Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.
IMG_5133.jpeg

Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na kupokelewa kwa niaba ya Rais na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ambaye ameahidi kuifikisha kwa Rais kupitia ofisi yake.

Tuzo hiyo imeandikwa; "KKKT-DKK Makete inakuzawadia tuzo hii kwa kuendeleza amani, umoja na mshikamano katika nchi yetu ya Tanzania, Mungu azidi kukuinua."
IMG_5132.jpeg
 
Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.
View attachment 3359824

View attachment 3359825
Waambie No Reforms, No elections. Hao ni wanafiki tu, kuna amani gani katika nchi hii
 
Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.
View attachment 3359824
Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na kupokelewa kwa niaba ya Rais na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ambaye ameahidi kuifikisha kwa Rais kupitia ofisi yake.

Tuzo hiyo imeandikwa; "KKKT-DKK Makete inakuzawadia tuzo hii kwa kuendeleza amani, umoja na mshikamano katika nchi yetu ya Tanzania, Mungu azidi kukuinua."
View attachment 3359825

Duuuh!!....kweli akutukanaye hakuchagulii tusi
 
Back
Top Bottom