kama unaweza kusajiri utashindwaje kufuta usajiri?Labda maana yake ni kwamba serikali ina uwezo wa kufuta si tu kanisa bali hata kufuta kila kinachohusiana na kanisa zikiwemo hizo huduma za kijamii ulizozitaja,watu wana jeuri aisee!
Wataalikwa kama waumini wengine. Hii itasaidia hasa kipindi hiki cha kampeni, ambacho wanasiasa hupendi kujiongezea political Mileage kwa kupenda kuzungumza madhabahuni. Madhabahuni ni sehem Takatifu, paheshimiweVizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
hawakujua watendalo, mama amepewa na katiba uwezo wa kufuta hati na kubadilisha matumizi ya ardhi, kama akiona inafaa anaweza kubadilisha matumizi ya eneo lile la msimbazi center pale kuwa maegesho ya bodaboda/wapiga kura wake.Kama wiki mbili zilizopita tupo msibani Mhe Diwani alipewa nafasi ya kuongea neno baada ya kumaliza alichoongea akawaambia waombolezaji wapige makofi mengi kwa mama aibu iliyompata anaijua mwenyewe.
Siku wakatoliki wakisema waumini wao wasiende kupiga kura ulishwahi kufikiria ilohutaki mwanasiasa asalimie kanisa af unataka achangie mifuko Mia ya cement ......
Wash e NZI kweli.
Mwanasiasa asipopewa priority kanisani, viongozi wa dini watalala njaa.
nde huko kwenye makanusa mengine wakahubir mambo yao? Kwani lazima RC? Waende kwa Gwajima.Kanisani ni mahali pa ibada, watu wamekuja kusali, hivyo blah blah za wanasiasa hazina nafasi. Kanisa katoliki lilichelewa sana kuja na hilo tamko.
Una akili ndogo kweli weweSiku wakatoliki wakisema waumini wao wasiende kupiga kura ulishwahi kufikiria ilo
Tunasubiri tamko la kukataa kupokea Rudhuku kutoka kwa wanasiasa ambao kimsingi ndio wapitishaji kwamaana ya Serikali iliotokana na wanasiasa hao wanaokatazwa kusalimia kanisani.Kanisani ni mahali pa ibada, watu wamekuja kusali, hivyo blah blah za wanasiasa hazina nafasi. Kanisa katoliki lilichelewa sana kuja na hilo tamko.
kwa hiyo kampeni zao satapigia wapi? wapi watatukuzwa kwamba ni chaguo la mungu?Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Huwa hawaalikwi bali wanajialika wenyewe for politics milage.Vizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
Una akili ndogo kweli wewe
Si mlisema dini na siasa zitenganishwe.Kanisa ni asasi ya kiraia inayohitaji ulinzi na huduma nyingine za kiraia kama polisi, maji, umeme, barabara, usajiri, misamaha ya Kodi, ardhi, nk. Waumini ni raia pia wanaishi kwenye jamii. Huduma zote hizi zinategemea wanasiasa ili zipatikane kanisani pia.
Kupiga marufuku wanasiasa kwenda kusema chochote kanisani bila kubagua anatoka chama gani ni vita nyingine kati ya kanisa na mamlaka.
Sijui nani ataumia kama ikiwa hivi.
Tujifunze kuheshimu Haki za wengine,wamesema wanasiasa hawajamtaja mtuHii ni vita ya kidini sasa..
Wakatoliki hapa mnakosea sana.
Hii ni vita Dhidi ya Mama.
Inategemea na mizizi ya huyo uliyemsajilikama unaweza kusajiri utashindwaje kufuta usajiri?
Huyo kiongozi ambae atawaawafundisha waumini wake ujinga huo lazima mtamhurumia kwa atakachokutana nacho. Hakuna Mchungaji anaemiliki watu. Na miongoni mwa waumini wapo na watu wa usalama wa nchi, watamnasa tuSiku wakatoliki wakisema waumini wao wasiende kupiga kura ulishwahi kufikiria ilo
Ujenzi wa makanisa mpaka yakamilike kwani unategemaga harambee za wanasiasa? kwamba pasipo wanasiasa kusimama kwenye mimbari na kupiga tantalila ujenzi hauwezi fanyika?Vizuri sana ila wakiwa na halambee wasiwaalike pia kutaka michango yao
Hiyo building permit si wanaipata kutoka serikalini, na kiwanja je?. Jua kuwa ardhi yote ni mali ya serikali, majengo yote ya watu binafsi na private wamepangishwa tu kwa miaka ama 33 au 99, baada ya hapo lazima ukaombe tena , unaweza kukubaliwa au kukataliwa,Ujenzi wa makanisa mpaka yakamilike kwani unategemaga harambee za wanasiasa? kwamba pasipo wanasiasa kusimama kwenye mimbari na kupiga tantalila ujenzi hauwezi fanyika?