Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Kibaka na mwizi huwa wanaenda kuiba , humo ndani wamevunja tuu bila kuchukua chochote , means huyo mtu alikuwa na lengo lake tuu, ni kweli hakuna mkristo wala mpagani anayeweza fanya hv ,
 
Kibaka na mwizi huwa wanaenda kuiba , humo ndani wamevunja tuu bila kuchukua chochote , means huyo mtu alikuwa na lengo lake tuu, ni kweli hakuna mkristo wala mpagani anayeweza fanya hv ,

Una hakika. Hawakuchukua kitu ? Au kwa sababu haikusemwa? Jee kama mkifichwa bangi, au unga au almasi Unafikiri waliovunjiwa watasema?
 
Unapretend kutoa maneno ya busara na wakati huo huo kwa comment nyingine unadhihaki "roho mtakatifu alilala"?.Si undelee tu ma dhihaka zako kuliko kuwa vugu vugu
 
Hao ni chakula ya ma fadher huko parokiani.

Wanadinyana mpaka inafikia mahala mafadher wanawachoka wanaamua kusaka hitaji kwa waumini. Ikiwa padre anapata uthubutu kumtongoza mke au binti wa mtu anashindwaje kumsogelea sista ambaye ndani parokiani usiku na mchana huku wakigida vileo?
 

Huwa mnatuonaje kutuletea hapa story za uwongo?
 
Hao si vibaka, ni watu wenye dukuduku au kisasi juu ya imani ya ukatoliki au juu ya viongozi wa hili kanis lililofanyiwa uharibifu...

Polisi waanzie hapo kuchunguza, maana ni kama vile wahusika walikuwa wanatoa onyo...
 
Unaonaekana una matatizo binafsi na ulitegemea msaada mkubwa kutoka Kanisani na huku upata kama ulivyotegemea.Hizi hasira ulizanazo tangu unaanza kuchangia hii mada juu ya Kanisa Katoliki si za kawaida.
 
Tabenacle yote chini!! Jamani hawa mbona wanatafuta balaa! Sidhani kama ni vibaka
 
Unapretend kutoa maneno ya busara na wakati huo huo kwa comment nyingine unadhihaki "roho mtakatifu alilala"?.Si undelee tu ma dhihaka zako kuliko kuwa vugu vugu
Dhihaka unaziona kwangu Mimi tu ? Kwa Hao wagalatia wenzako huzioni?
 
Usiwe mjinga wewe. Wapi nimeandika kwamba nalichukia kanisa katoliki?
Kwahiyo tunapoona maovu yanatendeka lazima tuyakemee na unafikiri tutayasemea wapi?
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna poroko wetu aliumwa ngoma mpaka akafa, kanisa lilimficha parokiani nyakati zake za mwishomwisho virus wanamtafuna na hii yote ni sababu ya kudandia waumini akaukwaa ugonjwa.
 
Enndelea kutoa makasiriko yako yote,lakini hutolitikisa Kanisa Katoliki.Kwani kuugua Ukimwi ni dhambi? Au hujui hata HIV inaambukizwaje,akili yako imejifungia kwenye mawazo ya ukimwi unaambukizwa kwa njia ya ngono tu.Hawa vijana wenye 25-30 waliozaliwa nao ukiwakuta wanaumwa bado utawasimanga.Akili mgando kabisa hizi.

Halafu unaweza kuta wewe mwenyewe hapo ni muathirika na hujijui tu sababu hujawahi hata kupima.
 
Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia leo ambapo watu waliovamia wamevunja mlango na kuingia ndani kisha kuharibu vitu vitakatifu vikiwemo mavazi ya misa na kuvunja misalaba.
Asie sikia la mkuu huvunjika guu. Hizo ni Rasha Rasha ila mvua itakuwa ya mawe. Ombea Taifa maana huwitaji kurunzi kujuwa kwanini hayo yametokea. Ila wanasiri walionya na wale wenye high intelligence survey walionya pia ila walifunga macho. Waliosoma hiyo paper 📜 wanahesabu tu maonyo walio kutana nayo na sasa wamejifungia vyumbani wanasali Bwana huturehem Bwana huturehem hawatoki wala hawafungui mdomo.
Huu ni mtikisiko mkubwa ktk Taifa na hatupaswi chukua poa majibu yake yatakuwa mazito kwa Taifa hasa ukizingatia tayari tuna maumivu. God have a Mercy on Us
 
Asie sikia la mkuu huvunjika guu. Hizo ni Rasha Rasha ila mvua itakuwa ya mawe. Ombea Taifa maana huwitaji kurunzi kujuwa kwanini hayo yametokea. Ila wanasiri walionya na wale wenye high intelligence survey walionya pia.
Hebu funguka zaidi Mkuu,hii post yako inanitia hofu zaidi.
 
Watu wana laana
Wamechoka kucheza na watu,wameona sasa wamletee Mungu michezo.
Hiki walichokifanya watavuna matokeo yake mapema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…