Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Hoja ya pengo umeielewa?, ameongolea juu ya kuwajengea uwezo watanzania,wewe nawe unalipuka na mengine tu.

DPW anakuja na huo mkakati. Mkipata uwezo na yeye kurudisha hela zake mtabaki kuendesha wenyewe.

Ila unajua vingapi vilibaki kwa wabongo na sasa vimekufa kabisa?
 
Kwa nini huyo raise mbovu kuachia ngazi Kwa kushindwa kazi, usichokimudu maana yake hutoshei, atangaze kuondoka tukodi mzungu aendeshe ikulu kwanza. Ni akili za kipumbavu sana.

Amekua Rais toka lini? Miaka yote bandari iki underperform alikua rais yeye?
 
Ndio watanzania kuendesha bandari hawawez..safi Sana mama Samia umewapa warabu hyo bandari..

Mitanzania ni wezi Sana ukipitisha gari wanaiba spea zote hadi kubadili vitu vingine..safi Sana Samia Kwa uamuz wa busara ..uza na airport napo Bado hapaeleweki
 
Unapotosha unapoweka hayo maandishi kwenye apostrophes kama vile Mhusika alisema hayo neno kwa neno. Wewe ulichofanya ni ku paraphrase yale yaliyosemwa kwa kuyatafsiri kama ulivyoelewa wewe. Cha msingi ulichofanya ni kuweka maneno au matamshi mdomoni kwa Kardinali Pengo.

 
Akiitwa Ikulu atakuja na kauli tofauti , huyu aliwahi kuukana waraka alioshiriki kuutengeneza na maaskofu wenzake

Pengo akitoa kauli unapaswa ukae wiki nzima usubiri kama hatokengeuka
 
" Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people are. They are still under the process of becoming the complete human beings".
Pieter W. Bitha, a former President of South Africa during the Apartheid era
 
Mnada wa Mhunze upo wapi bwana weye,?
Mimi nausikiaga tu ebu nielekeze mahali ulipo ili nami nifike nikauone huo mnada wa Mhunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…