Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Kwa nini huyo raise mbovu kuachia ngazi Kwa kushindwa kazi, usichokimudu maana yake hutoshei, atangaze kuondoka tukodi mzungu aendeshe ikulu kwanza. Ni akili za kipumbavu sana.It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Nyie mawakala wa shetani safari hii mtapigwa mawe mpaka na vipofu, mmelaanika.Akalale huyo mzee, biashara anayoielewa ni ya kufuga misukule tu.
Macho hakuna Mkuu tunajidanganya nini ili isaidie nini! Wacha tuwape wenye uwezo sisi tupige mapato kurefu ! Tumechoka kila mara eti wafanyakazi fulani wa bandari wana kesi za kuiba ! Huko hapana tena mkuuHatuwe = wanasiasa hawawezi. Wako watanzania wengi wenye uwezo hivyo usiseme hatuwezi.
Unafanya kosa kubwa sana. Hakuna mtu atakayekufanyia kazi huku wewe umekaa halafu eti akuletee faida.Macho hakuna Mkuu tunajidanganya nini ili isaidie nini! Wacha tuwape wenye uwezo sisi tupige mapato kurefu ! Tumechoka kila mara eti wafanyakazi fulani wa bandari wana kesi za kuiba ! Huko hapana tena mkuu
Vp wale wazungu wa NMB Bank mbona sasa ndio inaongoza! Wewe unajua nini zaidi ya kukurupuka kilaza weweUnafanya kosa kubwa sana. Hakuna mtu atakayekufanyia kazi huku wewe umekaa halafu eti akuletee faida.
Aibe nini wale wazungu kule migodini hawaibi pimbi weweKwahiyo ni heri aibe Mwarabu sio?
Jibu hoja Acha ujinga.Tatizo la Pengo ni kutokuaminika
Nakuombea kwa Allah uione nuru ya Uislam.Nyie mawakala wa shetani safari hii mtapigwa mawe mpaka na vipofu, mmelaanika.
Yeye huyo Pengo anaweza nini zaidi ya kuishi Kwa kutegemea sadaka?"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Kukimbilia kutoa lugha zisizo staarabika inadhihirisha ni kwa kiasi gani una udumavu wa akili jambo linaloathiri uwezo wako wa kufikiri.Aibe nini wale wazungu kule migodini hawaibi pimbi wewe
Kama umeshindwa kuendesha Bandari ambayo ndiyo lango kuu la uchumi,hiyo ni automatically Nchi isha feli na tulishashindwa kuisimamia Nchi na vitega uchumi vyake ndiyo maana tunakaribisha wageni wenye uwezo waje watuendeshee Nchi yetu!!Hivi inakuaje tunaweza kuendesha nchi halafu tunashindwa Bandari?
Hao watu wa ka..... Ni matapeli tu
Hao watu wa ka..... Ni matapeli tu
Wadiz! Wewe mtoto mdogo mfupi kama fikra zako ! Tena pumbafu kabisa unataka kuleta chokochoko za udini kisa ujinga wako! Hao wabunge waliopitisha wote ni waislam au muswaada ulipitishiwa zanzibar!Kama ishu ya bandari inalenga kuifanya Tanzania hasa Tanganyika iwe nchi ya kiislamu na pia kuiua kabisa Tanganyika liwekwe wazi, waislam kwenye ishu ya bandari wanatia shaka sana, na inaonekana wana kipaumbele cha uislam kuliko chochote, na huu mpasuka kama waislam akili zao na uwezo wao wa kufikiri ndio huu ni hatari sana, moto utawaka, ipo shaka yamkini kuna agenda kubwa ya siri ya kuharibu Tanganyika .
Huyu Bibi bila shaka ni mamluki ama kanunuliwa, ama akili zina mashaka makubwa mno.
Kwani uongo kuwa hatujaweza? Lini Bandari iliendeshwa kwa tija?Sema wewe ndio hauwezi!
Wanajidhalilisha sana hawa viongozi wa dini. Tics kakaa pale bandarini miaka 25+ hatukuwahi kuwasikia hata siku moja saivi ndo wanajifanya wanaongea kisa tu wawekezaji ni waarabu.Mfano Dpworld wangekuwa wanatokea Rome Italy..
Angeuliza haya maswali???
Kama mitambo tu bas tuchangisheni bukubuku Kila mbongo tununue situko 60000000"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Kwani terms za mkataba huu zikoje?Ni wazi hata terms za mkataba zingekuwa tofauti
Mama Hatufai ....2025 TISS Jeshi amueni kitu kwa maslahi ya Taifa ......nchi sio ya Rais na mna madaraka kupindua meza kwa mgombea....iwe hivyo"....najiuliza, hivi kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari yetu wenyewe? Sielewi viongozi wetu ama wanajitafutia pesa na kuwaacha Watanzania wakididimia ama...yaani hata sielewi maana nashindwa kuelewa!
"Huwezi kumtweza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya hela. Ni hilo tu naomba nijizuie kusema zaidi," Pengo.
Kanisa Katoliki TV.
Kwanza hata bandarini umewahi kufika? Unajiongelea tu.Bandari haijawahi kufeli Nenda kaangalie mitambo iliyofungwa mle. Pale TPA hata foleni ya malori hakuna ni mara chache Sana ila sio kama miaka ya nyuma
Msumbufu wa pale bandarini ni TRA. Sema watu hudhani Kila changamoto mle ni TPA wakati SI kweli changamoto nyingi mle ni TRA.