Kardinali Pengo anawashukia wote wanaoleta hofu nchini muda huu kupitia Radio Maria na washirika wake. Anasema watu wanauawa bila hata sababu.

Huyo mama Yao watekaji ajitathimini.watumishi wa Mungu wakisema ajue ni sauti ya Mungu.Asipojitathimini na kuacha utekaji wa watanzania basi ajue Mungu ataingilia kati na haitafika 2025
 
Watumishi wa mungu kama kina kiboko ya wachawi au wepi hao
 
Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa.

Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani wazi ni nini. Asema ni madhambi gani yaliyopelekea Tanzania yetu kupitia hali hii?

Kardinali anawataka watu kujiuliza je, wanashiriki katika kuleta hali ya hofu? Anasema suluhisho sio nguvu za silaha wala majeshi, bali ni msamaha na maendoleo ya dhambi.

Mwadhama anasema watanzania wanalia hawaipendi hali hii. Anawataka vijana wa kipaimara kuondoa hofu kwa jamii. Anamalizia kwa kuwataka Wakatoliki kuwa chanzo cha kuondoa hofu na kuleta amani nchini.
Wao ndio wanaosema wamesoma sana kuliko wengine
 
Asilete taharuki isiyo na sababu wakati watanzania wote wanafahamu ya kuwa RAIS wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa kina na kukomesha matendo yote ya utekaji,kupotea kwa watu na hata mauaji ya watu mbalimbali wakiwepo maarubino ,wazee na watu wengine. Lakini Baba askofu mstaafu na kardinali asichague awamu za kupaza Sauti yake. Kama ni kunyooka anyooke kama rula katika awamu zote. Nasema haya kwa sababu watu wanaona ni kama kulikuwa na kigugumizi na aliziba kabisa kinywa chake wakati fulani wa awamu fulani. Sasa anapoibuka wakati huu wa
Rais Samia inaleta hisia tofauti na kuibua maswali mengi kwamba kwanini wakati ule alikuwa kimya.

Una uhakika unayoyasema au ni hisia tu?
Unafahamu Magufuli, kwa hasira, alifikia mpaka kutoa amri ya kulipisha kodi vitu vinavyoingizwa na Kanisa katoliki hata kama ni vitu vya ibada? Unajua ilikuwa ni hasira ya nini?

Unafahamu Pengo alifanya vikao vingapi na Magufuli baada ya waraka wa TEC wa kwaresma kufuatia kuminywa kwa haki za watu na shambulio la Lisu?

Sema utofauti ni kuwa Magu baada ya utaeala wake kuleta taharuki, alifungua milango ya majadiliano na wakuu wa Kanisa, na mambo hayakuwekwa public. Ndiyo maana miaka ya mwisho, japo bado haki ziliendelea kuminywa, angalao kulikuwa na utulivu wa kiasi fulani, ukilinganisha na wakati wa watu kuonekana kwenye viroba, shambulio la Lisu, kupotea kwa Ben, na wengine kadhaa.

Lakini ni uwongo uliopitiliza kudai eti Kadinali Pengo alimtaja Magufuli kuwa ni mtakatifu!! Wanaosema hivyo hawajui chochote kuhusu taratibu za Kanisa. Kiongozi pekee ambaye anamtangaza mtu kuwa mtakatifu kwa vigezo vya Kanisa, ni Papa pekee, baada ya kupitia taratibu ndefu.
 
Una uhakika unayoyasema au ni hisia tu?
Unafahamu Magufuli, kwa hasira, alifikia mpaka kutoa amri ya kulipisha kodi vitu vinavyoingizwa na Kanisa katoliki hata kama ni vitu vya ibada? Unajua ilikuwa ni hasira ya nini?

Unafahamu Pengo alifanya vikao vingapi na Magufuli baada ya waraka wa TEC wa kwaresma kufuatia kuminywa kwa haki za watu na shambulio la Lisu?

Sema utofauti ni kuwa Magu baada ya utaeala wake kuleta taharuki, alifungua milango ya majadiliano na wakuu wa Kanisa, na mambo hayakuwekwa public. Ndiyo maana miaka ya mwisho, japo bado haki ziliendelea kuminywa, angalao kulikuwa na utulivu wa kiasi fulani, ukilinganisha na wakati wa watu kuonekana kwenye viroba, shambulio la Lisu, kupotea kwa Ben, na wengine kadhaa.

Lakini ni uwongo uliopitiliza kudai eti Kadinali Pengo alimtaja Magufuli kuwa ni mtakatifu!!
Kwa mama yetu mpendwa Rais Samia huwa hafanyi vikao na viongozi wa Dini? Acha unafikia wako hapa wewe. Ni lini uliona Kardinali pengo Kama Pengo akikemea hadharani wakati ule jambo lolote lile? Kama una huo ushahidi weka hapa na siyo kusema na kujenga hoja yako kupitia mwamvuli wa TEC ambao wala siyo msingi wa hoja yangu.
 
Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa.

Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani wazi ni nini. Asema ni madhambi gani yaliyopelekea Tanzania yetu kupitia hali hii?

Kardinali anawataka watu kujiuliza je, wanashiriki katika kuleta hali ya hofu? Anasema suluhisho sio nguvu za silaha wala majeshi, bali ni msamaha na maendoleo ya dhambi.

Mwadhama anasema watanzania wanalia hawaipendi hali hii. Anawataka vijana wa kipaimara kuondoa hofu kwa jamii. Anamalizia kwa kuwataka Wakatoliki kuwa chanzo cha kuondoa hofu na kuleta amani nchini.
 
Attachments

  • 20240922_113923.jpg
    20240922_113923.jpg
    78.9 KB · Views: 4
  • 20240922_113914.jpg
    20240922_113914.jpg
    78.9 KB · Views: 3
  • 20240922_113907.jpg
    20240922_113907.jpg
    76.9 KB · Views: 4
Mimi ni mwisilamu,ila ukweli ni kua Marais Bora nchini kwetu wanapatikana RC. Huku kwingine ujanjaujaa tu! Hawa Jamaa wamenyokaa sana wengi wao nyeupe wanasema nyeupe,nyeusi ni nyeusi...kwingine wamelelewa kiongoomgo,kinafiki nafiki na kitapeli.
 
Kardinali Pengo katika ibada ya kipaimara inayofanyika jimboni Dar es Salaam muda huu anazungumzia hali ya hofu iliyotanda nchini na kuifananisha na hofu waliyokuwa nayo mitume baada ya Yesu kuuwawa.

Mwadhama anasema hali hii haijapata kujulikana Tanzania na sababu za mauaji haya hazijulikani wazi ni nini. Asema ni madhambi gani yaliyopelekea Tanzania yetu kupitia hali hii?

Kardinali anawataka watu kujiuliza je, wanashiriki katika kuleta hali ya hofu? Anasema suluhisho sio nguvu za silaha wala majeshi, bali ni msamaha na maendoleo ya dhambi.

Mwadhama anasema watanzania wanalia hawaipendi hali hii. Anawataka vijana wa kipaimara kuondoa hofu kwa jamii. Anamalizia kwa kuwataka Wakatoliki kuwa chanzo cha kuondoa hofu na kuleta amani nchini.
Walau leo mwadhama kaongea kitu kizuri!!!
 
Mimi ni mwisilamu,ila ukweli ni kua Marais Bora nchini kwetu wanapatikana RC. Huku kwingine ujanjaujaa tu! Hawa Jamaa wamenyokaa sana wengi wao nyeupe wanasema nyeupe,nyeusi ni nyeusi...kwingine wamelelewa kiongoomgo,kinafiki nafiki na kitapeli.
ubora katika lipi? maana changamoto zetu watanzania nizilezile toka tunapata uhuru hadi leo
 
Na katika vitu vinaendelea kuliangamiza hili taifa ni fikra za ukristo na uislamu kwamba kiongozi akiwa muislam wakristo wasikosoe na akiwa mkristo basi muislam asikosoe huu ujinga
Hili tatizo huaga kubwa zaidi hasa kiongozi wa nchi akiwa Muislam, Mkristo yeyote akikosoa Waislam huaga wanakuja ju as if kiongozi anaongoza nchi kidini. Nimeona Wakristo ni kama hawanaga shida sana wao kumkosoa Mkristo mwenzao; we all remember during Magufuli regime, askofu wake wa kule jimbo linalotawala hadi Chato alifungaga hadi makanisa yote yaliokua kwenye utawala wake baada ya kuona rais haelewi kuhusiana na corona; baadhi yao pia walikua wakimkosoa wazi wazi, yule wa Lulenge, yule wa Lutheran kule Bukoba, kina Kakobe, Mwingira etc. Wakristo hawabagui, wana deal na facts sio mtu.
aache zake hizo.
Anayakuza mambo bure.Baada ya polisi kututoa hofu wala hatuna hofu anazosema.
Sijawahi kua shabiki wa kadinari Pengo hata mara 1 but I'm sure hata wewe hapa hujaongozwa na huruma, DINI yako umeitimia kufanya maamuzi na sio Mungu wako. Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwana DINI na mcha Mungu. Mwana dini anaongozwa na UNAFIKI mwingi sana.
Sikubaliani na kadinari anapohusisha kipaimara na amani, nae kasahau kwamba AMANI ni tunda au zao la HAKI, ukitenda HAKI, Amani inakuja yenyewe, huhitaji kuhubiri.
 
Back
Top Bottom