Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Wakati wa JPM walikuwa kimyaa msituletee udini hapa hakuna dini yenye haki zaidi katika kuongoza hii nchi. Kwa JPM sikuwahi kusikia waraka wa wakatoliki
wala bandari haikuuzwa kama ilivyouzwa sasa na wazanzibar kwa wajomba zao waarabu 😎

udini mnauanzisha nyie halafu mnataka tuwakalie kimya,kwa hili hamtofanikiwa hata mlete waarabu wote wa dubai Tanzania mtaendelea kuiona inasimama kama Tanzania hiyo mipango yenu mshafeli

ikiwapendeza leteni na wajomba zenu wa oman muone kama mtafanikiwa😕
 
Ndio maana hakuna Papa Mweusi, au Grand Mufti wa Makka Mwafrika, kwasababu hata hizi Dini zinajua kuwa hatujiwezi.

Tunachojua ni kuiba na kuzaa utitili wa Watoto.
 
Nyie wakina pengo kaeni pembeni kabisa, Bora mbakie na kaheshima kadogo tunakowapa tafadhali. Nyie mbuzi sana, kukiwa na utawala unaowapaka mafuta mpo kimyaaa. Maovu mangapi yalifanyika kwenye utawala uliopita mbona mlikaa kimya.
 
JIBU NI KWELI
 
Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Kwa hiyo unamaanisha hao DP wanapewa kwa kuwa ni waislamu?Pili ni lini Tanzania imewahi kuwa uwekezaji mkubwa toka Italy? Huendi sawa na Dunia inavyoenda Leo hii Manchester United ipo sokoni wanaojitokeza ni ama waarabu au Marekani lakini waingereza wanasita kwa kuwa Bado wanajiuliza wao wanakwama wapi?
 
Kadinali Pengo kasema ukweli. Vigogo wanajidai hawauoni ukweli kwa tamaa yao binafsi. Kadinali kauliza kama ni kweli watanzania hatuwezi kuendesha bandari zetu? Na je si ndio linalotakiwa tufanye kama wenye nchi yao?
Wenye akili zao tunauliza kwani sisi baada ya kuwekeza mamilioni miundombinu bandari hatuwezi kununua vifaa na kujipatia wenyewe uwezo kuendesha bandari zetu? Mbona tunakopa benki ya dunia hadi kujenga madarasa tu. Kwa nini kama ukwasi haupo tusikope kwa vifaa na mafunzo kuendesha bandari zetu?
Haya mambo kutaka kukodisha kwa masharti ya ovyo bandari zetu ni ujinga tu. Eti wanatuambia wanakodisha sehemu ya makontena tu. Hivi duniani leo kuna mizigo mingapi inasafirishwa bila kontena. Hapo si sawa na kutoa bandari yote tu?
Ukweli tunajibu matangazo ya biashara za wengine na mbinu zao za kupata masoko. Siku hizi nchi munaweza kununuliwa chochote hamuhitaji na vigogo wa serikali yenu mradi wao wapate pesa.
 
Wewe na pengo mmeona tunaweza!?.. uingereza na marekani wamewapa waarabu hao waendeshe bandari zao...mnadhani wakihitaji nini bandarini!?
 
pengo ana pengo mahali
 
Mimi mwenyewe najiamini nikipewa fursa naweza nika tengeneza mchunganuo unaoweza kuleta tija kwa Taifa la Tanzania. A competitive business plan
 
Vp wale wazungu wa NMB Bank mbona sasa ndio inaongoza! Wewe unajua nini zaidi ya kukurupuka kilaza wewe
Kalisha magololi yako kwenye sofa then usubiri wanaume wenzako wakusaidie kufanya kazi halafu wakuletee mapato. Good luck!
 
UPIGAJI TU HAKUNA LOLOTE BANDARI TUMEKUWA NAYO KWA MIAKA 61 SASA
 
Tatizo la Pengo ni kutokuaminika

UKitofautiana na mtu kuhusu chungwa, haujatofautiana naye kuhusu embe.
Kauli za sasa za Kardinali Pengi ni fikirishi. Zitenganishe na yale mengine. Jifunze kukubali kanuni hii: Mwizi akisema kwamba wizi ni mbaya tunakubali kauli yake, hata kama yeye n mwizi. Mwongo akisema kwamba uwongo ni mbaya tunakubali kauli yake. Tunatenganisha ujumbe a mjumbe. Ujumbe wa Kardinali Pengi uko sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…