Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

👏👏👏
 
Lazima Pengo atokeze hadharani mana kwa hili la bandari kanisa limeshikwa pabaya
 
Haiaminiki.
Wao wanachotaka waendeleze katabia ka kuvusha mizigo yao kwa mgongo wa tax exemption
Kwa hiyo mwarabu atatengua maamuzi yote ya serikali kuhusu tax exemptions? Kama ni hivyo basi mkataba haufai, maana katika hali ya kawaida, serikali inatakiwa ibaki na nguvu dhidi ya mwarabu
 
Angekuwa mtu tofauti na uyo pengo ndio amesema maneno ayo apo sawa ..leo hii akiitwa ikulu na Samia akitoka apo na maneno anayabadilisha uyo mzee ni mchumia tumbo kama wachumia tumbo wengine.
 
Kardinali kaongea.

ndugu watanganyika kwenye hili suala la bandari kwa kweli roho mpaka inauma kwa jinsi mambo ya kupitisha hili yalivyokwenda,wajukuu zetu huko mbele ya safari watakuja kutushangaa sana.
 
Kwa hiyo mwarabu atatengua maamuzi yote ya serikali kuhusu tax exemptions? Kama ni hivyo basi mkataba haufai, maana katika hali ya kawaida, serikali inatakiwa ibaki na nguvu dhidi ya mwarabu
Hawezi kutengua, ila atadhibibiti ile mizigo binafsi ilokuwa inavushwa kwa mgongo wa kanisa
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Kama hatuwezi bandari
Je Wizara?
Je Idara za umma?
Je Nchi?
Kipi kikubwa kati ya bandari na wizara moja kuongoza?
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Weka Chama Kingine cha siasa madarakani uone na siyo kukodi Waarabu kuja kuifilisi nchi.
 
Bahati yake tuu Catholic is very strong la sivyo tungewapa hao Waajemi nayo waendeshe kanisa! Ametutokea wapi yeye adili na maadali ya mapadre wake kila siku wana kashfa za ngono ! Bandari inamhusu nini!
zinaongelewa ishu za bandari unaleta ishu za ngono hapo ndio mnapofeli sana na ndio maana wazanzibar wamewauza mchana peupe mnang'aa macho 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…