Infiltrator
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 211
- 339
Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.
View attachment 3359824
Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na kupokelewa kwa niaba ya Rais na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ambaye ameahidi kuifikisha kwa Rais kupitia ofisi yake.
Tuzo hiyo imeandikwa; "KKKT-DKK Makete inakuzawadia tuzo hii kwa kuendeleza amani, umoja na mshikamano katika nchi yetu ya Tanzania, Mungu azidi kukuinua."
View attachment 3359825
Tangu lin? Mimi vyama vya siasa siwezi kujiunga.Mbona wewe una mlengo wa CCM?
Hapo dini haijachanganywa na siasa, angepewa tuzo Gwajima hapo ingekuwa ni dini+siasa+jeshi=?Saafi
Gwajima mpumbavuHapo dini haijachanganywa na siasa, angepewa tuzo Gwajima hapo ingekuwa ni dini+siasa+jeshi=?
Kama Milionea, mheshimiwa mbunge, askofu, anakuwa mpumbavu sijui wewe chawa utakuwa nani!Gwajima mpumbavu
No reforms no electionKatika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.
View attachment 3359824
Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na kupokelewa kwa niaba ya Rais na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ambaye ameahidi kuifikisha kwa Rais kupitia ofisi yake.
Tuzo hiyo imeandikwa; "KKKT-DKK Makete inakuzawadia tuzo hii kwa kuendeleza amani, umoja na mshikamano katika nchi yetu ya Tanzania, Mungu azidi kukuinua."
View attachment 3359825
SADKKKT limekuwa tawi la CCM, mpaka wanampa mtu mmoja madhabau kuchambua nani ni shetani na nani mtumishi wa Mungu. Yaani kazi ambayo ni ya Mungu anaifanya malkia.
HAhaaaWangefanya BAKWATA hapa waislam wote wangeambiwa hawana elimu dunia.
Mungu Baba tazama unafiki wa watu wako hawa, naiweka mbele yako thread hii, nayo ukaitazame kila pale wanapowakejeli waislam. Tazama hapa hawajumuishwi wakristo wote Baba, ponya nyoyo za watu hawa Mungu Baba, tunaomba na kuabudu kwa jina lako. Amen.
KWanini waumini awajapitisha bakora?Hilo sio kanisa ni saccoss fulani inayoongozwa na watu filani kutoka kanda fulani