Kwa hiyo katiba mpya itatufanya tuwaze kama wwe ? Au katiba mpya itatoa mwongozo wa ujenzi wa makanisa na misikiti? Pengine hata katiba yenyewe hujawahi Iona.Angalau naweza kukwambia kuwa katiba iliyopo imegawanyika vipande vipande ibara 1-9 ni directive,10-11 ni general,12-30 human rights,31-35 pooitical rights the rest ni mambo ya utawala.Kwa fikira za namna hii kweli inabidi mfundishwe katiba hata miaka 9
I Confirm.Kwa hiyo katiba mpya itatufanya tuwaze kama wwe ? Au katiba mpya itatoa mwongozo wa ujenzi wa makanisa na misikiti? Pengine hata katiba yenyewe hujawahi Iona.Angalau naweza kukwambia kuwa katiba iliyopo imegawanyika vipande vipande ibara 1-9 ni directive,10-11 ni general,12-30 human rights,31-35 pooitical rights the rest ni mambo ya utawala.
Ukielewa wewe inatosha mkuuHuelewi kitu, sananu za marais zinafanya nini maofisini?
Kutoka 20:4-6View attachment 2753743
Natamani umoja na hamasa tunayopeana kujenga nyumba za ibada tungetumia nguvu hiyo hiyo kuhamasishana kujenga vyuo vya ufundi na teknolojia kufunza vijana wetu.
🤣🤣Angeunda kikundi waende bomoa na kuiba dhahabuHekalu la Jerusalem lilijengwa na kunakishiwa kwa dhahabu safi ,lingefanyika hiko kitu Leo si ungepiga kelele?
Akili zingine bhana!!!,Sasa hicho kifungu ulichokinukuu kinahusiana nini na mada hii?.Kutoka 20:4-6
[4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
[6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Wasabato mmekaririshwa! Nani alikwambia Wakatoliki wanasujudia hizo sanamu humo Kanisani? Hizo zinatumika katika kutafakarisha! Umewahi kusoma ile habari ya nyoka wa shaba aliyetengenezwa mbele ya wana wa Israeli? Mbona hiyo hukulalamika kwamba ni sanamu?Kutoka 20:4-6
[4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
[5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
[6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Tukianza kuchangishana mkuu karibu uchangie kwa chochote nawe pamoja na uzao wako mtabarikiwa!Dah..Hawa Wakatoliki Kweli Wana Maono Ya Mbali...!
Bwana Mungu Awabariki sana, na Kwa Kuwa Wana MTAKATIFUZA na Kumfanya Atukuzwe na Kumheshimisha Mungu, Yahwe,Jehova, Kristo Mfalme.....Awape Kibali Waanze Mara moja...!
Sisi Wengine tutaelewa taratibu hamna Shida..!
Usihitimishe kabla kudhibisha.As long as unayechangishwa sio wew kaa kimya. Endelea kuchangia ujenzi wa madrasa
Jimbo la Dar es Salaam Lina parokia zaidi ya 20,michango itapita hapa miaka 3 Hadi 4 litakuwa limekwisha.Hili jengo linaweza kuwachukua miaka 20 mpaka kukamilika kwa viwango hivi, huku gharama yake ikiwa kati ya Bil 30 - 50.
sasa unataka nani akuletee chakula mezani?Hilo jengo lina faida gani kwa Mtanzania maskini kama mimi wakati sijui nakula nini asb?
Mnaona msivyo na akiri. Hizo hela kwa Mungu ni za nini? Uko mbinguni ananunua nini? Huwa anashuka kuja kuzichukua? Dini ni scam.MUNGU
Wapumbavu nyie mawakala wa umaskini.Mkuu,
Tumia hela zako kujenga kiwanda. Sisi tumeamua kuzitumia zetu kujenga Cathedral. Tusipangiane.
Dini zote ni utapeli.Wewe kama uhusiki na kudanganywa huko, kinachokuuma nini? Mbona ninyi mnaambiwa msinywe kinywaji kitamu kuliko kinywaji chochote (pombe) duniani lakini sisi hatumaindi?