Ungekuwa wa kambi hii ungejua ninachomaanisha hakuna mtu aliyekilimia kila kitu kwenye ufalme wa Mungu, Mungu amegawa vipawa tofauti ili kuukamilisha mwili wa KristoWatumishi wameitwa kuhubiri uchemi kibiblia? Mbona unatupiga fix jamani? Hao hao watumishi walioitwa kuhubiri uchumi wakitaka gari la kutembea wanaomba mchango kwa waumini na waumini wakitaka gari wanaambiwa waombewe na mhubiri aliyewaomba mchango. Kwa nini yeye mhubiri asiombe gari kwa njia ya maombi?
wewe nadhani huujui ukristo wa kweli au unaujua lakini hujitambui. Mungu akusaidie na akubariki ukae vizuri kwenye neno lake na uujue ukweli.Hiyo namba 3, waumini tuko imara sana. Maana michango yote tunayochanga ni kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa la Mungu.
Halafu ifikie wakati tuwe wakweli! Hakuna binadamu asiyeishi katika Jumuiya! Sasa kama wewe jumuiya yako ni ya wavuta bangi, inakuwaje tena unataka uzikwe na jumuiya nyingine?
Kwa akili za kawaida unaweza ukawa na hoja ila ukiingia upande wa imani still ikawa hoja mfu,kwanini nasema hivi?Yesu alikuja kutuokoa na dhambi na SI kuhukumu,hivyo huduma ya kikanisa ni ya Kila mtu bila kuhukumu.kumtenga mtu tena akiwa mfu SI sawa,yesu alitufundishe tusilipize .
Mahibiri kama haya yanatumiwa na hao matapeli kupiga watu. Eti mtu ana kipawa cha kuombea watu wapate magari halafu yeye mwenyewe anaomba achangiwe kununua gari yake!Ungekuwa wa kambi hii ungejua ninachomaanisha hakuna mtu aliyekilimia kila kitu kwenye ufalme wa Mungu, Mungu amegawa vipawa tofauti ili kuukamilisha mwili wa Kristo
Siku zote tunapojadili hili jambo kuna point huwa tunai-miss.wewe nadhani huujui ukristo wa kweli au unaujua lakini hujitambui. Mungu akusaidie na akubariki ukae vizuri kwenye neno lake na uujue ukweli.
Je, Kama hutoi michango kwenye jumuiya na makanisani lakini unahudhuria misa zote ina maana wewe unaishi na kusali na wavuta bangi? maana nimeshuhudia marehemu anagomewa kufanyiwa sala kabla ya maziko kwasababu alikuwa sio mtoaji zaka.
na kwanini unichagulie mahali pa kutoa sadaka yangu? kwa mamlaka gani uliyonayo?Siku zote tunapojadili hili jambo kuna point huwa tunai-miss.
Kila taasisi ina sheria na taratibu zake,Jumuiya siyo sehemu ya kukusanya michango (hoja ya wale wanaozipinga)bali ni sehemu kwanza ya kusali na pia kuratibu mambo mbalimbali ya waumini.
Hoja kwamba mtu unalisha kituo cha yatima huku unahudhuria Kanisani swali litakuja kwanini ibada yako usiianze na wenzako mtaani?
Calonga soma uelewe usisome ili ujibu au lengo lako unataka kuupeleka mjadala unakoona wewe kunakufaa?na kwanini unichagulie mahali pa kutoa sadaka yangu? kwa mamlaka gani uliyonayo?
Mleta mada hakusema sadaka zisitolewe alichosema yeye ni mafundisho kuhusu sadaka kuchukua sehemu kubwa ya mahubiri.Huu ni uzushi na ujinga na Uzindaki wa kiwango Cha juu, hakuna ibada kwenye spiritual world isiyoambatana na sadaka ndo maana kwenye ibada yeyote Ile sadaka ni muhimu ili kufanya upatanisho kwenye spiritual
Sasa ataenezaje neno la Mungu pasipo sadaka? Mahema yanayofungwa , viti vinavyotumika unafikiri Hela inatoka wap? Bado kusafirisha vifaa mkoa Hadi mkoa Kwa ajili ya mikutano, Bado watumishi wale na wanywe walau maji. Huoni vyote hivyo vinahitaji pesa? Bado pesa za kurusha matangazo Ili neno la Mungu lisikike. Hujalazimishwa kutoa ni hiari ya mtu.Mwakasege naye amechachamaa na masomo ya sadaka mwanzo mwisho, mfano semina ya Mbeya (26-30 Oct, 2022) somo ni sadaka tu hakuna kingine.
Mimi nimetolea mfano! Wewe sasa ndiyo umeuvalia njuga! Basi sawa. Naheshimu mawazo yako.wewe nadhani huujui ukristo wa kweli au unaujua lakini hujitambui. Mungu akusaidie na akubariki ukae vizuri kwenye neno lake na uujue ukweli.
Je, Kama hutoi michango kwenye jumuiya na makanisani lakini unahudhuria misa zote ina maana wewe unaishi na kusali na wavuta bangi? maana nimeshuhudia marehemu anagomewa kufanyiwa sala kabla ya maziko kwasababu alikuwa sio mtoaji zaka.
Je kama mtu hatoi michango kanisani na kwenye jumuiya lakini analisha kituo cha mayatima kwa zaidi ya mwaka mzima na hajamwambia mtu, hiyo sio sadaka? na anaishi na jumuiya ya wavuta bangi?
Kumbuka ukimnyooshea mwenzako kidole, vidole vitatu kati ya vinne vilovyobaki, vinakua vimekuelekea wewe.
binadamu hatuna mamlaka ya kuhukumu, mamlaka hayo anayo Mungu pekee. Sisi wajibu wetu ni kutoa huduma na kupeana faraja wakati wa mapito yetu hapa duniani.
Hao wavuta bangi unaowadharau kwa taarifa yako ni watu muhimu kukupita hata wewe kwenye jamii. Wao ndio wanaofanya kazi zote za hatari ambazo wewe huwezi kuzifanya hapo mtaani kwako.
1. wao ndio wanazibua vyoo vyako vikiziba hapo nyumbani kwako.
2. Kama unafuga hapo nyumbani, mifugo ikifa, wao ndio utawaita kuja kuzoa iyo mizoga na kuichimbia na kuifukia.
3. Ukiwe na sherehe hapo kwako, wao ndio utawaita kukuchinjia mbuzi. Alafu kwa roho ya uchoyo uliyonayo, utaishia kuwapa kwato tu wakale na familia zao
4. Wao ndio wanakulinda usiku wakati wewe umelala unakoroma. Alafu mwisho wa mwezi unachangia buku tano ya ulinzi wa sungu sungu, tena unautoa kwa mbinde, huku ukilalamika lawama ambazo hazina kichwa wala miguu.
5. Wao ndio watabeba jeneza lako siku ukifa maana mabishoo wenzako watasimama pembeni tu na suti zao na miwani meusi wakiangalia na kuweka mapozi ya picha, baadae watupie insta.
6. Wao hao hao ndio watafunga maturubai nyumbani kwako siku ukifa maana mabishoo wenzako watakua wametulia kivulini wanapiga story na selfie za kutosha.
7. Wavuta bangi hao hao ndio watakusaidia kubadili tairi ya ki passo chako cha mkopo siku ukipata pancha kitaani kwako.
Hizo ni baadhi tu, zipo nyingi sana.
Sasa we jiulize kati ya wavuta bangi na wewe nani ana manufaa hapo mtaani? nani anaishi kikristu zaidi? wewe au wao? maana ukristu wa kweli unaonekana kwenye matendo yako!
Mkuu ifike mahali kanisa liishi kwa kutosheka na sadaka zetu maana haiwezekani kila misa na ibada ninayohudhuria natoa sadaka halafu eti wakitak kunenga nyumba ya Padre wanakuja tena kudai fedha za ujenzi. Mfano ni sisi waumini wao kupitia ujira tunaoupata kwa kazi zetu za kila siku tunatenga bajeti ya chakula, kusomesha mavazi na mambo mengine ya maendeleo pasipo kutegemea kupitisha bakuli kwa watu wengine.Hiyo namba 3, waumini tuko imara sana. Maana michango yote tunayochanga ni kwa ajili ya kulitegemeza Kanisa la Mungu.
Halafu ifikie wakati tuwe wakweli! Hakuna binadamu asiyeishi katika Jumuiya! Sasa kama wewe jumuiya yako ni ya wavuta bangi, inakuwaje tena unataka uzikwe na jumuiya nyingine?
Sasa usipomjengea nyumba Padre wako kupitia hicho kidogo unachotoa! Atamjengea nani? Halafu unaposema watumishi wa Kanisa wanaishi kifahari, una maana gani!Mkuu ifike mahali kanisa liishi kwa kutosheka na sadaka zetu maana haiwezekani kila misa na ibada ninayohudhuria natoa sadaka halafu eti wakitak kunenga nyumba ya Padre wanakuja tena kudai fedha za ujenzi. Mfano ni sisi waumini wao kupitia ujira tunaoupata kwa kazi zetu za kila siku tunatenga bajeti ya chakula, kusomesha mavazi na mambo mengine ya maendeleo pasipo kutegemea kupitisha bakuli kwa watu wengine.
Kwahiyo ifike mahali kanisa litambue na liishi kwa kutegemea sadaka na sio kutulundikia michango waumini, kama kuna mambo mengine wasiwe na haraka waende taratibu kwa chanzo hicho kikuu cha mapato.
Hali ilivyo sasa waamini wamerundikana kwenye nyumba za kupanga huku watumishi wa kanisa wakiishi kifahari
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Eti mgogo na kimaro wanaiga staili ya wa pentekoste kuhubiri, ungekuwa unajua historia ya injili ungejua muhubiri aliyezaa upentekoste alikuwa Martin Luther mluteri usingeandika ulivyoandika,na ungejua kategori za watumishi wanavyoitwa usingehukumu watumishi kirejareja hivyo wapo watumishi wameitwa kuhubiri uchumi kibiblia kwa hiyo mostly watahubiri katika mlengo huo,n.k
Huu ni uzushi na ujinga na Uzindaki wa kiwango Cha juu, hakuna ibada kwenye spiritual world isiyoambatana na sadaka ndo maana kwenye ibada yeyote Ile sadaka ni muhimu ili kufanya upatanisho kwenye spiritual
Ukienda kwa waganga wa kienyeji lazima utoe sadaka ni ili wafanye upatanisho kwenye ulimwengu wa Roho
Sadaka inatumika na miungu kukamata mioyo yao ni mjinga pekee anayepinga sadaka, kama hutaki sadaka ni vizuri ukaachana na mambo ya kiroho
Mimi sizungumzii uprotestant nazungumzia injili yenye kuambatana na madhihirisho ya matendo ya Roho mtakatifu ambayo imebatizwa jina la upentekosteTofautisha upentekoste na Protestant. Upentekoste wa Sasa ulianza 1900's kwenye uhamsho wa Azusa kule marekani. Na muasisi ws vuguvugu la upentekoste ni mmarekani mweusi mch William Seymour.
Hujui unachoongea sadaka ya damu ya YESU ni mbadala wa sadaka za damu za wanyama ambazo zilikua zinatumika kufanya upatanisho kwenye ulimwengu wa RohoMungu alishatoa sadaka yake ya mwana wake wa pekee kwa ajili ya mwanadamu. Hivyo anachohitaji Ni moyo wako zaidi uwe kwake sadaka ni ziada.
Huyu kaamua tu kupotosha, hiyo siyo changamoto ya RC,Mimi nadhani ktk bandiko lako hoja #3 ihusuyo RC ungeitoa maana mimi binafsi nachangia Kanisa na taasisi zake hata nikiwa nje ya Kanisa au jumuiya,pia hakuna kitu kinaitwa "kama huna hela hupewi huduma za kikanisa”
Najua wewe siyo RC ila kama unaijua Radio Maria huwa kuna mchango wa kuiwezesha(maana haina matangazo yoyote ya kibiashara so ada yake pamoja na mishahara ya wafanyakazi inatoka kwetu sisi waamini) mwaka huu inatakiwa zaidi ya 1bill ambayo wasikilizaji tunaichanga tukiwa hata hatujuani,imani hakuna kulazimishana kama wewe huko uliko unalazimishwa ni wewe usituweke wote kwenye kundi moja
Mungu gani tena wakati tushaambiwa yesu ni mungu?Hujui unachoongea sadaka ya damu ya YESU ni mbadala wa sadaka za damu za wanyama ambazo zilikua zinatumika kufanya upatanisho kwenye ulimwengu wa Roho
Sadaka kama dhabihu, zaka, malimbuko, shukrani, mbegu ziko pale pale
YESU ni Mungu na Kuna Mungu shida Iko wapi waislamu mnashida sana kwa kukumbusha Kuna watu wanaamin ngombe ndo Mungu waoMungu gani tena wakati tushaambiwa yesu ni mungu?