Uchaguzi 2020 Karatu, Manyara: Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu (Sept 29, 2020)

Kwanini unamfokea jamaa? Fanya wewe hizo hesabu kwa sababu hujasoma history, utuwekee hapa!
 
Kumzuia huyu msaliti wangemuua maana habari zake sizpend huyu nyambafu naatashndwa tu
 
Leo tar. 29 Sept. LISU si alitakiwa aje ajieleze kwenye ofisi za NEC.
Inamaana amekaidi wito wa mwenyekiti wa Tume?. Aje ajieleze kwa nini ana wafuasi wengi hivi kuliko Lipumba.

Sheria inasema anatakiwa amepewe taarifa kwanza kwa maandishi ,ndani ya masaa 48 aijibu kwa maandishi,Baada ya hapo ndio wanapanga Tarehe kama kuna ulakini kwenye maelezo aliyotoa,ndio wa mwite aende .

Lisu Alikuwa anasoma sheria za uchaguzi huko huko jukwaani.

Lisu anafata sheria za uchaguzi,ila tume ndio wanavunja sheria,Lisu anawafundisha wanafata mziki wake.
 
johnthebaptist awe na picha kama hizi asiziweke? Sema zimejumuisha na watoto wa shule anaona aibu kuzileta
Uzuri mikutano ya CCM yote inarushwa live kila mtu anaiona. Kwahiyo ukitaka kuleta propaganda zako hapa unaonekana tu hayawani. CCM nyomi kwao siyo issue kwasbb imezoeleka kila mkutano watu wanajaa, wao wanafocus kwenye kura.
 
mna sku 30 za kuhakikisha hio timu yenu ya kushangilia katikati inawashawishi hao walikuja kushangaa wa pembeni
 
Nawaamini hao watu wa karatu...hawajawahi kusaliti ukombozi, mwamko ulipo hapo siyo wa kawaida....

Mambo kama haya ndiyo yanawasumbua Tumeccm
Hao jamaa komesha. Tangu enzi za Nyerere hawaburuzwi
 
kwa mashitaka yaliyopo tume na nyomi hii, lazima kumsimamisha asiendelee na kampeni, watoa hukumu wenyewe ni nccr, cuf, demokrasia makini, tlp n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…