Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

Haya sasa ni makubwa lakini kama Taifa tutasimama na amani itatamalaki.Tuzidi kusali zaidi [emoji120]
 
ama huyu ni shetani

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Watoto wa mama mdogo wameanza Tena. Kuna dini zingepigwa marufuku tu Tanzania, hasa Ile ya kutoka kwa Wala halua halua
 
Paroko alikufa kwa ngoma na aliye mwambukiza ni muumini kupitia ngono zembe. Kumbuka hapa naongelea uovu na maovu wayatendayo watawa. Sipo hapa kulichafua kanisa wala kuonesha unyanyapaa kwa waathirika.
Kwenye yale majengo ya parokiani kuna maovu mengi tu yanafanyika. Sasa jiulize kwanini nimeyajua yote haya?!
Mkuu Nyamizi kama una personal benefit na huu uovu wa watawa, basi na wewe unashiriki mojakwamoja kulibomoa kanisa.
 
Hao wenzako huwezi kuwaona na unawaona bora , au ndio mafundisho yanavyokwenda?
Narudia tena ,wao wameamua kuwa wazi kabisa.Wewe post moja unajifanya kutoa maneno ya busara,post tano zinafuatana unakashifu.Amua moja,chukua mkondo wa kukashifu mjibizane vizuri nyote muwe na akili sawa au kuwa against nao ili ujitofautishe na wao.
 
Narudia tena ,wao wameamua kuwa wazi kabisa.Wewe post moja unajifanya kutoa maneno ya busara,post tano zinafuatana unakashifu.Amua moja,chukua mkondo wa kukashifu mjibizane vizuri nyote muwe na akili sawa au kuwa against nao ili ujitofautishe na wao.

Kwani Mimi nilijificha au kwa kuandika roho Mtakatifu ndio umekasirika? Si mnatuambia mnaongozwa na yeye ? Au Kanisa lako haliongozwi na Roho Mtakatifu?
 
Nikishaona mtu mzima anajifanya anayajua maisha ya mtu mwingine tena ya chumbani kwake utadhani huwa anakuwepo chumbani wakati hayo yanafanyika huwa nadharau moja kwa moja.Haya tuletee tena nani Padre/Askofu mwingine unayajua maisha yake ya ndani kabisa?
 
Hope mmesikia kamanda wa huko akisema, jamaa alipombeka tena ni muamini wa hapo hapo, tena aliwahi kutumika huko huko ndani ya kanisa.

Hakuiba yeye aliharibu tu.
 
Kama hauna uthibitisho zitabaki kuwa kelele tu
 
Ni vyema server iwe mahari secured na siyo sebuleni namba hiyo
 

Ngoja tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…