa kama mpira wa kona.Mkuu wanasema siku hizi hakuna Wafadhili.
Yani unajimaliza mpaka nauri ya kurudia nyumbani mtu anakosa 😂Si bora ya kupanda mbegu, sadaka ya kujimaliza ndio balaa......
Watumishi Mungu anawaona
Tufanye pale tunapoweza.Sawa .lakini kuna utaratibu wa kuratibu michango si inakuwa kama mpira wa kona.
Dini ni Taasisi zilizoanzishwa ili kuwa exploit wana jumuiyaMnashindwa wapi kusoma saikolojia za watu.Yani kunapokuwa na matukio ya komunyo ya kwanza au kupaimara mnawakamua waumini michango hadi wanachukia dini.
Halafu siku ya tukio la komunyo bado tena wanakamuliwa wazazi kupitia harambee tena siyo tu kuwahusisha wanaume katoliki na wanawake katoliki bali wanaitwa watoto wanapangwa mbele na kuitwa kila mzazi aje kumgombowa mtoto, halitoshi mama aliyesuka vizuri anapelekewa kikapu.
Acheni kuwadhalilisha wazazi kama alibakiwa na buku 2 hatimaye anashindwa hata kukodi boda. Michango ya ujenzi ina utaratibu wake haya mengine ni unyanyasaji.
Tunasali kanisa moja nini ndugu yangu, ila ya bunju imebtisha!Hapana siku hizi zipo mpaka katoliki.
Parking kwangu huku bunju wanaiita zaka ya kujipukutisha. Mtu mpaka unaogopa kwenda kusali haya sio mafundisho tuliyopewa, yanaibuka tu
Zamani tulikua tunawacheka walokole ila sasa wameyaleta na kwetu huku
Dah halafu kuna kadi ya kumtmbulisha mkatoliki inaitwa kaakaa nayo kupata sh 3000,pia kuna ile mtoto anapopata kumunio eti analipa zaka 5000.je analipaje zaka mtoto wakati hatafuti hela anamapato gani?Dini ni Taasisi zilizoanzishwa ili kuwa exploit wana jumuiya
Unaenda kanisani unakuta kuna Sadaka karibia 10,ibada moja ,ukitoka hapo umekamuliwa hela yote 😄
Mtanyooka
Ukiwa unaishi na mke hujabariki ndoa huruhusiwi kukominika na wanatambuwa unafanya uzinzi.lakini kwenye michango na zaka wanatambuwa na kumtaka alipe.Tunasali kanisa moja nini ndugu yangu, ila ya bunju imebtisha!
Zaka ya asilimia mia moja!!
Na majina yao Big may Big November.
Uchumba hawautambuwi ila zaka na michango wanaitambuwa.WANYONYAJI HAO, Tangu enzi
Siyo waislam wote wanaswali swala 5 kwenye msikiti wenye waumini60 wanaoswali swala 5 huenda kumi tuTukisema ukristo sio dini ya kweli muamini
Lets say waislamu wanaswali mara 5 kila siku je wangekua wanachangisha ivo wangekua matajiri kiasi gani?
Sawa tu.kuzikwa ni kuzikwa tu.We mtoa mada na wengine shauri yenu. Siku ya kifo chenu katekista atavuta kwanza fail lako la zaka kuchek kuwa ulikuwa unaipa michango vzur au la, kama liko vbaya padri hatokuja kukuzika! Utazikwa kama mbwaa!🤣🤣🤣🤣🤣
Na njaa ikukubana sana ,unaenda ndani unastua tumbo kidogo! Sasa mwenzangu na mimi hata katonge huko ndani huna,ikibana utastua na nini!? Ufukara usikie tu kwa mwenzio na usiombe ukukute utashaa!!Anaishi kifukara ila sio fukara.....ni kama ndani una msosi ila ukaamua kushinda njaa
Na sadaka ya kweli hailazimishwi kwa kufokeanaMichango ya kanisa ukitoa kwa moyo kadiri uwezavyo bila manung'uniko kuna baraka nyingi sana.
Ningeweza kutoa shuhuda nyingi hapa, ila si sawia kadiri ya desturi zetu wakatoliki.
Sadaka ya kweli ni ile inayouma, japo mtoaji hupaswi kulalama njia nzima