Kanisa la KKKT Makete lamzawadia Rais Samia Tuzo ya Amani na Umoja

Wewe kenge Lord Denning njoo uwatukane na hawa ...Kwa waislamu tutakutafuta kama wenzie ,wanaziba sura haturembi.
 
Wangefanya BAKWATA hapa waislam wote wangeambiwa hawana elimu dunia.

Mungu Baba tazama unafiki wa watu wako hawa, naiweka mbele yako thread hii, nayo ukaitazame kila pale wanapowakejeli waislam. Tazama hapa hawajumuishwi wakristo wote Baba, ponya nyoyo za watu hawa Mungu Baba, tunaomba na kuabudu kwa jina lako. Amen.
 
Wewe kenge Lord Denning njoo uwatukane na hawa ...Kwa waislamu tutakutafuta kama wenzie ,wanaziba sura haturembi.
Ndo mnatuita Watanganyika Kenge? Sawa tu

Anyway nimeshatoa maoni na kulikosoa hilo kanisa. Wamekosea na Wamepotoka. Hawakupaswa kutoa hiyo tuzo na wameitoa kwa uchawa kwa sababu Kanisa hilo ndilo analosali Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka
 
Tumewasema KKKT Makete kuwa wameendekeza uchawa na wamejidhalilisha kutoka na kujipendekeza.
 
Ndo mnatuita Watanganyika Kenge? Sawa tu

Anyway nimeshatoa maoni na kulikosoa hilo kanisa. Wamekosea na Wamepotoka. Hawakupaswa kutoa hiyo tuzo na wameitoa kwa uchawa kwa sababu Kanisa hilo ndilo analosali Katibu Mkuu Kiongozi Moses Kusiluka
Mtu yoyote mwenye mlengo wa chama cha siasa ni mtu wa hovyo ,tena ndiye chanzo cha matatizo ya wananchi
 
Kwa hakika mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anastahili kupata heshima hiyo.
 
Tafadhali bwana, huyu anayeongoza serekali ya watekaji?. Naghairi kesho kwenda ibada....... Akumbukwe mzee Kibao, alikuwa ntu wangu wa karibu.
 
Hilo sio kanisa ni saccoss fulani inayoongozwa na watu filani kutoka kanda fulani
 
1PETRO 5:5b; Naam, ninyi nyote jifungeni unyenyekevu, mpate kuhudumiana; kwa sababu Mungu huwapinga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema.
 
No Reforms No Election
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…