Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?

Rev, Pengo must have a Pengo somewhere, why does he refrain himself from saying all that are supposed to be said publicly on the saga for the benefit of our country ??
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Kama hiyo ndio hoja yako. Mbona serikali ya Tanzania imefeli kueta maendeeo zaidi ya miaka 60. Serikali nayo tuibinafushishe??
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Tatizo tunaongozwa na chama kilichosheheni wezi watupu, kuanzia shinani mpaka taifa
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?
Kuna kajamaa hapa kana ukwasi wa ajabu kazi hapohapo bandari. Hayo magendo anayokimbiza huyu jamaa mpaka kuwa doni si mchezo. Ah! Bandari wanazinyakua hela aseee. Bora apewe muarabu tu
 
Hili la bandari halitaisha leo Wala kesho
Hapa CCM wamelikoroga Bora hata issue za migodi na gesi ambapo wawekezaji ndio wenye technology ila hili la bandari tunauwezo wa Kununua mitambo na tukaendesha wenyewe
Na nyinyi Bavicha lazima mkomalie hapo sabab Kuna maslahi ya chama.. so, hamuwez kusikiliza Hoja zaid ya kujaji kupata Kona za kupigia kampeni 2025.
 
It's proven beyond doubt hatuwezi. Tumeendesha zaidi ya miaka 50 bila tija yeyote, majirani wote wamehamia Mombasa na Beira. Bandari yenye potential ya kuchangia zaidi ya 70% ya bajeti ya nchi inachangia 30% tu, mnataka uthibitisho gani zaidi?

Ndo wagawe bandari yetu milele!! WaLishindwa kuingia mkataba wenye tija kweli?
 
We Fala jibu hoja mambo ya kuguswa kwa huyo mapengo au nguvu ya katoliki ina uhusiano gani!!! Vibaraka wa Vatican 🇻🇦!!!
Hatuwezi kujibu hoja bila kutumia lugha za kuudhi/kukera mkuu?

Mbona mimi sijakuvunjia heshima boss?

Tafadhali tuheshimiane walau kidogo Mkuu wangu

=========
Wasiwasi aliouonesha Mzee Pengo juu ya Ubinafsishaji Bandari kwa kipindi kisicho julikana, ndiyo huo huo ambao kila mtanzania mwenye mapenzi mema na Nchi yake lazima atauonesha.

Ni vizuri Rais wa Nchi, aone umuhimu wa kuuboresha kwa kuondoa vifungu vinavyouza bandari yetu. Hasa suala muda wa mkataba pamoja na kuwapa TRA mamlaka ya kukusanya kodi
 
Mie nimemsikiliza Pengo mwanzo hadi mwisho, hili la bandari kaulizwa mwishoni kabisa, nje ya mada yake. Hakujibu hivi, umemuwekea maneno mdomoni.
 
Nakupuuza umeathiriwa na dini
Utopolo mtupu dini petroli imekuathiri, mimi hao machoko dini yao inawasumbua nyie vingedere tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…