Kardinali Pengo: Ni kweli Watanzania hatuwezi kuendesha bandari yetu?



Atawezaje kufanya hivyo wakati inasemekana naye kaahidiwa kupewa share ndani ya DP world !!.

Kamwe haiwezekani kwa mtu mwenye akili timamu akaiingiza nchi (Tanganyika) katika mkataba wa aina hiyo, ni lazima hapo kuna jambo la maslahi binafsi. Hatuwezi kusema Rais wetu sio Muerevu asijue ubaya wa huo mkataba na akausaini.
 
Ni aibu kubwa sn
 
Pengo aambiwe kuwa hata huko kanisani nako uendeshaji wao ni mbovu, tukiamua tunawapa DP World waendeshe makanisa yote.
 
Mbona kwa magufuli mashirika yali simama na yakawa yanatoa na gawio?
 
Sasa wewe unafikiri wale wanaowekwa toka utotoni kutoka kwenye vituo vyake vya "yatima" mpaka wanazeeka bila kuoa au kuolewa kama si misukule ni nini?

Siyo chuki ndugu zangu kwa Adam, nawaonea huruma wazungu wamewajaza ujinga. Mnisameh sana lakini ukweli ubaki kuwa ukweli. Wazungu huko Ulaya wanafunga makanisa mengi sana kwa kukosa misukule, wazungu wenzao washajionea haijakaa sawa.

Nawakaribisha kwemye utulivu wa roho, Uislam.

Fikiri.
 
Wanajifanya hawajui

Ni wanafiki wakubwa. Huko nje wako Watanzania wanasimamia uendeshaji wa taasisi kubwa za kimataifa kwa ufanisi mkubwa na wanaheshimika.

Lakini hapa nyumbani liko hili dude linaloitwa CCM. Kila baada ya miaka mitano/kumi wako tayari kuiba na hata kuua mradi wanabaki madarakani.

CCM ni kama vile imekuwa hifadhi kwa watu wenye tamaa ya utajiri haijalishi wanatumia mbinu gani. Udokozi na rushwa ndio zana zao kubwa.

Ole wako uoneshe japo uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya taifa badala ya tumbo, hutadumu kwani vita utakayopigwa ndani ya CCM ni kubwa.

Adui nambari wani wa taifa hili ni CCM.
 
Huko kwenye kuamua namna gani taasisi za kibiashara za serikali zinavyoendeshwa hao wanaokuwa wameshinda uchaguzi katika muda wao wanakuwa ni hiyo idhini ya kufanya wanayozani sahihi kuongeza ufanisi.
Waliokutangulia wameingia mikataba isiyo na ukomo na wageni, tena mikataba isiyoweza kuvunjwa kwa mazingira yoyote; wewe ukiingia utafanya miujiza gani kubadili hiyo hali?

Kauli za kujifariji hazitusaidii.
 
Tatizo kubwa la Tanzania ni utendaji wa serikali ya CCM kwa kukosa uwajibikaji kwa kuofia chaguzi. Mtu anafanya ubadhirifu na ushaidi upo wa kutosha. Rais anachofanya ni uteuzi kwa lengo la kumbadilisha wizara. Huu ndio ujinga mkuu uliotufikisha hapa
 
Pengo ana elements nyingi sana za udini, alimsumbua sana Kikwete lakini kamwe hakuwahi kuinua mdomo dhidi ya Magufuli, alibaki akimsifu huku akiwapiha vijembe Maaskofu wenzake wa Katoliki walipojaribu kusimama.
Kama aliwapiga vijembe maaskofu wenzake, huo udini unatoka wapi sasa!
 
Na Mimi najiuliza wewe unamteua mtu asiye na uwezo, bila kufuata vigezo anashindwa kazi unasema sisi hatuwezi, wewe mwenyewe unamchagua mwekezaji unaye mtaka huyu una mpa mkataba wa milele au ukitaka kuvunja hiyo ndoa bei yake unashindwa mwenyewe, na wewe mwenyewe unakubali masharti ya ajabu kwenye huo mkataba. Sasa hapa tatizo ni mteuzi au wanaoteuliwa au wa Tz .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…