Huyo shoga(yes yeyote anayejifanya mpenda demokrasia kwangu mimi ni shoga) hajui chochote kuhusu Rwanda hasa baada ya genocide, anafikiri bila kiongozi shupavu asiyekuwa na masihara kama Kagame Rwanda ingekuwa hapo ilipo, jamaa anafikiri kuiongoza nchi ndogo iliyotoka vitani ambayo haina rasilimali kama Rwanda na ikawa mfano ni jambo jepesi...Bila Magufuli tusingekuwa na AIR TANZANIA, SGR na Stigler's Gauge bila kusahau DART na viwanda vingine alivyovianzisha na hapo mzee wa watu katawala tu kwa miaka mitano tu.
Bila Kagame pengine Rwanda ingeshuhudia Genocide nyingine na isingekuwa na jeshi imara la kuwachachafya wanajeshi wakongo.
Wewe shida yako ni demokrasia(ushoga,kubishana bishana ovyo na kuandamana) au unataka uongozi thabiti usiokuwa na drama wa kukuletea maendeleo kwa haraka?Ndio alifanya kazi nzuri
Je umefanya mambo mazuri Kama haya Ila unaogopa uchaguzi unaiba kura
Tazama uchaguzi wa 2020 alivyojitia aibu
Hapo ndo ujue demokrasia mnaiogopa kwakuwa nyie ni wezi wa kura na Mali za umma.
Mtu ambaye sio mwizi na anafanya maendeleo ya kweli hawezi kugangania madaraka au kupora uchaguzi.
Huyo shoga(yes yeyote anayejifanya mpenda demokrasia kwangu mimi ni shoga) hajui chochote kuhusu Rwanda hasa baada ya genocide, anafikiri bila kiongozi shupavu asiyekuwa na masihara kama Kagame Rwanda ingekuwa hapo ilipo, jamaa anafikiri kuiongoza nchi ndogo iliyotoka vitani ambayo haina rasilimali kama Rwanda na ikawa mfano ni jambo jepesi...
Kiufupi jamaa ni mpuuzi sana, yaani anajaribu kubelittle achievements za Kagame kwa kigezo cha hiyo demokrasia yake anayoitaka... mjinga sana huyo muhaya.
Naona hata kwa Magufuli, anafanya vile vile tu kwamba kwa vile alikandamiza sana uhuru wa kisiasa, basi anamuona hakuna alichokifanya.... Yaan kwake yeye maendeleo ni uwepo wa demokrasia anaudhi sana
We muhaya DR HAYA LAND rudi shule pumbavvu.
Peleka taco kuzimu, usijipendekeze kwanguBadala ya kumuita Traore mshamba, sema wewe hapo ndio fala wa mwisho na huna akili hata kidogo, maana ubongo wako huko occupied na fikra za miungu wako wa magharibi....!!
Eti mpenda sifa, unajua mambo aliyoyafanya Traore Burkinafaso kwa hii miaka miwili na nusu tangu awe raisi baada ya kumuondoa yule kibaraka wa wafaransa Henri Damiba?
Tatizo kwa vile nyi mmekubali kuwasujudia mabeberu/wakoloni basi mnataka kila mtu awe na akili kama zenu, na yeyote asiyekuwa na mindset za kitumwa kama nyie mnamuita mshamba, wajinga sana nyie...
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wale mnaosuppot samia kwenye kila anachokifanya ikiwemo kuuza rasilimali...!!
Traore ni specie adimu ambayo tuliimiss hapa afrika kwa kipindi kirefu sana na tunapaswa kumlinda kwa hali na mali, nyie vibaraka/watwana wa mabeberu/wakoloni endeleeni kuwalamba mabwana zenu miguu
Mkuu Dunia Hii sio kisiwa tunategemeana sana, WHO ku cut funds tu za Misaada siumesikia Vilio, Wakubwa wapo ivo umakini unatakiwa ili usiharibu Mahusiano mema na Wenzako afu Taore ajue Ulimwengu wa Leo mapinduzi ya Kijeshi kwa sasa sio Issue tenaWanyama gani wanaomchora?
Ni heri kuishi miaka miwili ukiwa huru kuliko kuishi miaka 100 kwa unafiki,uoga na kujipendekeza pendekeza..!!
Wewe nnavyokuona hao unaowaita wanyama wakikwambia huko tayari wakupangie maisha ikiwemo mpaka sula la kuoa au kuolewa.
Nyani kakolaki.....Ndio
Wewe ndio mshamba ambaye una "fixed mind" na kukariri maisha.....Taore Ana Ushamba fulani ni Swala la muda tu atatufuta pakutokea na kwasasa Wanyama wametulia tu Wanamchora anavyo trend
Modern world haina shida na utawala wa kijeshi wa Guinea au Gabon. Mtawala wa kijeshi wa Gabon ni kipenzi cha Marekani na EU balaa. Mtawala wa kijeshi wa Chad hadi anatembelewa na wanasiasa wa Ufaransa.Lakini mtawala wa kijeshi akiwa Traore modern world haitaki. Unaweza kunifafanulia hapo? Kwanini watawala wa kijeshi wengine wapendwe na wengine wachukiwe?Mkuu Dunia Hii sio kisiwa tunategemeana sana, WHO ku cut funds tu za Misaada siumesikia Vilio, Wakubwa wapo ivo umakini unatakiwa ili usiharibu Mahusiano mema na Wenzako afu Taore ajue Ulimwengu wa Leo mapinduzi ya Kijeshi kwa sasa sio Issue tena
Tawala za Kiraia (Civilian rule) Ndio Modern World inatakalak
Halafu sasa kuna watu wanamsujudia kweli huyo Tindu Lisu na kumuona yuko sahihi kwenye kila jambo, halafu watu hao hao wanatuona sisi tunayemkubali mtu kama Traore na Magufuli ni kama hatuko nazo.Muangalie huyu ndugu Tundu Lissu alipoipinga nchi yake isijenge bwawa la kufua umeme pale Rufiji ?!!
Huyu ni mwanademokrasia wa miongozo gani isiyo yetu watanzania ?!!
Sweden kuna mfalme usisahau na hao wafalme hawakai bure tu kuishi maisha ya kifahari kwenye kasri. Ana kazi na ushawishi hata kama hatuuoni. Lakini pia kuna nchi kama China ambazo hazina demokrasia na hawashikiki kwa maendeleo.Tatizo sio democracy tatizo ni wanao exercise hyo democracy wana uelewa!? Kila kitu kina faida na hasara ila tu naangalia faida nyingi ziko wapi? Ukichukulia mfano wa nchi kama Norway, Finland, Switzerland, Denmark nk ambako kuna true democracy utaaelewa nini faida yake
Hata kuwe na hayo maendeleo unayoyaita ya Libya bado watu wana haki ya kuchagua viongozi wanaowataka. Kwa nini wewe Gaddaf uongoze miaka yote!? Kwani akija kiongozi mwingine hawezi kufanya mazuri zaidi yako!?Binafsi kama nchi inakuwa na maendeleo yanayogusa wananchi wote kama ilivyokuwa kwa Libya ya Muammar Gaddaf, sioni kama kuna sababu ya uwepo wa hiyo demokrasi!
Shida inakuja tu pale nchi inapokuwa na hiyo demokrasia, halafu ni demokrasia ya kiini macho kama kwenye nchi yetu! Na mwisho wa siku inawanufaisha zaidi watu wachache walio kwenye madaraka (watawala), huku wale walio wengi (watawaliwa)wakiishi maisha magumu.
Dictatorship pia ina faida yake ikiwa wanao ifanya wanajitambua na wanajua wanafanya sababu wanataka ku achieve nini... The problem ni kwamba wengi hutumia aina hii ya uongozi for personal gains huku wakiwakandamiza mwenzao wanyonge.Sweden kuna mfalme usisahau na hao wafalme hawakai bure tu kuishi maisha ya kifahari kwenye kasri. Ana kazi na ushawishi hata kama hatuuoni. Lakini pia kuna nchi kama China ambazo hazina demokrasia na hawashikiki kwa maendeleo.
Nyani kakola
Viongozi " tunaowataka" ni kina nani? Si ndio hao wanaoleta maendeleo au?.Hapo Libya tangu wamuue Gaddafi kuna nani kafanya vizuri zaidi yake? Kama kiongozi ni mzuri kwanini kuharibu mapesa kufanya uchaguzi? Cha muhimu kuwa na mifumo mizuri itakayoandaa viongozi wazuri wa baadae. Mfano mzuri ni China, XI Jinping yupo madarakani tangu 2013 na nchi yake ina maendeleo kuliko sisi tunaojitia kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano. Na hata akitoka yeye tayari mwingine wa kuchukua nafasi yake ameandaliwa. Sasa sisi tunabadili viongozi, mtu kisa anajua ana miaka mitano ya kukaa madarakani anajitahidi aibe tena aibe tena ili siku akimaliza ubunge apumzike. Kila baada ya miaka mitano tunapata wezi wapya huku tukijidanganya eti " tumechagua viongozi tunaowataka". Tukishawachagua hatuna uwezo wa kuwawajibisha tunasubiri mitano tunafanya uchaguzi kuingiza mwizi mpya ofisiniHata kuwe na hayo maendeleo unayoyaita ya Libya bado watu wana haki ya kuchagua viongozi wanaowataka. Kwa nini wewe Gaddaf uongoze miaka yote!? Kwani akija kiongozi mwingine hawezi kufanya mazuri zaidi yako!?
Toka mpate uhuru demokrasia imekuletea maendeleo Gani?stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA