Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

Hapo ni uonevu tu bora mtu apewe mafao yake yote atajua mwenyewe na maisha yake maana serikali haina guarantee ya maisha ya mtu kusema eti umlipe pension kila mwez utajuaje miaka aliyobakiza kuishi baada ya kustaafu..?
Waliopitisha hayo mambo hawajafanya fair mtu apewe chake basi kwan hata akizitumia vibaya wao wanaumia nn..
Du!
 
Watumishi wa serikali tabu ndo ipo kwenye kikokotoo unapewa 33% kama fedha ya mkupuo na 67% inayobaki unapewa kama pensheni yani kama una kitita cha 100m unapewa 33,000,000 hio 67,000,000 unapewa kama pensheni...bila hili swala kurekebishwa watumishi wa umma wataendelea kufuja sana rasilimali za serikali...
Hilo wengi hawalijui. Kila kona janja janja, mishahara inapandishwa huku mafao yanapunguzwa!
 
Kwani wafanyakazi hamuwezi kuacha kazi mkaanzq kujitafutia fedha wenyewe kupitia biashara na kilimo? Mbona mnateseka sana
Watu wote wakifanya biashara na kilimo hizo kazi zingine atafanya nani?.lazima kuwe na mgawanyo wa maisha vinginevyo maisha yatakua hayana maana.cha msingi ni serikali kuboresha maslahi ya watumishi ili nawao wanufaike na ajira zao.
 
Kumbuka JPM hakuridhia kikokotoo.
Alitoa miaka 5 kiangaliwe upya.
Mpaka anafariki miaka mitano ilikuwa haijafika.
Kama umefanyiwa uhuni pole.
JPM asilaumiwe kwa hili
Makumbuka kama alisema miwili mpaka 2022!!!!
 
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo eti wale walioingia kabla ya Mwaka 1998 eti walikuwa wakifanyiwa conversion ya michango yao ya kila mwezi kwa wakati huo na kupunguzwa sana.

Kwa mfano, mtu ambaye hata kufikia mwaka 1998 alikwa tarayai kafanya kazi miaka 20 ambayo ni asawa na miezi 240 alikuwa anapunguziwa hiyo miezi hadi kuonekana eti ni miezi isiyozidi 90. Kwa hiyo unakuata mstaafu kapoteza hadi miezi 130 ya utumishi wake katika kulipwa pensheni.

Pamoja na Kanuni hiyo kutaja miezi lakini NSSF wao walikuwa wakiendelea kuwapunja wastaafu kwa kubadili miezi hiyo na kuifanya kuwa michache na imetokea wastaafu wengi sana NSSF wamepoteza pensheni zao kwa sababu ya utaratibu huo wa conversion. Mtu wa NSSF unakuta kafanya kazi miaka mingi lakini pensheni yake unakuta ni kiduchu mno kisa hiyo hiyo conversion formula.

Shangazi yangu alistaafu mwaka 2016 lkn kwa kipindi cha nyuma ya miaka 20 huko kabla ya mwaka 1998 ilichukuliwa miezi 240 na kubadilishwa na kuwa miezi 89 kwa hiyo wakachukua miezi ya kuanzia mwaka Julai 1998 na hiyo miezi 89 na kumlipa pensheni kwa upungufu wa miezi 131 na bila hata aibu tulipofuatilia walikuwa wanakenua kenua meno tu na kutujibu kunya kwa kuwa wakati huo Erio alikuwa anaweza kukaa na kula dinner na Mwendazake Ikulu bila kizuizi chochote.

Nimeangalia Kanuni ya sasa pia haiongelei suala la NSSF kutumia conversion formula lkini kwa kuwa wanafikiri wananchi hatuoni inawezekana kabisa wakaendelea hivyo hivyo kutunyonya kupitia conversion formla.

Rais Samia pls ongelea na hili kwani tambua kuwa wakati mwingine watendaji hawa wa Mifuko wana roho mbaya sana wanasababisha Serikali yako ichukiwe kwa ajili tu ya kufanya makusudi. These people of pension funds are real bad people.
Hii nchi ni ya kiqumer sijapata kuona hapa duniani nchi ya kipumbavu na iliyolaaniwa kama hii nchi ya Tanganyika.
 
Kama ni mimi,unanilipa kwa kuninyonga,ninachukua kiasi cha pesa,nanunua bunduki,namsaka huyo aliyesababisha hayo yatokee,namtanguliza kuzimu,baadae namfuata ili tukasimame kwenye hukumu ya haki.

Haya mambo ya dhuluma yamekuwepo muda mrefu sana na yameathiri sana maisha ya watu.Hapa Rais hadi asikie aingilie kati,ni mpaka wanaodhulumiwa wasimame kusema.Sasa utakuta ni wazee wamechoka,wanamwachia Mungu.
 
Kumbuka JPM hakuridhia kikokotoo.
Alitoa miaka 5 kiangaliwe upya.
Mpaka anafariki miaka mitano ilikuwa haijafika.
Kama umefanyiwa uhuni pole.
JPM asilaumiwe kwa hili
Baada ya kuona watu wanalalamika alivo badilisha ndo Akasema waangalie Tena upya kwa miaka mi5. Sasa hicho kikokotoo cha kuangalia kwa miaka mi5 ni nn hasa wanachunguza? Politics tu
 
Hivi mnavyoandika comment kama hizi huwa mnafikiria kweli nyie motiveni supika? Kila mtu akiacha kazi akaenda kwenye kilimo na biashara, watoto shuleni watafundishwa na nani?, wagonjwa mahospitali watatibiwa na nani?

Sexless kichwa yake in MB zero. Wafanyakazi waache kazi waende kwenye kilimo wote, huyu ni mtu mzima au under 5. Hujawahi kutibiwa, huendi bank, hujasoma, hujaona polisi pmoja n mapungufu wanakulinda. Hujaenda mahakamani ukaona nini kinafanyika.
 
Huwezi kupewa 100% ya hela.

Hakuna aliyewahi kupewa 100% ya mafao kabla ya Magufuli.

Kungekuwa hakuna mafao ya kila mwezi kama umepewa 100% ulipostaafu.

Na mfuko ungekufa. Mfuko unaendelea kuwepo kwa kutegemea kwamba kuna watakaokufa kabla ya kupokea 100% ya hela yao. Kufa kufaana.

Usidhani ni siasa za Magufuli au Prof. Erio wa NSSF.

It is actuarial science. Very technical stuff.
Hiyo sayansi nimeikubali kufa kufaana hata JPM naye ameenda wengine wanafaidika wanafaidika na yake
 
Lengo zima la mifuko ya hifadhi ya jamii ni kum
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo eti wale walioingia kabla ya Mwaka 1998 eti walikuwa wakifanyiwa conversion ya michango yao ya kila mwezi kwa wakati huo na kupunguzwa sana.

Kwa mfano, mtu ambaye hata kufikia mwaka 1998 alikwa tarayai kafanya kazi miaka 20 ambayo ni asawa na miezi 240 alikuwa anapunguziwa hiyo miezi hadi kuonekana eti ni miezi isiyozidi 90. Kwa hiyo unakuata mstaafu kapoteza hadi miezi 130 ya utumishi wake katika kulipwa pensheni.

Pamoja na Kanuni hiyo kutaja miezi lakini NSSF wao walikuwa wakiendelea kuwapunja wastaafu kwa kubadili miezi hiyo na kuifanya kuwa michache na imetokea wastaafu wengi sana NSSF wamepoteza pensheni zao kwa sababu ya utaratibu huo wa conversion. Mtu wa NSSF unakuta kafanya kazi miaka mingi lakini pensheni yake unakuta ni kiduchu mno kisa hiyo hiyo conversion formula.

Shangazi yangu alistaafu mwaka 2016 lkn kwa kipindi cha nyuma ya miaka 20 huko kabla ya mwaka 1998 ilichukuliwa miezi 240 na kubadilishwa na kuwa miezi 89 kwa hiyo wakachukua miezi ya kuanzia mwaka Julai 1998 na hiyo miezi 89 na kumlipa pensheni kwa upungufu wa miezi 131 na bila hata aibu tulipofuatilia walikuwa wanakenua kenua meno tu na kutujibu kunya kwa kuwa wakati huo Erio alikuwa anaweza kukaa na kula dinner na Mwendazake Ikulu bila kizuizi chochote.

Nimeangalia Kanuni ya sasa pia haiongelei suala la NSSF kutumia conversion formula lkini kwa kuwa wanafikiri wananchi hatuoni inawezekana kabisa wakaendelea hivyo hivyo kutunyonya kupitia conversion formla.

Rais Samia pls ongelea na hili kwani tambua kuwa wakati mwingine watendaji hawa wa Mifuko wana roho mbaya sana wanasababisha Serikali yako ichukiwe kwa ajili tu ya kufanya makusudi. These people of pension funds are real bad people.
Lengo zima la mifuko ya jamii ni kumkinga na kumlinda mwanachama wake dhidi ya majanga.
Majanga ni vitu vyoote vinavyoweza kuondoa au kupunguza uwezo wa mtu kuzalisha..
Moja ya janga kubwa ni UZEE.Tunaliita ni janga kwasababu tunaamini huna uwezo wa kuzalisha na kuchangia kiuchumi kama ulivyokuwa kijana.
Fedha ya pensheni ya uzeeni inalengo la kukupinguzia ukali wa maisha katika kile kipindi baada ya kustaafu,kwasababu huwezi kumrithisha mtoto wako kazi yako kama mfanyabiashara itabidi uwena chanzo cha kipato walao kidogo cha kukusaidia.
Kelele nyingi ni Kikokotoo kipi kitumike kitakacholeta tija zaidi kwa mstaafu kati 25/75 ambapo lumpsum(pensheni kubwa) ya 25% kwa pensheni ya kila mwezi ya 75% na hivyo hivyo kwa 33%/67%, 75%/25% ya kiasi cha jumla cha michango pamoja na interest(gawio) la miaka yote ya uchangiaji.
Serekali hipo sahihi kabisa kuweka kikokotoo kilichopo na kwa upande wangu ningependa kingeshushwa zaidi ya hapo tukarudi kwenye 25% ya lumpsum(pensheni kubwa) na 75% (pensheni ya kila mwezi)

KWANINI? : mfano unamichango ya mill 100 katika kipindi chako cha kuajiriwa,
Ukapewa 25mill kama pensheni kubwa na ile 75mill ikigawanywa kwa miaka 10 inakiwa 7.5 kwa mwaka na ukiigawanya 7.5 /miezi 12 unakuwa na laki 625,000 kila mwezi kwa maisha yako yote yaliyobaki hata kama utaishi miaka 60 mingine.

Ukinipa 75 mil na labda sikuwahi kushika hata 10mill kwenye ajira yangu kwa pamoja,kweli nitafurahia mwaka wangu wa kwanza lakini kumbuka sina nguvu za kuzalisha kama nilivyokuwa kijana,akili maono siyo sawa na vijana siwezi kwenda kuanza kuparangana kariakoo au karume kwenda china kuafat mzigo na kadhaliaka.
Kitu kikubwa nitaanza kuuliza biashara za kufanya na kuanza kujaribu jaribu.....Hapo utapigwa sana na baada ya miaka mi3 hela inaweza kuwa haionekani.
Kumbuka nimebakiza 25mill kwenye pensheni ya kila mwezi.
25mill/10miaka= 2.5mill na 2.5mill/12miezi inakuwa 208,000 kwa mwezi.
Anaeishi kwa 625,000 na anaeishi kwa 208,000 kwa mwezi tofauti inaanza kuonekana baada ya miaka 3_4.
Hapo tunajenga wazee tegemezi,ombaomba na waliokosa muelekeo kila siku kulalamikia watoto wao.....
Hapo ukute bado anasomesha, hajajenga etc....
Unapokuwa huna hela mipango inakuwa mingi lakini ukiipata na hujawahi kuishika wengi malengo yanapotea kabisa na kuitumia vibaya wakijua kesho itakuwepo.
 
Back
Top Bottom