Nyie wapenda ushoga(demokrasia) huwa mna fikra duni,nyepesi mbovu sana.Mkuu hiyo ni gia yake ya kukaa pale. Ndiyo maana asemi ya kidikteta anatumia neno mapinduzi
Pinga hoja kwa hoja Acha ngonjera.Hilo jinga litaonesha rangi halisi muda si mrefu na watajuta kumfahamu. Huyo hajui ht maana ya demokrasia. Anaifahamu Marekani?
Huu upuuzi ulioleta hapa umeandikwa na ma diaspora aina ya watu kama kabendera, ambao huwa hawakosi kila taifa la kiafrika...
Ninataka ku dislike hii comment yako nibonyeze wapi?Demokrasia = mnachagua au kufanya maamuzi kwa kushirikiana
Kiimla - MTU mmoja anaawaamuli wengi .
Hasara za demokrasia
- wajinga wakiwa wengi mtapata viongozi wabaya
Faida
-Amani ya nchi - kwakuwa watu wengi mlikubaliana na kumchagua mnayemtaka
Nchi za Africa ni nchi ambazo zinabidi Kuwa na demokrasia .
Ahsante .
Samia pia afute democrasia ili tupate maendeleo zaidi ya haya aliyoletaKiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia.
Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo jumatatu ya tarehe 1 April 2025 wakati wa salamu za kuanza robo ya pili ya mwaka 2025.
Kapteni Traore alidai hakuna nchi yoyote duniani iliyopata maendeleo huku ikiwa katika mfumo wa kidemokrasia bali maendeleo hupatikana kupitia " mapinduzi ya kijamii" ambayo yatahusisha wananchi wote wa nchi husika.
Kapteni Traore pia alisema kuwa nchi ya Burkina Faso kwa sasa haipo katika mfumo wa kidemokrasia bali ipo katika" mapinduzi " na akadai kushangazwa na wasomi wanaopotosha umma kwa kutumia neno" demokrasia"
Je wewe una maoni gani kuhusu madai haya ya Kapteni Traore?
CHANZO: YouTube Channel ya Shirika la Habari la Burkina Faso( RTB)
Tatizo la nchi za Africa kutokuendelea halitokan na demokrasiaSamia pia afute democrasia ili tupate maendeleo zaidi ya haya aliyoleta
ETi "china ni open kaburi" mjinga kweli wewe, hebu taja nchi moja wapo kati ya hizo mnazozishadadia kwa demokrasia yao ambayo inamkuta nchina kwa maendeleo licha ya yeye kuwa open kaburi kama unavyoita????HAWA WOTE WANANCHI WAO WANAZIKIMBIA NCHI ZAO KUTAFUTA KWENDA WESTERN WORLD NA KUPATA URAIA! WHY?
CHINA NI OPEN KABURI, WAKATI WOWOTE UNAWEZA KUTUMBUKIZWA HUMO
100%"Wazungu" hawakuleta demokrasia Afrika. Walileta ukoloni na ukoloni mamboleo.
Kuwa na demokrasia au kutokuwa na demokrasia ni uamuzi wa nchi.
Waafrika na viongozi wao wenyewe ndio walioamua kufuata mfumo wa demokrasia kisanii ili waendelee kupata misaada toka Magharibi, waweze kuhifadhi mapato yao binafsi ya kifisadi, na kwenda kula bata huko huko bila kusumbuliwa. Trump keshawapa tahadhari.
Demokrasia haitaki kabisa usanii kama ule unaofanywa nchini tangu 1992 na kuendelezwa kwenye Maridhiano na 4R.
Waafrika wengi ndipo walipokwama na kukimbilia kusingizia kwamba kukosa maendeleo tatizo ni demokrasia! Ni kama muathirika wa HIV kurukaruka kwenye umezaji wa ARV halafu mashambulizi yakianza kujitokeza unakimbilia kusingizia ARV ndio tatizo.
Alikuwepo raisi wakufanya hicho unachokisema, lakini sio huyu anayefuga majizi,mafisadi,asiyejua kulinda rasilimali zetu na aliyekosa kabisa hata chembe ya uzalendo.Samia pia afute democrasia ili tupate maendeleo zaidi ya haya aliyoleta
Ha ha ha ha ndio maana ninakuambia hii demokrasia ya mwingireza ni MCHEZO WA KADENGE....Ila prime minister wa Uingereza ndo mwenye hayo majukumu chakushangaza prime minister mwenyewe hateuliwi na wananchi.
Samia akitawala milele hadi Serengeti atapewa mchina aiendeshe kwa muda.Samia pia afute democrasia ili tupate maendeleo zaidi ya haya aliyoleta
Sasa unafananisha nyani na binadamu?stupid as africans are... mpuuzi huyu anataka kutawala milele. WHY NOT DEMOKRASI? MBONA WESTERN WORLD AMBAO WANA DEMOKRASIA BY 100% WAMEEDNDELEA? see Denmark, Norway, and Sweden Finland ni democratic by 100% but highly developed first world! JINGA KUMBE NALO! lakini, ni mitulinga mingi akili kidogo...... NA YEYE ATAPINDULIWA
Kama ndivyo ,haya uliyoyataja yana ukubwa gani barani Afrika....Sahihi demokrasia inahitaji uwe na watu wengi wenye elimu, taarifa sahihi na uelewa mpana wa mambo.
Exquisite !Historia ya hizo nchi unazitaja kama "WESTERN WORLD" unaifahamu vizuri?
Unafahamu zimetokea wapi hadi kufikia hapo zilipo?
Fikiria mara mbili... inawezekana Africans were the most democratic than what we are perceived to be.
Remember we are not "STUPID"...
Kwa hiyo baba yako ni nyani akamuoa mama yako nyani jike?!!Sasa unafananisha nyani na binadamu?
CCM ndiyo DEMOKRASIA yenyewe... .Sasa kama hivyo ndivyo mnavyotaka, mnamshabikiaga Lisu kwa minajili ipi?
Acheni CCM itawale milele. Lisu, Heche, na wenzao wote funga jela.
Hakuna cha mikutano ya vyama vya siasa.
Piga marufuku wengine wote kufanya shughuli za kisiasa isipokuwa CCM.
Nakazia tu.Hata mimi nasemaga humu kila siku. Nchi haiwezi kuendelea chini ya demokrasia. Demokrasia ina walaji(machawa) wengi sana ambao usipowaridhisha huwezi baki madarakani. Wazungu walipotuletea demokrasia walikuwa wanajua wanachokifanya.
Alikuwa SAHIHI....Magu alisema siasa zifanyike kipindi cha uchaguzi tuu, vinginevyo pigeni kazi
Umemaliza KILA KITU....Kitendo tu cha wewe kusema dunia ina wenyewe sijui wao ndio wameshika remote tayari moja kwa moja unadhiirisha hii dunia aina hiyo demokrasia, maana tayari kuna watu wenye nguvu kuliko wengine na ndio wanaamua dunia iende vipi na wakati huo katika demokrasia tunaambiwa hakuna mtu ambaye yuko juu ya mwingine.
Sasa kama ni hivyo basi Traore yupo sahihi kwa kuipuuza kabisa hiyo demokrasia, maana hata hao unaowaita wakubwa wa dunia hawaifuati hiyo demokrasia kwa sababu wanawapangia wengine wajiongoze vipi.