SIPENDI SIASA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2024
- 791
- 1,199
Sawa mkuu..Tunamtaka kayoko, hao waarabu baki nao wewe
Familia zao kushambuliwa baada ya mechi kwa uchizi wa Simba na Yanga nchi nzima..Arajiga anatosha au yule jamaa polisi wa dodoma nae yuko sawa sana
Dunia nzima marefa ni chenga wale unao ona wazuri ni msaada wa VAR tena wetu wanajitahidi sana
Vp kuhusu usalama wa familia zao au wao wenyewe huko mitaani baada ya mechi??jenga uchumi wa watu wako wewe!, wapo marefa ukiwapa hiyo mechi watakuonyesha uwezo mzuri tu
ilishawahi kutokea shida yoyote kwenye familia za marefa waliochezesha derby ya simba na yanga.Vp kuhusu usalama wa familia zao au wao wenyewe huko mitaani baada ya mechi??
Derby ya Simba na Yanga sio sawa ya Azam na Simba/Yanga ujue.
Simba na Yanga ni tumu za nchi nzima na sio Dar pekee ujue??..
Acha kuweka rohoni na kutilia maanani sana ushindani wa Simba na yanga, huo ni utani tu na unaishia kwenye vita ya maneno tu, hatuhitaji kufika hukoOya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..
Ni hayo tu..
~ SIPENDI SIASA ~
Wakitoka nje ya Tanzania watawezaje kuona na kuamua mchezo huo na kuutolea maamuzi sahihi? Waamuzi wanatakiwa wawe wapo uwanjani wakati mchezo unaendelea, tena refa wa kati awe karibu sana na mpira. Kwa hali hiyo lazima wawepo ndani ya Tanzania, siyo watoke nje ya TanzaniaOya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..
Ni hayo tu..
~ SIPENDI SIASA ~
We mzee muhuni Sana, hahaha.Wakitoka nje ya Tanzania watawezaje kuona na kuamua mchezo huto; waamuzi wanatakiwa wawe wapo uwanjani wakati mchezo unaendelea, tena refa wa kati awe karibu sana na mpira. Kwa hali hiyo lazima wawepo ndani ya Tanzania, siyo watoke nje ya Tanzania
Cool!We mzee muhuni Sana, hahaha.
ila hilo jibu ume nikumbusha, nilipo wahi andika ubaoni usifute. Watu waka jua ni usifute ya kingerezaCool!
TFF badala ya kuweka pamba huweka magunzi, mbona hata VAR ipoOya wadau wa kandaa, leo nimewaza tu kwa sauti kwa maana nimeona unazi wa Simba na Yanga unazidi kuongezeka kadri siku zinavyoenda hivyo kufanya usalama wa waamuzi pamoja na familia zao kuwa mashakani.
Tukipata waamuzi kutokea nchi jirani au uarabuni sio mbaya sana. Au sio wakuu??..
Ni hayo tu..
~ SIPENDI SIASA ~
Mkuu, people are getting mad as days go by. Kuna watu timu zao zikifungwa pressure inapanda au kushuka na wanapoteza uhai..Acha kuweka rohoni na kutilia maanani sana ushindani wa Simba na yanga, huo ni utani tu na unaishia kwenye vita ya maneno tu, hatuhitaji kufika huko
Ila wanaopoteza uhai duu Ina maana wao ni kama vile I love you nyang'a nyang'a?Mkuu, people are getting mad as days go by. Kuna watu timu zao zikifungwa pressure inapanda au kushuka na wanapoteza uhai..
Ni wanazi wa KARIAKOO DERBY ni balaa..Ila wanaopoteza uhai duu Ina maana wawo ni kama vile I love you nyang'a nyang'a?