Kapteni Ibrahim Traore adai nchi haiwezi kuendelea ikiwa katika mfumo wa demokrasia

Kama huhitaji kuisoma hiyo makala basi hata na posts zangu usisome.Huo ni mchango wangu. Na ni relevant ungesoma ungeelewa habari ya uchawi iko wapi.

Lakini hutaki kusoma. Nitakusaidiaje kuelewa wakati hutaki kusoma?

Na mimi sitasoma zako nakupeleka ignore list kuanzia sasa sitaona unachopost.

Si lazima unielewe leo hata miaka 10 ijayo ukiwapo utanielewa.
 
Na uchina je,uoni imepiga hatua kimaendeleo?
 
Rwanda kanchi kadogo kama mkoa wa arusha. Halafu rwanda ni kigali tu ndio una maendeleo, sehemu nyingine hovyo kabisa, ukitoa kigali nitajie mkoa rwanda wenye maendeleo
Nasemaje, bila huyo Kagame pengine Rwanda ingeshuhudia genocide nyingine na isingeimarika kijeshi. Hiyo nchi ndogo unayoidharau currency yake ina thamani kuliko hata ya kwetu nchi kubwa.
 
Kwa upigaji, hata rais wa Urusi na Rais wa China sio malaika kwamba hawapendi pesa na hawapigi.

Tunaangalia ni nini wanalifanyia taifa lao pamoja na upigaji wao.

Shida yetu sisi unapiga halafu hamna linaloendelea.

Mfano, Magu kila mtu alipata haki iliyoyake. Ukifanya kazi unapata pesa.

Sasa hiv ufanye kazi kupata pesa majaaliwa. Ukiwa Chawa pesa unapata.

Gadaffi pia hakua msafi. Ukimchunguza alipiga pesa sana tu. Ila Walibya waliishi vipi kipindi chake na saiz wanaishije kipindi ambacho West na shabik wao wanaita Demokrasia
 
Kwahiyo umenuna?

Unanuna kwa kwasababu ya utoto wako.

haya.

Kimsingi huna hoja zaidi ya chuki zako binafsi dhidi ya Mwaafrika

Quite frankly u r emotionally charged

You're framing your critique of Traore around his race. rather than his policies.

Stereotyping and biased. medieval bullshit.

Badala ya ku address sera zake unajikita kwenye personal attack based on Identity which, again, is unlike you and not a likely constructive. criticism from you.

What evidence do you have other than assumptions? Traore leadership should be evaluated based on actions and not his Identity.

Waafrika wengi mnapenda mijeledi kama punda, na huyu ndivyo anavyotaka kuwapiga.

Traore is acting like any other leader who is promoting the dignity, welfare, and empowering his people-all citizens.

Sera zake zinakosolewa kwa madai(allegedly)ya kukandamiza demokrasia na huku hoja yako ikimaanisha kuwa Waafrika wanapenda kunyanyaswa na kukandamizwa-Are you serious dude?

Mkuu umekurupuka na mafumbo yako yaliyojaa hisia na jazba.

...Je,ni sera au vitendo gani mahusus ya Traore vinavyoashiria anawakandamiza na kuwanyanyasa Wa burkinabe?

...ama kama ulivyo weka, Waafrika wanapenda mijeledi?

Baba wa baba wa baba yako alipenda mijeledi kama punda? ndio akapata maendeleo?

Hivi hata huyo punda anapenda mijeledi?😌😌
 
Kwa hiyo wewe unataka kila kitu tuige ulaya bila kuzingatia mazingira halisi tuliyonayo?
Hiyo Demokrasia kwa mazingira ya Africa haina faida na haifanyi manufaa yoyote inasababisha mafisadi kuwa wengi na hawafanywi chochote.
 
Hazikufika hapo bila kuwepo madikteta
 
Hizo nchi ulizotaja zote zinaongozwa na wafalme ambao wamekaa madarakani miaka mamia
 
Dude my simple advice to you just try to visit any nearby psychiatric center for undergoing mental derangement diagnosis, wewe ni mgonjwa wa akili nyau wewe.
wewe ni mpumbavu anayejiona ana akili machoni pake tu. ungekua una akili usinge kuja kushambulia mtu kwa kutoa mawazo yake.na kila mtu mwenye mawazo tofauti na wewe kazi yako ni kushambulia kwa kashfa. jukwaa siyo la mamako hili. ***** wewe. Mimi kwangu utakipata unachostahili ukija kistarabu nitakujibu kistarabu na ukija Kama mshenzi nitakujibu kishenzi pia. sababu Heshima haimpasi Mpumbavu Kama wewe.
 
Hao watu demokrasia imekuja juzi hapa baada ya kuendelea mwanzoni walipokua wanajenga nchi walikua wakatili kupitiliza Tena hakuna wabaya kama wazungu biashara za utumwa zilianzia kwao hao ndo mbwa tu
 
hizo nchi ulizotaja watu weusi ni kama hamna na kama wapo angalia jinsi wanavoishi
 
Tatizo la Afrika ni mifumo mibovu
 
Chaguzi hazileti majawabu kwa kuwa wanaoongoza hawana ridhaa ya wananchi.

Kama unaona Jinping ana umaalumu, kesho Samia atataka kutawala bila kikomo, je naye atakuwa na umaalumu!? Unaona mchakato wake Wa tiketi ya Urais ulivyoenda ndani ya chama chake!?Jinping ni dikteta tu. Ukishakuwa na mfumo unaoruhusu mtu mmoja kuwa na absolute power, huyo mtu akiwa na tamaa tu ya kuongoza, basi anaweza kuongoza mpaka achoke. Jinping sio kuwa anakubalika zaidi ya waliopita , bali ni mlevi wa madaraka. Eti Mao ze dong alitawala miaka mingapi!? Kwa hiyo unataka turudi enzi za Nyerere!? Kwa faida ya nani!?
 
Wewe umejuaje Xi Jinping ni mlevi wa madaraka? Hivi bila Xi Jinping na Mao Ze Dong ungeiona China ya leo? Leo China imeendelea katika kila angle kwadababu ya uongozi mzuri wa Xi.
Leo China imeziacha nchi za Ulaya mbali kwaajili ya huyo Xi Jinping.

Bora atawale milele lakini maendeleo ya China yanaonekana Leo China ina maglev na quantum satellites kwaajili ya huyo Xi Jinping.
 
usijali utashinda kweny uchaguzi usitukane sana😅😅
 
wachina ni masikini, igekikuwa demokrasi wangelikuwa kama USA, ndiyo maana china analia na tariffs za USA
Kwahiyo USA kuna demokrasia?
USA kuna vyama viwili tu vya siasa halafu unasema kuna demokrasia.

USA ni nchi yenye watu wenye asili mbalimbali kama wahindi, wazungu, weusi na waarabu lakini marais wote walikuwa wazungu isipokuwa Obama na hata cabinet ya sasa ya Marekani wote ni wazungu halafu unasema kuna demokrasia.

USA yenyewe inategemea tarrifs anazoweka ili China isimfikie kiuchumi.
USA ameweka tarrifs kubwa kwenye bidhaa za China kwa maamuzi ya rais peke yake halafu unasema kuna demokrasia.

Natamani nipenyeze mkono kwenye simu nikupige kofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…