Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

Kanisani kwetu bwana Mauno kwenye Madhabahu yamezidi, hili tatizo lazima litatuliwe. Wadau tufanyaje?

Ukitaka ufaidi vitu sasa upate wa hivi.ila wale wenye minyama hamna kitu.nyama zinawabeba ila mashine za kazi ni flat screen bwana.
Yesu na Maria
Kijana Acha dhambi Uende MbinguniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana makanisa haya yanafungiliwa Kila siku, kumbe mambo yenyewe ndio hayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Makanisa lazima yafunguliwe kila siku na yanatakiwa yawe mengi kuliko bar na kumbi za starehe nyingibezo.. maana mwisho wa dunia unaelekea πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. so injili lazima iubiliwe kwa kila kiumbe
 
Nimealikwa jamani kanisa moja hivi, kabla sijafika nikapewa Stori Kwanza

Kwenda nakutana na mambo yako hiviπŸ’ƒπŸ’ƒ
Dada anapambana kweli kweli doh πŸ™†πŸ™†πŸƒπŸƒ

Kwa- Yesu kunanoga Balaaaa, Mauno kama Yote
View attachment 1471043
Yesu Njoo haraka mwah! Hii inaitwa mangelengele sio kumtukuza Bwana wa Majeshi!
Makanisa ya kuuungaunga ndio shida inapoanza
 
Umeona dhambi ni kufumua mitaro tu eeeh πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€... kumkana Mungu na kufumua mitaro ipi dhambi kubwa ? Maana Petro alimkana Yesu mala tatu πŸ™ˆπŸ™ˆ
Yesu aliwajibu Mafarisayo kuwa hamna dhambi ndogo wala kubwa, dhambi zote NI Sawa
Alieiba na alieua dhambi Yao NI sawa
 
Makanisa lazima yafunguliwe kila siku na yanatakiwa yawe mengi kuliko bar na kumbi za starehe nyingibezo.. maana mwisho wa dunia unaelekea πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. so injili lazima iubiliwe kwa kila kiumbe
Sasa wanahubiri Kwa wowowo jamaa au kukatika?!
UuuuwiπŸ™†πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Yesu Njoo haraka mwah! Hii inaitwa mangelengele sio kumtukuza Bwana wa Majeshi!
Makanisa ya kuuungaunga ndio shida inapoanza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Binti ameonja utamu wa Yesu eee
 
Back
Top Bottom