Tumia akili kidogo uliyobarikiwa kabla ya kukomenti, adui wa mtu ni mtu mwenyewe.Iwekwe wazi bila kufichwafichwa kwa hofu ya uchochezi. Hao wahalifu si wakristo, mkristo hawawezi kuingia kanisa lolote na kuharibu vilivyomo humo....
Narudia tena kuandika hakuna mkristo wa dhehebu lolote anayeweza kuingia kwenye kanisa la wengine na kufanya uharibifu.Kwa nini ni makanisa tu? Haijawahi kutokea kuna wahalifu wameingia katika yale masinagogi au yale mahekalu na kufanya uharibifu. Washenzi hao wakidekezwa na kufichwafichwa kisiasa wataendeleza ushetani wao kwa kuingia kwenye makanisa mengine
Huwenda wahusika wakapatwana uchiziNi hatari sana hilo tukio
Upo sahihi..... Imani sio ugomviWakatoliki wapole Sanaa, ingekuwa nyumba ya ibada ya wale wengine mitaa ingefungwaa kwa maandamano
Mtajuana nyie kama mmeibiana sadakaItakua siasa kali za ki al shabab.
Kwani wametajwa majina yakaakisi udini?Hizi chokochoko huwa zinatokea kila tunapokuwa na rais mwislamu, sijajua sababu
Yebo zingesagika mpaka kielewekeWakatoliki wapole Sanaa, ingekuwa nyumba ya ibada ya wale wengine mitaa ingefungwaa kwa maandamano
kwani wakati tundu lissu anapigwa lisasi walinzi walikuwa wapi?kamera ilialibiwa na nani?je walinzi walisha kamatwa je kifaa cha kuwekea ekalisiti kilicho alibiwa chenye thamani ya m 20 chadhabu au shaba fedha?Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wawili wanashikiliwa na upepelezi wa tukio hilo unaendelea.
View attachment 2530606View attachment 2530607View attachment 2530608View attachment 2530609View attachment 2530610View attachment 2530611View attachment 2530612View attachment 2530613
vp hawajala sakramenti ya komunio na divai,naona yesu wa wakatolika kavurugwa vibaya sana kavunjwavunjwa walidhani ni yule wa dhahabu wakapige bei kumbe siyeKanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wawili wanashikiliwa na upepelezi wa tukio hilo unaendelea.
View attachment 2530606View attachment 2530607View attachment 2530608View attachment 2530609View attachment 2530610View attachment 2530611View attachment 2530612View attachment 2530613
MtanikumbukaKanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.