Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Kwa nini ni makanisa tu? Haijawahi kutokea kuna wahalifu wameingia katika yale masinagogi au yale mahekalu na kufanya uharibifu. Washenzi hao wakidekezwa na kufichwafichwa kisiasa wataendeleza ushetani wao kwa kuingia kwenye makanisa mengine
 
Narudia tena kuandika hakuna mkristo wa dhehebu lolote anayeweza kuingia kwenye kanisa la wengine na kufanya uharibifu.

Kama kuna tofauti imetokea miongoni mwa viongozi kwa viongozi, viongozi kwa waumini au waumini kwa waumini hakuna mshirika atakayefikia uamuzi wa kwenda kuingia kanisani kufanya uharibifu huo. Hata kama ni vibaka, ni kibaka gani huyo asiye na hofu na Mungu?

Huyo kibaka au mwizi na jambazi amekulia wapi kiasi cha kukosa hata mafundisho ya watoto ya shule ya jumapili? Kwanza kanisa ni mahali patakatifu na ni nyumba ya kumuabudu Mungu.

Hata wavuta bangi na walevi wanaheshimu nyumba za kuabudia
 
Usikute ni mapadre walipageuza kuwa uwanja wa masumbwi.

Mi siwaamini kabisa mapadre wa kikatoliki. Wamekuwa walevi, wazinzi na wanyang'anyi.

Kuna paroko mmoja anafanya biashara ya pombe ni mlevi mbwa na anatembea na wake za watu.
 
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wawili wanashikiliwa na upepelezi wa tukio hilo unaendelea.
View attachment 2530606View attachment 2530607View attachment 2530608View attachment 2530609View attachment 2530610View attachment 2530611View attachment 2530612View attachment 2530613
kwani wakati tundu lissu anapigwa lisasi walinzi walikuwa wapi?kamera ilialibiwa na nani?je walinzi walisha kamatwa je kifaa cha kuwekea ekalisiti kilicho alibiwa chenye thamani ya m 20 chadhabu au shaba fedha?
 
Yani wasukuma wa geita sijui hata Wana shida gani? Hatupumui Kila siku Geita ni matukio tu!Mara wachinjane Mara wavamie nyumba za ibada yani fujo Kila kukicha dah
 
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wawili wanashikiliwa na upepelezi wa tukio hilo unaendelea.
View attachment 2530606View attachment 2530607View attachment 2530608View attachment 2530609View attachment 2530610View attachment 2530611View attachment 2530612View attachment 2530613
vp hawajala sakramenti ya komunio na divai,naona yesu wa wakatolika kavurugwa vibaya sana kavunjwavunjwa walidhani ni yule wa dhahabu wakapige bei kumbe siye
 
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.

Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita ACP Berthaneema Mlayi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba watu wawili wanashikiliwa na upepelezi wa tukio hilo unaendelea.
View attachment 2530606View attachment 2530607View attachment 2530608View attachment 2530609View attachment 2530610View attachment 2530611View attachment 2530612View attachment 2530613
Mtanikumbuka
 
Back
Top Bottom