ajili ibrahim
Member
- Aug 19, 2013
- 73
- 3
Kila siku wanachoma makanisa tunaishia kuwachukulia poa tu who they,sio binadam kama sisi,they deserve smthn just wait...Jaman je kuna uchunguzi wowote liofanywa mbona kuna baadhi ya watu washaanza kuwatuhum watu fulan kuhusika bila ya ushaidi jaman tuwen makin na mambo tunayo andika waweza ukaona ni kitu kidogo lakin IMPACT yake ikawa kubwa .REMEMBER NO EVIDENCE NO SAY
"Ujinga ni kilem"na hapa tunasubiri FBI waje watupe majibu? wamefanya hivyo maana kiongozi wao yupo segerea
Hatua zipi toka yaanze kutokea haya,shekhee Kikwete analijua hilo...Tunaweza tusiamini lakini ni kweli kwamba "HII CHEMBE YA AMANI ILIYOPO KATI YA WAISLAM NA WASIOKUA WAISLAM" basi ni baraka tu ya Bwana lakini si juhudi za waumini wenyewe!! Kwanini tunatuhumiana katika kila jambo? na kwa nini tunakurupuka baada ya kupata taarifa zenye utata kabla ya kupisha matokeo ya uchunguzi!! Kumbukeni kipindi cha milipuko isemwayo ilikua ya AL-QAEDA, baada la kila mlipuko watu waliamini ama atakua mwarabu, au msomali, lakini baadae ikaja kugundulika MIZUNGU NAYO IMO!! Hakuna haja ya kukashifiana imani zetu, patafutwe sababu ya matokeo haya na hatua stahili zichukuliwe huku jamii yetu ikiwa bado na upendo na umoja....
Dah leta habari zaidi mkuu
Hizi ni zile fuasi za bwana ponda thus why kule kambini tunamlaumu jamaa aliekikosa kichwa kile akapiga bega yote haya wala msingeskia nakwambieni. polen waungwana na waumini wa hapo segerea.Watu wanne wakiwa na chupa nne za bia huku zikiwa na mafuta ya petrol wakatupia ndan ya kanisa na kukimbia huku ikiwa waumini wake wakiwa katika maombi ya kujiandaa na semina ya injili wiki ijayo
Kuna mtu kule Facebook kwenye group la wasafiri wa kwenda mbinguni alikuwa anawafundisha waislamu wenzake jinsi ya kutengeneza bomu la petrol kwa kutumia petrol, chupa na utambi atafutwe haraka. Post yake bado itakuwepo pale.
wakristo ni waungwa mbona tukitaka kulipa kisas tungeuwa hawa omba omba wote, sisi tuna pgana vita vya kiroho sio damu na nyama ila makubwa yatawapata hawa.nimesikia mlinzi wa kanisa hilo anashikiliwa kwa uchunguzi zaidi dah chonde chonde tuvumiliane tusilipe kisasi kwa wasiostahili.
Just to correct u,sadaka ina utaratibu wake unaojulikana na kila muumini!kwenye makanisa haya matatu, Roman Catholic,Lutheran na Anglican ni vigumu sana kusikia watu wanagombea sadaka..au wewe unafahamu sehemu walipogombea sadaka?toa uthibitisho!
Ni wao wenyewe kwa wenyeweHao waliochoma watakuwa wafuasi wa Anglican nasikia haziivi na Kkkt.
Ni wao wenyewe kwa wenyewe
Kama ni hivyo sa si wakachome mali za CCM..??? Kwani makanisa ndo yalitoa ahadi hizo..??? By the way, kwani wkichoma makanisa ndo ahadi zitztimia..???Kwa hiyo watu wanne wameonekana na wakakimbia! Hii nchi tunaelekea wapi? Kweli CCM wametufikisha pabaya. Hii yote ni kwa sababu ya ahadi walizotoa CCM kwa Waislamu na wameshindwa kuzitimiza