Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Mbona kwa magufuli mashirika yali simama na yakawa yanatoa na gawio?
Watanzania awataki mtu kama huyo; bandari ambayo mara ya mwisho ilitoa gawio la tsh 400 billion kwenye muda wake sasa hivi tunaambiwa wanatoa tsh 100 billion.

Hao TICTS mchango ni billion 24 tu, tena kabla ya hapo walikuwa awatoi zaidi tsh 5 billion.

Wengine serikalini atujui ata kama bado wanapeleka gawio ukitoa mabank yanayoendeshwa privately, serikali akiwa mmbia tu.

Generally speaking ni busara ata angekuwepo Magufuli kuanza kufikiria issue za management, kwa sababu wengine walikuwa wanashindwa biashara ata alipokuwepo. Serikali inaweza kubaki na umiliki wa 100% maana sehemu nyingine ishafanya uwekezaji mkubwa ila management wakatafutwa watu wenye uwezo.
 
Naungana na wewe
 
Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Nenda kamfulie huyo bibi chupi zake acha uchawa bandia
Kwa hiyo hata wewe huwezi kuona ujinga miaka yote hiyo toka uhuru mnashindwa kuendesha bandali tu?
Kama hamuwezi si mumpe hata kagame ni jirani tunaweza hata kumgomea mambo yake.
Mfumo wa tehama tunashindwa kuununua wenyewe?
 
Wewe dada ni mdini sana...wanaume wenu wakifa huko waendako watakuta mabikira 72....haya wewe ajuza utakuta nini?...
Na hio ndio imani yenu...kama sio ufala ni nini?...
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Si wataalam wetu wangeenda tu Mombasa na Beirra wakajifunze!
 
Ndugu yangu involved, umenilisha maneno, Binafsi sina chuki na DP World, nina Imani pia asilimia kubwa ya Watanzania hawana chuki na Mwarabu, hofu ya mantiki ni "Yatokanayo na Mkataba dhidi ya serikali na DPW" kudo's umenena vyema juu ya historia ya ujio wa dini, lkn tujiepushe na munkali wa dhana ya udini, tujenge hoja, Sisi ni ndugu na Tanzania si Mali ya wachache bali wote, wa Sasa, kesho na kizazi cha miaka elfu kumi ijayo.
 
Kheri umewakumbusha. TEC walitoa waraka. Lutheran walitoa waraka. Nyaraka zilitoka nyingi tu enzi ya JPM. Samia hadi sasa hakuna hata waraka mmoja.

Kakobe aliongea. Mwingira aliongea, n.k.

Waache tumhoji na huyu bila kujificha kwenye kivuli cha uislamu ooh ukristo.!
 
Kwani Barrick si bado ipo naona umetuma "aliwahi" ? Anyway haya mambo ya mzungu na mwarabu yupi ni shetani mwema ni kalagabaho tu, suala Langu kwa huyu bwana ni kuhusu TICTS na Accasia, hao TICTS kwanini alimpa zawadi karamagi ya hisa zaidi ya asilimia 50? Hata huyo barick unaemtetea kila wiki huchota mchanga kuupeleka Dubai na kutuachia mashimo
 
Inaonekana kuna kundi la watu wachache wamepewa vishika uchumba na hao Waarabu ili kuuza Bandari yetu.

Hao watu nimewaona wengi humu kwa makundi kuanzia wana habari na hata baadhi ya watu maarufu.

Kweli unakubali kuuza utu wako kwa vipande vya fedha?
 
Kanisa lina nguvu ila sio yule mzee
Nisahihi, lakini utajuaje labda Mzee ametumwa kutoa mtazamo wa Kanisa kwa Ujumla.

Huyo Mzee amehudumu Kanisani zaidi ya miaka 60, unaweza kuta yeye ni kipaza sauti tu ila aliyetoa maoni ni Kanisa 🙌
 
Bila shaka hatuwezi ndio ikafikia kutafuta muwekezaji.
 
H
Hawa maaskofu wanavuna pasipo kutawanya na kula pasipo kutafuta chakula sisi ndo tunajua mahangaiko yetu Bora anagenyamaza. Bandari Haina tija kwa watu maskini Bali haohao maaskofu kwa kupitisha magendo Yao tena bila kulipa Kodi. Sasa wataanza kulipa Kodi ndo mana wamechanganyikiwa. Bandari ilihitaji mwekezaji tangu zamani mana ilijaa ufisadi mtupu probably hata Hawa walikuwa wanufaika wakubwa sisi maskini tukizodi kuwasindikiza tu. Bravo mama Samia kutupigania sisi wa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…