LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Target yao sasa ni kuelekea ndani ya islamic sharia, taratibu na kwa ustadi wa hali ya juu wameanza kuharibu moral islamic culture. Msijione kama mpo salama kwa kushangilia wenzenu kuharibiwa maadili yao. Hao mashetani yamedhamiria kuharibu dunia nzima, halitasalia jiwe hata moja. Sasa nguvu zinaelekezwa kwa waislam