Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Sina ushahidi kuwa kanisa chini ya papal urban II lili amrisha crusade war ?

Au lengo lako wewe mimi niandike kitabu hapa ? Sio muandishi mzuri wa maneno mengi.

Wewe ni liongo. sijui ikiwa umeongopa kwa bahati mbaya ama maksudi. Sasa kama huna ushahidi na yule member ulimtaka akasome nini nje ya Jf ilhali unajua fika hakuna ushahidi wa dai lako?.
Dai uibue wewe, uhojiwe useme "huna ushahidi" mara "nenda kasome history ya kanisa" kwa hiyo kanisa ndiyo linatoa ushihidi usio kuwepo?

Ikiwa umeshindwa kutofautisha neno "RETALIATION " na "KUSAPOTI" kwanini nidhani kuwa ninjadiliana mtu nyuma ya keypad na si robot?.
Umma wa kiislam ulivamia ulaya kwa dhumni la kuslimisha wakristo wa ulaya. Wakaenda mbali zaidi hadi kuchoma mashua zao ili asiwepo miongoni mwao wa kurudi nyuma dhidi ya ad hima yao.

Katika hali hiyo kanisa likaamua kujibu dhuluma ya waislamu dhidi ya wakristo.
katika hali hiyo neno sapoti linatoka wapi?.
Sapoti dhidi ya nani hasa?.
Kwako sapoti lina maana nyingine ama ni hii hii inayojulikana na wengi?.
Acha utoto.
 
Nimekutajia papal hapo aliye amrisha Crusade war kwa mara ya kwanza.

Uongo wangu upo wapi hapo ?
 
Puntus pilate

I have washed my hands off arguing with you just the way puntus washed his hands off the death of christ.
Nazo crusade war zilikuwa zinapiganiwa katika ulimwengu wa roho ? Ili tuziite vita takatifu.

Au zili husisha majambia na kuchinja watu kama kuku na bado zikaitwa vita takatifu huku kanisa likitajwa kuwa halija tenda dhambi kwa kuvunja amri ya sita [ Usiue ].
 
Umeshindwa kuonesha huo uongo una kimbilia kunawa mikono.
Please stop this afro pessimism, especially when you're not even familiar with history or when you're only interested in 'uongo' and never good news coming out of catholic church.
 
Please stop this afro pessimism, especially when you're not even familiar with history or when you're only interested in 'uongo' and never good news coming out of catholic church.
Njia nyepesi ya kushindwa kuonesha huo uongo wangu umeamua ubadili lugha ?

Hiyo njia haiwezi kukusaidia.
 
Hehehe napenda namna maustadh mnafuatilia kila hoja inayohusu ushoga, ukizingatia ushoga ulivyoshamiri maeneo yenu ya lani huko na pemba.....
Hata hivyo hii haijazidi tukio la yule mwarabu wenu mnayemuabudu aliyekua anagegeda katoto
@deepond liply ya mkenya ndo hii umeiona 😃
Yani zilongwa mbali, zitendwa mbali😃
Nashukuru mungu kuzaliwa bongo,,
 
[emoji1787][emoji1787] unahangaika

Wala sihangaiki, nawakumbusha nyie mnaomuabudu muddy, huwa mko obsessed sana na masuala ya ushoga na kuyafanya kimya kimya, japo huwa mnaumbuka mara nyingi tu, Pwani na Pemba ndio zenu.
 
@deepond liply ya mkenya ndo hii umeiona 😃
Yani zilongwa mbali, zitendwa mbali😃
Nashukuru mungu kuzaliwa bongo,,

Hiyo Bongo kuna wakati mliamsha uzombi wenu wa kidini mkazimwa, ila mumeichafua sana kwanza huko pwani na Pemba, juzi niliona sehemu hadi polisi wa huko Pemba ni shoga kabisa.
 
RC si ndo ma antichrist wenyewe hamna chakushangaa tukutane kiama

🏃🏃🏃🏃
 
Kuja tofauti ya individual behavior ndani ya ideology Group fulani against official or formal declaration inatolewa na heads na followers Kuwa ni SAINTS.. Kwamba wanachokisema kwa upole basi ni wachamungu na ndio kauli ya MUNGU ....
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…