Deinstein 01
JF-Expert Member
- May 12, 2024
- 2,090
- 3,928
We unauhakika gani yale maghorofa ni ya Magufuli? Wewe mke wake au mtoto wake? Hayo magorofa hayana majina?Demokrasia ipi unayoiongelea Tanzania...!!??
Toka nchi hii ipate uhuru hadi leo demokrasia umeiona wapi wakati ccm ndio inatawala kwa mkono wa chuma na tena wenyewe wanakiri wazi kwamba haiwezi ikaondolewa madarakani kwa vipande vya makaratasi.
Afrika hakujawahi kuwepo demokrasia na ndilo bara linaloongoza kwa umaskini uliokithiri duniani.
Magufuli mnayemsema kuna magorofa anayo pale Mwanza na aliyapataje kwa kipato chake halali..!!?? Yaani ufisadi mtupu.
Wewe ndio umeweza kuweka sawa hili.Demokrasia ipi unayoiongelea Tanzania...!!??
Toka nchi hii ipate uhuru hadi leo demokrasia umeiona wapi wakati ccm ndio inatawala kwa mkono wa chuma na tena wenyewe wanakiri wazi kwamba haiwezi ikaondolewa madarakani kwa vipande vya makaratasi.
Afrika hakujawahi kuwepo demokrasia na ndilo bara linaloongoza kwa umaskini uliokithiri duniani.
Magufuli mnayemsema kuna magorofa anayo pale Mwanza na aliyapataje kwa kipato chake halali..!!?? Yaani ufisadi mtupu.
Kama AI ni mjinga sawa.Huu upuuzi katafute wa kuwaambia. Eti namaanisha bandari ya kibiashara!? Kiswahili kuna kitu kinaitwa Bandari ya Kibiashara!? Katafute wajinga wa kuwafundisha lugha huko.
Unafikiri Ufaransa kama ufaransa ilianzishwa kwa demokrasia. Napoleon Bonapatre alipindua serikali na ufalme na kumuua mfalme, Uingereza walikuwa na civil wars, Spain, Portugal, USA. Sweden, Norway, Denmark zamani walikuwa majambazi wamejikita kwenye uporaji. Baadaye wakapata empires, mwisho miaka kama 200 hivi iliyopita ndio wamestaraabika.stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Mmh msamehe bure tuuKwahiyo USA kuna demokrasia?
USA kuna vyama viwili tu vya siasa halafu unasema kuna demokrasia.
USA ni nchi yenye watu wenye asili mbalimbali kama wahindi, wazungu, weusi na waarabu lakini marais wote walikuwa wazungu isipokuwa Obama na hata cabinet ya sasa ya Marekani wote ni wazungu halafu unasema kuna demokrasia.
USA yenyewe inategemea tarrifs anazoweka ili China isimfikie kiuchumi.
USA ameweka tarrifs kubwa kwenye bidhaa za China kwa maamuzi ya rais peke yake halafu unasema kuna demokrasia.
Natamani mipenyeze mkono kwenye simu nikupige kofi.
Those were slavery days /era days, not 21st century, please..Unafikiri Ufaransa kama ufaransa ilianzishwa kwa demokrasia. Napoleon Bonapatre alipindua serikali na ufalme na kumuua mfalme, Uingereza walikuwa na civil wars, Spain, Portugal, USA. Sweden, Norway, Denmark zamani walikuwa majambazi wamejikita kwenye uporaji. Baadaye wakapata empires, mwisho miaka kama 200 hivi iliyopita ndio wamestaraabika.
USA, UK. France, Spain, Portugal, Germany wote wanahubiri demokrasia ila vyote wameanz a uvifanya 1960's.
Lazima mtu ajenge misingi imara kwa muda wa kutosha.
Kiranga unashambuliwa huku, kuna ukweli wowote juu ya haya yaliyoandikwa?Huyo ni jobless mmoja, anafikiri usomi ni kupinga kila kitu anachofanya Muuafrika, aki-qoute upuuzi wowote walioandika wazungu bila kutumia ubongo wake.
Kabisa unafikiri ukimpa Tanzania huyu kijana miaka mitano, kumi nchi hii itakuwa wapi, atacheke na mwijaku, babalevo na wahuni wengine kama hawa.Hapo hakuna machawa wa kupiga mapambio… lazima nchi isonge mbele..!!
Angalia kila Taifa lilivyoanzishwa na viongozi waazilishi. Utatambua walikuwa viongozi waliokaa muda wa kutosha kujenga taifa na utaifa lolote, popote duniani.Those were slavery days /era days, not 21st century, please..
Wanadai kabla ya kukomesha utumwa, 60% ya US export ilitokana na nguvu kazi za watumwa. Huwezi kutenganisha maendeleo ya US na watumwa.Those were slavery days /era days, not 21st century, please..
Chawa wa mamaHapo hakuna machawa wa kupiga mapambio… lazima nchi isonge mbele..!!
Hivi Tanzania Kuna demokrasia au maneno tu?Hata mimi nasemaga humu kila siku. Nchi haiwezi kuendelea chini ya demokrasia. Demokrasia ina walaji(machawa) wengi sana ambao usipowaridhisha huwezi baki madarakani. Wazungu walipotuletea demokrasia walikuwa wanajua wanachokifanya.
stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Hadi leo Ufaransa analazimisha watu kule Afrika Magharibi watumie sarafu yake ya CFA Francs. Huo sio utumwa? Eti hawaruhusiwi kuwa na benki kuu,pesa wanatunza Ufaransa na mfaransa anawapa akijisikia. Huo sio utumwa? Guinea ilijaribu kuacha kutumia sarafu ya CFA Francs yalliyowakuta wakaamua wawe wapole. Huu si utumwa?Those were slavery days /era days, not 21st century, please..
Ipo ila ina kasoro zake. Hata demokrasia ya US ina kasoro zake, kubwa tu.Hivi Tanzania Kuna demokrasia au maneno tu?
He! Bado unajilinganisha na western world?stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Tanzania hatuhitaji demokrasia tunahitaji viongozi kama Napoleon, Lenin Putin au Mao Ze Dong watakaoweka misingi imara kwenye nchi yetu.Hivi Tanzania Kuna demokrasia au maneno tu?
Wewe ni mjinga hao unaowataja waliendelea ndio demokrasia ikawafata nyuma acha ushamba dogostupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Kumpata ssTanzania hatuhitaji demokrasia tunahitaji viongozi kama Napoleon, Lenin Putin au Mao Ze Dong watakaoweka misingi imara kwenye nchi yetu.