Du!Hapo ni uonevu tu bora mtu apewe mafao yake yote atajua mwenyewe na maisha yake maana serikali haina guarantee ya maisha ya mtu kusema eti umlipe pension kila mwez utajuaje miaka aliyobakiza kuishi baada ya kustaafu..?
Waliopitisha hayo mambo hawajafanya fair mtu apewe chake basi kwan hata akizitumia vibaya wao wanaumia nn..
Huo ndo mpango mzima...🤣🤣🤣🤣Serikali inawaibia wafanyakazi nao wanafanya kweli wakiwa bado kazini..🤣
Hilo wengi hawalijui. Kila kona janja janja, mishahara inapandishwa huku mafao yanapunguzwa!Watumishi wa serikali tabu ndo ipo kwenye kikokotoo unapewa 33% kama fedha ya mkupuo na 67% inayobaki unapewa kama pensheni yani kama una kitita cha 100m unapewa 33,000,000 hio 67,000,000 unapewa kama pensheni...bila hili swala kurekebishwa watumishi wa umma wataendelea kufuja sana rasilimali za serikali...
Watu wote wakifanya biashara na kilimo hizo kazi zingine atafanya nani?.lazima kuwe na mgawanyo wa maisha vinginevyo maisha yatakua hayana maana.cha msingi ni serikali kuboresha maslahi ya watumishi ili nawao wanufaike na ajira zao.Kwani wafanyakazi hamuwezi kuacha kazi mkaanzq kujitafutia fedha wenyewe kupitia biashara na kilimo? Mbona mnateseka sana
Makumbuka kama alisema miwili mpaka 2022!!!!Kumbuka JPM hakuridhia kikokotoo.
Alitoa miaka 5 kiangaliwe upya.
Mpaka anafariki miaka mitano ilikuwa haijafika.
Kama umefanyiwa uhuni pole.
JPM asilaumiwe kwa hili
Hii nchi ni ya kiqumer sijapata kuona hapa duniani nchi ya kipumbavu na iliyolaaniwa kama hii nchi ya Tanganyika.Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo eti wale walioingia kabla ya Mwaka 1998 eti walikuwa wakifanyiwa conversion ya michango yao ya kila mwezi kwa wakati huo na kupunguzwa sana.
Kwa mfano, mtu ambaye hata kufikia mwaka 1998 alikwa tarayai kafanya kazi miaka 20 ambayo ni asawa na miezi 240 alikuwa anapunguziwa hiyo miezi hadi kuonekana eti ni miezi isiyozidi 90. Kwa hiyo unakuata mstaafu kapoteza hadi miezi 130 ya utumishi wake katika kulipwa pensheni.
Pamoja na Kanuni hiyo kutaja miezi lakini NSSF wao walikuwa wakiendelea kuwapunja wastaafu kwa kubadili miezi hiyo na kuifanya kuwa michache na imetokea wastaafu wengi sana NSSF wamepoteza pensheni zao kwa sababu ya utaratibu huo wa conversion. Mtu wa NSSF unakuta kafanya kazi miaka mingi lakini pensheni yake unakuta ni kiduchu mno kisa hiyo hiyo conversion formula.
Shangazi yangu alistaafu mwaka 2016 lkn kwa kipindi cha nyuma ya miaka 20 huko kabla ya mwaka 1998 ilichukuliwa miezi 240 na kubadilishwa na kuwa miezi 89 kwa hiyo wakachukua miezi ya kuanzia mwaka Julai 1998 na hiyo miezi 89 na kumlipa pensheni kwa upungufu wa miezi 131 na bila hata aibu tulipofuatilia walikuwa wanakenua kenua meno tu na kutujibu kunya kwa kuwa wakati huo Erio alikuwa anaweza kukaa na kula dinner na Mwendazake Ikulu bila kizuizi chochote.
Nimeangalia Kanuni ya sasa pia haiongelei suala la NSSF kutumia conversion formula lkini kwa kuwa wanafikiri wananchi hatuoni inawezekana kabisa wakaendelea hivyo hivyo kutunyonya kupitia conversion formla.
Rais Samia pls ongelea na hili kwani tambua kuwa wakati mwingine watendaji hawa wa Mifuko wana roho mbaya sana wanasababisha Serikali yako ichukiwe kwa ajili tu ya kufanya makusudi. These people of pension funds are real bad people.
Kama ni mimi,unanilipa kwa kuninyonga,ninachukua kiasi cha pesa,nanunua bunduki,namsaka huyo aliyesababisha hayo yatokee,namtanguliza kuzimu,baadae namfuata ili tukasimame kwenye hukumu ya haki.Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo eti wale walioingia kabla ya Mwaka 1998 eti walikuwa wakifanyiwa conversion ya michango yao ya kila mwezi kwa wakati huo na kupunguzwa sana.
Kwa mfano, mtu ambaye hata kufikia mwaka 1998 alikwa tarayai kafanya kazi miaka 20 ambayo ni asawa na miezi 240 alikuwa anapunguziwa hiyo miezi hadi kuonekana eti ni miezi isiyozidi 90. Kwa hiyo unakuata mstaafu kapoteza hadi miezi 130 ya utumishi wake katika kulipwa pensheni.
Pamoja na Kanuni hiyo kutaja miezi lakini NSSF wao walikuwa wakiendelea kuwapunja wastaafu kwa kubadili miezi hiyo na kuifanya kuwa michache na imetokea wastaafu wengi sana NSSF wamepoteza pensheni zao kwa sababu ya utaratibu huo wa conversion. Mtu wa NSSF unakuta kafanya kazi miaka mingi lakini pensheni yake unakuta ni kiduchu mno kisa hiyo hiyo conversion formula.
Shangazi yangu alistaafu mwaka 2016 lkn kwa kipindi cha nyuma ya miaka 20 huko kabla ya mwaka 1998 ilichukuliwa miezi 240 na kubadilishwa na kuwa miezi 89 kwa hiyo wakachukua miezi ya kuanzia mwaka Julai 1998 na hiyo miezi 89 na kumlipa pensheni kwa upungufu wa miezi 131 na bila hata aibu tulipofuatilia walikuwa wanakenua kenua meno tu na kutujibu kunya kwa kuwa wakati huo Erio alikuwa anaweza kukaa na kula dinner na Mwendazake Ikulu bila kizuizi chochote.
Nimeangalia Kanuni ya sasa pia haiongelei suala la NSSF kutumia conversion formula lkini kwa kuwa wanafikiri wananchi hatuoni inawezekana kabisa wakaendelea hivyo hivyo kutunyonya kupitia conversion formla.
Rais Samia pls ongelea na hili kwani tambua kuwa wakati mwingine watendaji hawa wa Mifuko wana roho mbaya sana wanasababisha Serikali yako ichukiwe kwa ajili tu ya kufanya makusudi. These people of pension funds are real bad people.
Baada ya kuona watu wanalalamika alivo badilisha ndo Akasema waangalie Tena upya kwa miaka mi5. Sasa hicho kikokotoo cha kuangalia kwa miaka mi5 ni nn hasa wanachunguza? Politics tuKumbuka JPM hakuridhia kikokotoo.
Alitoa miaka 5 kiangaliwe upya.
Mpaka anafariki miaka mitano ilikuwa haijafika.
Kama umefanyiwa uhuni pole.
JPM asilaumiwe kwa hili
Hivi mnavyoandika comment kama hizi huwa mnafikiria kweli nyie motiveni supika? Kila mtu akiacha kazi akaenda kwenye kilimo na biashara, watoto shuleni watafundishwa na nani?, wagonjwa mahospitali watatibiwa na nani?
Hiyo sayansi nimeikubali kufa kufaana hata JPM naye ameenda wengine wanafaidika wanafaidika na yakeHuwezi kupewa 100% ya hela.
Hakuna aliyewahi kupewa 100% ya mafao kabla ya Magufuli.
Kungekuwa hakuna mafao ya kila mwezi kama umepewa 100% ulipostaafu.
Na mfuko ungekufa. Mfuko unaendelea kuwepo kwa kutegemea kwamba kuna watakaokufa kabla ya kupokea 100% ya hela yao. Kufa kufaana.
Usidhani ni siasa za Magufuli au Prof. Erio wa NSSF.
It is actuarial science. Very technical stuff.
Lakini mifuko mingine mafao yamepanda!Hilo wengi hawalijui. Kila kona janja janja, mishahara inapandishwa huku mafao yanapunguzwa!
Lengo zima la mifuko ya jamii ni kumkinga na kumlinda mwanachama wake dhidi ya majanga.Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo eti wale walioingia kabla ya Mwaka 1998 eti walikuwa wakifanyiwa conversion ya michango yao ya kila mwezi kwa wakati huo na kupunguzwa sana.