Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Kanisa Katoliki Ujerumani kuanza kubariki ndoa za jinsia moja kuanzia 2026

Hizi imani inabidi turudi kwenye imani za mababu zetu za kuabudu milima,miti mikubwa na mizimu,huku tuelekeapo si kuzuri kwa kweli.
Kila mtu ajiabudu yeye mwenyewe ndiyo dawa
 
Huku ndio Ulaya wamefikia na wanataka kutulaximisha..

Afrika ikatae na ijitenge na huu upuuzi hata kama Papa wa Vatican yeye anasema Iko sawa.

====
Mkutano wa Sinodi - ambao unalenga katika mageuzi ya Kanisa - uliidhinisha hati huko Frankfurt siku ya Ijumaa ili kuruhusu wapenzi wa jinsia moja wapewe baraka zao na Kanisa Katoliki la Ujerumani kuanzia mwaka 2026.

Kati ya wanachama 202 wa Mkutano wa Sinodi, 176 walipiga kura kuunga mkono hati hiyo, huku 14 wakipinga na 12 wakijizuia.

Mchakato wa mageuzi ya Njia ya Sinodi

Kuruhusu sherehe za baraka kwa wapenzi wa jinsia moja ni miongoni mwa madai muhimu katika mchakato wa mageuzi ya Njia ya Sinodi, ambao umekuwa ukiendelea tangu mwaka 2019.

Harakati za kisasa pia zinataka kumaliza ukungu kwa mapadri na kuona wanawake wanapewa daraja la mashemasi.

Kulingana na shirika la habari la Kikatoliki la Kijerumani KNA, baraka pia zitaruhusiwa kwa watu waliooa tena kiraia na wanaoachika.

KNA iliripoti kuwa kulikuwa na mapendekezo kwamba Baraza la Maaskofu la Kijerumani na Kamati Kuu ya Wakatoliki wa Kijerumani "waweze kukuza na kuwasilisha maadhimisho yanayofaa kwa wakati unaofaa."

Miaka mitatu kwa mabadiliko hayo kutekelezwa itatumika kwa ajili ya kuendeleza mfumo wa liturjia ya sherehe hiyo kwa ushiriki wa maaskofu.

Kanisa Katoliki na mageuzi

Vatikani na harakati za mageuzi ya Ujerumani

Kanisa nchini Ujerumani ilianzisha harakati ya mageuzi wakati idadi kubwa ya Wajerumani walipokuwa wanatoka katika makongamano ya Kanisa na skandali za unyanyasaji wa kingono zinazohusisha Kanisa. Uanachama wa kanisa ulishuka chini ya asilimia 50 kwa mara ya kwanza mwaka 2021.

Vatikani hapo awali ilifanya wazi kwamba inaona madai ya Njia ya Sinodi ya kushughulikia ubaguzi wa kimapenzi, ukungu, na wanawake katika Kanisa kama yanayosababisha mgawanyiko, na kuonya kwamba madai hayo yanaweza kusababisha mwanya.

Mwezi wa Julai mwaka jana, Kiti kitakatifu kiliionya viongozi wa marekebisho ya Kijerumani kwamba hawana mamlaka ya kuwaongoza maaskofu kuhusu masuala ya maadili au mafundisho.

Askofu wa Eichstätt, Gregor Maria Hanke, alionya juu ya hatari ya kutokea mgawanyiko ndani ya Kanisa kuhusu suala hilo, kama ilivyotokea ndani ya Kanisa la Kianglikana.
====
The Synodal Assembly — which is focused on reforming the Church — adopted a paper in Frankfurt on Friday to allow for same-sex couples to have their relationships blessed by the German Catholic Church from 2026.

Of the 202 members of the Synodal Assembly, 176 voted in favor of the paper, while 14 against and 12 abstained.

Synodal Path reform process

Allowing blessing ceremonies for same-sex couples has been among the key demands in the Synodal Path reform process, which has been ongoing since 2019.

The progressive movement also seeks to end celibacy for priests and see women ordained as deacons.

According to the German Catholic news agency KNA, blessings would also be allowed for civilly remarried and divorcees.

KNA reported that the there was a recommendation that the German Bishops' Conference and the Central Committee of German Catholics "develop and introduce appropriate liturgical celebrations in a timely manner."

The three years for the change to take effect are to be used to develop the liturgical format of the ceremony with the participation of
the bishops.

Catholic Church and reform

The Vatican and Germany's reform movement

The church in Germany launched the reform movement amid record numbers of Germans leaving congregations and sex abuse scandals involving the church. Church membership dropped below 50% for the first time in 2021.

The Vatican has in the past made it clear that it views the Synodal Path's calls for addressing homosexuality, celibacy and women in the Church as divisive, and warned those calls could cause a fracture.

In July last year, the Holy See warned German reformers that they had no authority to instruct bishops on moral or doctrinal matters.

Bishop of Eichstätt, Gregor Maria Hanke, warned of the danger of a rift occurring within the Church on the issue, as has been seen within the Anglican Church.
Kila siku mnaambiwa katoliki sio kanisa mnabishana tu 😀😀,ona sasa
 
Acha uongo wewe uislam umenzishwa na nani ? [emoji1787]
Dini zote zenye kusajiliwa Serikalini zilianzia hapo Romeee.

Utakapokuja kuambiwa na sheik wenu mkuu muungane na catholicseser kuanzisha Dini moja na kuabudu siku moja ndo utajua ulikuwa fixed.

Na wakubwa wa dini Yako wameshasaini kuwauza Kwa popeee na mnyama hujastuka tu Hadi sasa.
 
Makanisa ni Yale ya kwetu ya Kiafrika hayo mnayoanguka mapepo hamna kitu
KANISA ni mtu, Si Jengo la kuabudia.

Imani za kiafrika za kuamini miungu na kuabudu makaburi ya mababu au kuabudu chini ya miti,

Haina tofauti na wahindu wenye kuabudu ng'ombe .

Yote hayo Yako chini ya shetani.

ANGALIZO; Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Makanisa ni Yale ya kwetu ya Kiafrika hayo mnayoanguka mapepo hamna kitu
Bora uanguke mapepo yakutoke kuliko hawa wanaohalalisha waumini wao mwanaume na mwanaume kulana kiboga.bora ulale nyumbani tu kuliko kwenda kanisani,uchafu
 
Bora uanguke mapepo yakutoke kuliko hawa wanaohalalisha waumini wao mwanaume na mwanaume kulana kiboga.bora ulale nyumbani tu kuliko kwenda kanisani,uchafu
Ni Kweli sasa Kuna upotovu mwingi'' na UWONGO wa Kila aina.

Bt usiache kukusanyika Kwa ajili ya IBADA, mwombe Mungu atakuelekeza Mahali sahihi pankufanya IBADA ya Roho na Kweli.

Maana NENO la Mungu limesema "Msiache kukusanyika ktk kusanyiko la watakatifu".

Amen
 
Wakatoliki watatuharibia duniaw
Wazee wa Tumsifu Yesu kristo hawa 😇😇😇
Wazee wa tumsifu Yesu kristo ndio mambo yenu haya
IMG_20230312_190008.jpg
 
Hali Ni hatari had 2030 huwenda ushoga ikawa Ni Jambo la kawaida

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Si ktk Nchi hii TANZANIA.

Nchi hii uliyoikanyaga ni TAIFA la AGANO.

Mungu amejitengea Taifa duniani la AGANO lililokuwa Siri ktk vitabu vya IMANI.

Nchi hii ndo Taifa ambalo wale Malaika wawili watatumwa kuihubiri INJILI ya UFALME kabla ya kurudi Kwa Yesu mara ya pili sawasawa na Kitabu Cha ufunuo.

Musa na Elia watahubiri Dunia nzima Kutokea Tanzania.

Tunajiandaa kupokea watu maelfu elfu Kutoka Dunia nzima maana mataifa yote watajua Nuru imengara Tanzania.

Umebarikiwa sana Tanzania, umependwa sana na Mungu.

Amen
 
Am proud to be muslim na nitakufa nikiwa muislam
Mungu alipomuumba ADAM na EVE ktk Bustani ya EDEN hakumpa DINI ya Ukristo au Dini ya UISLAMU.

Mungu anataka IBADA. Mimi nakuombea ndugu Kimsboy ukutane na Mungu yule aliyeongea na Adam daily Bustani ya EDEN.

Mungu huyo anaishi ndani yangu, ninaeongea naye na kumwabudu ktk ROHO na Kweli.

Angalizo;Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen.
 
Back
Top Bottom