Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Hapo kanisa linakuwa hali ingilii siasa ?
Ndo mnatuita Watanganyika Kenge? Sawa tuWewe kenge Lord Denning njoo uwatukane na hawa ...Kwa waislamu tutakutafuta kama wenzie ,wanaziba sura haturembi.
Tumewasema KKKT Makete kuwa wameendekeza uchawa na wamejidhalilisha kutoka na kujipendekeza.Wangefanya BAKWATA hapa waislam wote wangeambiwa hawana elimu dunia.
Mungu Baba tazama unafiki wa watu wako hawa, naiweka mbele yako thread hii, nayo ukaitazame kila pale wanapowakejeli waislam. Tazama hapa hawajumuishwi wakristo wote Baba, ponya nyoyo za watu hawa Mungu Baba, tunaomba na kuabudu kwa jina lako. Amen.
Mtu yoyote mwenye mlengo wa chama cha siasa ni mtu wa hovyo ,tena ndiye chanzo cha matatizo ya wananchiNdo mnatuita Watanganyika Kenge? Sawa tu
Anyway nimeshatoa maoni na kulikosoa hilo kanisa. Wamekosea na Wamepotoka. Hawakupaswa kutoa hiyo tuzo na wameitoa kwa uchawa kwa sababu Kanisa hilo ndilo analosali Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka
Wewe ndiye unachanganyikiwa kwa wivu na chuki zako binafsiDuuuh,hapa hadi Mungu mwenyewe anachanganyikiwa😲
Mbona wewe una mlengo wa CCM?Mtu yoyote mwenye mlengo wa chama cha siasa ni mtu wa hovyo ,tena ndiye chanzo cha matatizo ya wananchi
Tafadhali bwana, huyu anayeongoza serekali ya watekaji?. Naghairi kesho kwenda ibada....... Akumbukwe mzee Kibao, alikuwa ntu wangu wa karibu.Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.
View attachment 3359824
Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na kupokelewa kwa niaba ya Rais na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ambaye ameahidi kuifikisha kwa Rais kupitia ofisi yake.
Tuzo hiyo imeandikwa; "KKKT-DKK Makete inakuzawadia tuzo hii kwa kuendeleza amani, umoja na mshikamano katika nchi yetu ya Tanzania, Mungu azidi kukuinua."
View attachment 3359825
Hilo sio kanisa ni saccoss fulani inayoongozwa na watu filani kutoka kanda fulaniKatika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.
View attachment 3359824
Tuzo hiyo imekabidhiwa rasmi leo Juni 7, 2025, katika Wilaya ya Makete, mkoani Njombe, na kupokelewa kwa niaba ya Rais na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ambaye ameahidi kuifikisha kwa Rais kupitia ofisi yake.
Tuzo hiyo imeandikwa; "KKKT-DKK Makete inakuzawadia tuzo hii kwa kuendeleza amani, umoja na mshikamano katika nchi yetu ya Tanzania, Mungu azidi kukuinua."
View attachment 3359825
No Reforms No ElectionKatika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais Samia.