The Bible says: "MPUMBAVU amesema moyoni mwake kuwa hakuna Mungu."Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo
Yaani anakupa PUMZI Bure na unaitumia kumtukana!!!
Anyway, Wachawi, washirikina, waovu na waabudu sanamu Wana mungu wao aliye na KITI Cha enzi kuzimu.
Ninakuombea USIFE kabla ya kukutana na Mungu Yesu akuokoe.
Amen